Tetesi: January na Nape kutimkia CHADEMA wakati wowote kuanzia sasa

Kama lowasa aliweza kuwa mgombea kupitia chadema akili ipi mtu atumie? Muulize Lema ,Lisu,Msigwa nk walivyo muongelea Lowasa akiwa CCM ,kwenye siasa hakuna matumizi ya akili
Kwa hiyo waliopo wanatumia nini,umeme,maji au mafuta?
 
Hakuna lisilowezekana chini ya jua lakini kuna mengine huwa hayawezekani kwa kuwa hatupaswi hata kuyafikiria...
 
Unatafuta ku trend? 😂😂

Ila wanaweza Kwa sababu wameshapoteza pambano so wanaenda kufanya siasa za kukomoa but nitashangaa zaidi Chadema kupokea waliokataliwa.
 
Pesa mwanaharamu
Je kuna mlo huko?
Tunaangalia kwenye maslaha ya fweza
Tutajikomba komba tu hapa hapa 😄
 
Uchaguzi wa 2025 Lissu atamsumbua sana Mama japo kunawezekana kuwa na goli la mkono.
 
Duh, ndio wamekutuma uwasemee? sahau hicho kitu
 
Chadema are not that fools !!
Ila ukweli ni kwamba there is something going on behind the scenes !

It remains to be seen or heard in the very near future 😳

Karma is real 🙌🙏
 
Ndoto za mchana. Makamba ana impact gani kwa Watanzania zaidi ya wizi?
 
Haya mambo haya hitaji hata D mbili kuelewa
 
Yaani hata taarifa kabla hazijamfikia wewe tayari umeruka na uzi kwamba wanatimkia CHADEMA? Kwani wamefukuzwa kwenye Chama? Mbona wakati wa Magufuli hawakutimkia huko CHADEMA?
 
Nape hatumtaki chadema, Kama siasa alipata F atatuongezea Nini?
Makamba is welcomed.
 
Kwani CHADEMA inawataka watu kama hawa uliosema

Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…