January Makamba, ulianza na ukame, ukaja na kuchoka kwa mitambo, leo umekuja tena na matengenezo, ni vyema ukae pembeni

Economic hitman wapo kazini. Nashangaa Zitto yupo kimya huku nchi inapokwa na wezi na mabeberu au kwa sababu ni waislamu wenzake wanaoongoza?????
Kundi ni kubwa na huyo ni mmoja wao
 
Economic hitman wapo kazini. Nashangaa Zitto yupo kimya huku nchi inapokwa na wezi na mabeberu au kwa sababu ni waislamu wenzake wanaoongoza?????
Yeap! Utumwa wa dini umemponza Zitto. Yeye sasa hivi kila kitu ni saafi! Hata ubongo umeshindwa kugeuka. Hili nililiona wakati wa Magu, akipinga kila kitu. Samia ameingia, anasifia kila kitu! Where on earth mtu bora wa kusifiwa kila kitu!
 
Vinu vinge lipuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kwa hii maintenance ni sawa, sema Mh. Makamba alikosea sana kuingia wizarani na gia ya kusema eti Kalemani alikuwa mtu mbaya (ndiyo Kalemani hakuwa na mahusiano mazuri na watu yaani naweza sema ni ibilisi fulani aliyeamini ktk Dkt Magufuli peke yake na wengine kuwaona kenge), ila kazi alifanya vizuri sana hasa kwa usimamizi wa taasisi
 
Mnaanza kufichuliana maovu, kalemani aliona wenzie kenge?
 
Huo ndio ukweli mchungu..

..Magu alishasema hakutakua na mgao wa umeme,ina maana mkizima umeme ili kufanya matengenezo lazima mtumbuliwe.
Hapana, JPM RIP alisema hivyo akimaanisha kuwa tanesco watumie akili kubuni mbiu za kuhakikisha umeme haukatiki kipumbavu.

Yaani wakti wa uongozi wake hakutaka tanesco waishi kimazoea na kiupigaji.
 
Mnaanza kufichuliana maovu, kalemani aliona wenzie kenge?
Ndiyo, mbona hilo linajulikana na watu wengi mkuu. Yaani Kalemani alikuwa anaona wenzake mbwa, paka, kunguru etc. Ila kazi alifanya vizuri bila ubinaadamu. Dkt Magufuli alikuwa mkali ila alikuwa muungwana sana tena sana yaani kama alivyowahi sema Mh. rais Samia, uvunguni mwa Dkt Magufuli alikuwa mtu wa huruma sana na moyo wa upendo. Kalemani hata jimboni kwake nasikia hapendwi, alishawahi tapeli vijana wa jimboni kwake akawaambia waende GGM kawatafutia kazi, vijana wakaenda hola akawatelekeza, kwa ufupi hafai kuwa kiongozi, kiongozi ni yule anayechangamana na watu si mtu anayefanya kazi kwa maringo huku akiwaona wenzie dog. Alikuwa na urafiki na wenye hela au wanaomzidi cheo
 
Ok, ila kwa hao vijana alifanya poa maana kazi ya mbunge sio kutafutia watu kazi
 
Tatzo analazimisha kurefusha kamba kwa nguvu,hafai !!tulikubaliana wasivimbiwe Sasa huyu naona anakoenda ni kuvimbiwa na kuhara kabisa!!
 
Ni mtu wa hovyo tangu kuzaliwa. Ni tatizo la veting tu. Nasikia mke wake wa kwanza alimtelekeza hadi kufa kwa kukosa huduma kwa kuwa tu yeye aliposoma akamuona mkewe ni chini ya kiwango. Ni mtu bwege tu!
 
Ok, ila kwa hao vijana alifanya poa maana kazi ya mbunge sio kutafutia watu kazi
Kwa ufupi Kelamani ana asili ya uongo uongo yaani ni liongo liongo na dharau. Ni nyoka, yaani anakuwa anajifanya kukuheshimu kama una kitu ambacho atafaidika. Kuwadanganya wapiga kura wako na wakasafiri mpaka sehemu husika siyo poa
 
Ni mtu wa hovyo tangu kuzaliwa. Ni tatizo la veting tu. Nasikia mke wake wa kwanza alimtelekeza hadi kufa kwa kukosa huduma kwa kuwa tu yeye aliposoma akamuona mkewe ni chini ya kiwango. Ni mtu bwege tu!
Hata watoto wake hana msaada kabisa, ni mtu ambaye hata watoto wake wa kuwazaa hata kusema basi awape mchongo wa haki hakuna, ni mtu fulani mjivuni. Hilo la mke wake ndiyo nalisikia, basi hizo ni laana
 
Mbona Serikali ina mrabaha kwenye hiyo Gesi kupitia TPDC? Kwa nini mnakuwa waongo hamsemi na mnadai 100% ni ya wawekezaji?

Unataka mikataba iwe wazi ? Kwani TPDC hawajui contents? Wakijua wao ndiyo inatosha kwa kuwa ndiyo wenye dhamana ya kuwasimamia Watanzania kwenye sekta hii.

Unasema Gesi Ina mwisho, sawa jna mwisho ila kama itatupa nishati ya umeme kwa kipindi reasonable, tuende nayo tu. Why not

Nayo maji so kweli kwamba hayana madhara kwenye mazingira. Angalia Three Star Dam ya China na ile ya Venezuela namna zinavyosumbua mazingira.

Nimeandika bila matusi kama wewe
 
Hii nchi kwakweli, basi tu.
 
Unajiona GT kwa kufanya biased analysis.nikuulize unajua gas tunaweza chimba kwa miaka mingapi? Na utuambie chanzo cha taarifa yako? Ili tuone taarifa unazoziamini huwa zinatoka wapi ili tuzipime na taarifa za usiyempenda ambazo unasitiza ni uongo.pili unajua miti mingapi kwa mwaka inateketezwa kwa ajili ya mkaa? Unajua vyanzo vingapi vya mvua?
 
Hili lifanye wewe na ulilete hapa. Nikikileta Mimi utasema niko biased. Do it please
 

"Mbona Serikali ina mrabaha kwenye hiyo Gesi kupitia TPDC? Kwa nini mnakuwa waongo hamsemi na mnadai 100% ni ya wawekezaji?"

Ngoja ninyamaze, tungekuwa tunajuana vizuri ningekuita pm nikuonyeshe takataka.
 
Maguuu alijua kudanganya wapumbav.
Eti wakati wa magu kulikua hakuna mgao wa umeme!!! Ovyo kabisa nyie. Wakati mm mpaka nilikua jioni napitia hoteli flani nachaji simu kabisaa ndio nirud home coz vinginevyo usiku mzima umeme hamna' asubuhi cm zinakuwa no charge' mishe zinagoma.
Kwa Magu mgao ulikuwepo km kawa ila vyombo vya habari vilipigwa pini na raia waliogopa kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…