Japan: Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe afariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi

Aliyewahi kua Waziri Mkuu wa Japan bwana Shinzo Abee,amefariki dunia leo!

Habari za awali zinasema alipigwa risasi na mtu,lakini hakufariki dunia pale, amefariki baada yakufika hospital
 
Kuna Bwn Mmoja aliwahi mvamia mzee Mwinyi akampiga makofi. Mzee mwinyi kwa uungwa akamsamehe ila sheria ilichukua mkondo wake akafungwa nadhani alimaliza kifungo chake. Nakumbuka chanzo Mzee Mwinyi alihimiza masuala ya uzazi wa mpango.

Kuna watu wana depression.
 
Hakuna kitu mtafanya
 
Shirika la Habari la NHK linaripoti kuwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amekimbizwa Hospitalini baada ya kujeruhiwa kwa risasi mgongoni wakati akitoa hotuba katika Mji wa Nara...
Aisee, ni nini sijui sababu. Wajapan si walishasahau mambo haya? Au wapo wenye hobi zao ,wakiamua wanakumbukia tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…