KabisaBora akae pembeni tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaBora akae pembeni tu.
Ndugu, yaani miaka mitano mitambo itumike bila matengenezo yeyote?Huo mgao utatokana na matengenezo kwenye mitambo ambayo haikufanyiwa matengenezo kwa muda mrefu sababu wahusika waliogopa kutumbuliwa(maana wangehitajika kukata umeme kwa dharura ili kufanya matengenezo jambo ambalo kipindi kile lingewaletea matatizo)......
Huu ndio muda muafaka wa kufanya matengenezo lasivyo hata huo umeme wa mgao tunaweza kuukosa.
Ajiuzulu kwa kosa gani?.....aliyemteua amemuaminiMwambie boss wako ajiuzulu hatumtaki
Huamini ?Ndugu, yaani miaka mitano mitambo itumike bila matengenezo yeyote?
Labda waislam wenzake wanamchochea afanye hivyo, si unaona humu kila siku wanalia eti wametengwa.Huyo Makamba msenge sana! Sema mama ana uislam mwingi anatoa mawaziri wachapakazi kisa ni wakristo! Kalemani,Lukuvi,Kabudi walikosea nini? Anatuletea watu mapunguani kama Makamba!
Ajiuzulu kwa kosa gani?.....aliyemteua amemuamini
Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.
Tenesco wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za kiuchumi zitakuwa zinakwama kwa kukata umeme? Hasara itakayopatikana nani wa kuifidia?.
Wakati wa JPM haya mambo tulishayasahau, mnataka tena turudi kule, huko wapi uchumi wa kati.
Huyo Makamba msenge sana! Sema mama ana uislam mwingi anatoa mawaziri wachapakazi kisa ni wakristo! Kalemani,Lukuvi,Kabudi walikosea nini? Anatuletea watu mapunguani kama Makamba!
Hilo bwawa hata mwaka huu uenda lisikamilike. Watu wanataka kupiga dili.SI majenereta hapo bandari yanashushwa kila siku makotena Kwa makotena...unafikiri yatauzwaje bila kuwa na mgoa wa umeme.?
Kwani Bwawa la mwl.nyerere linaendeleaje?
tarehe 17 March wakatangaza majanga. RIP JPM
Napata ugumu kuamini.Ajiuzulu kwa kosa gani?.....aliyemteua amemuamini
Yaani tangia afanye ziara kwenye zile nchi, mambo hayajakaa sawa tena kwenye hii wizara.Huyu ana ajenda zake za kupiga deal kama za escro na richimond
Pigia mstari ...Kwahiyo turudi kwenye magenerator.
Akijiuzulu ndio changamoto zitaisha?...tuacheni kuwaza kimazoea mazoea....Makamba anatimiza wajibu katikati ya changamoto ambazo hazijaanza jana wala juziMh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.
Tenesco wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za kiuchumi zitakuwa zinakwama kwa kukata umeme? Hasara itakayopatikana nani wa kuifidia?.
Wakati wa JPM haya mambo tulishayasahau, mnataka tena turudi kule, huko wapi uchumi wa kati.
Kuna tofauti kati ya umeme kukatika na kuzimwa kinachoenda kufanyika ni kuzimwa
Zimeanza lini?, ndani ya miaka mitano iliyopita hatukuwahi kuona au hata kusikia taarifa ya mgao wa umeme nchi nzima.Akijiuzulu ndio changamoto zitaisha?...tuacheni kuwaza kimazoea mazoea....Makamba anatimiza wajibu katikati ya changamoto ambazo hazijaanza jana wala juzi