Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Unge tafsiri basi bibie...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Bush akiwa Rais asingekwepa kile kiatu kingeondoka na jicho sema Bush alikuwa askari yule alikipisha fasta tu
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kenedy haikuwa Raisi kama unavyo Dhani... watu walikaa darasani, wakachora Ramani na eneo na muda na umbali.. wakamuandalia na safari.. wakamjegejaJ. Kennedy alipigwa sembuse hyu mstaafu?
Kulindwa hufunikwi kama koti bado utadunguliwa tu.
Haikuwa rahisi lakini si iliwezekana?Kenedy haikuwa Raisi kama unavyo Dhani... watu walikaa darasani, wakachora Ramani na eneo na muda na umbali.. wakamuandalia na safari.. wakamjegeja
Motive behind ilikuwa nini mpaka "wakamjegeja"?Kenedy haikuwa Raisi kama unavyo Dhani... watu walikaa darasani, wakachora Ramani na eneo na muda na umbali.. wakamuandalia na safari.. wakamjegeja
Askari wa ulinzi wanakubanika asubuhi na mapema.Dah wenzetu wana uthibutu kweli. Sie huku waoga kama vile hatutakufa🤣🤣🤣🤣🤣
Lowassa ni mcha Mungu.Mbona Lowassa & JK hawauani ?
Dah Shinzo yamemkuta, mpigaji ni sniper, amepiga kwenye moyo kabisa.
Wenzetu hasa nchi kama Japan, ukishastaafu unakuwa mtu wa kawaida tu.
Ukiwa PM unakuwa mtumishi tu, na ukistaafu unakuwa EX-mstaafu.
Ishu ya Kennedy ilikuwa nzito mnoJ. Kennedy alipigwa sembuse hyu mstaafu?
Kulindwa hufunikwi kama koti bado utadunguliwa tu.
Kuna wakati inabidi mtu mmoja ajitolee maisha yake kwa manufaa ya wengiAskari wa ulinzi wanakubanika asubuhi na mapema.
Wanasemaga binadamu anasahau haraka hasa hasa kuhusiana na mambo ya kisiasa na kiutawala kumbe hapana,watu wanadili mpaka na wastaafuUkistaafu haimaanishi kuwa Watu wenye Uchungu nawe kwa uliyowafanyia na Wao Watastaafu kutaka Kukumaliza.
Kuna mwingine nae Mstaafu yuko Tanzania nasikia Watu wa Kanda ya Ziwa ( hasa kwa Wasukuma na Wasubi ) wana Hasira nae kwa lile la 17 Machi, 2021.
Hawa sio Yakuza hawa kweli , huyu atakuwa aliwazingua wamiliki wa nchi (Yakuza)Shirika la Habari la NHK linaripoti kuwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amekimbizwa Hospitalini baada ya kujeruhiwa kwa risasi mgongoni wakati akitoa hotuba katika Mji wa Nara.
Imeelezwa, Abe ambaye aliachia nafasi ya Uwaziri Mkuu mwaka 2020 kwasababu za kiafya alidondoka wakati akihutubia na alionekana akitoka damu.
UPDATE: SHINZO ABE AFARIKI DUNIA
Muda mfupi baada ya Ripoti za kupigwa risasi wakati akihutubia katika Kampeni, Shirika la NHK limeripoti kuwa Shinzo Abe ambaye ni Waziri Mkuu aliyehudumu kwa kipindi kirefu zaidi Nchini Japan amefariki dunia
Shambulio hilo dhidi ya Abe (67) limetokea katika Mji wa Nara, na inaripotiwa kuwa Mtuhumiwa ambaye ni Mwanaume aliye na miaka ya 40 amekamatwa
Abe alihudumu kama Waziri kati ya 2006 - 2007, na akaongoza tena katika nafasi hiyo kuanzia 2012 - 2020, aliachia madaraka kutokana na sababu za kiafya
=======
Former Japanese Prime Minister Shinzo Abe has collapsed after he was shot at an event in the city of Nara.
Mr Abe was shot from the back and collapsed halfway during his speech, and appeared to be bleeding, broadcaster NHK reported. His attacker is in custody, it added.
Ex-Tokyo governor Yoichi Masuzoe said in a tweet that Mr Abe was in a state of cardiopulmonary arrest.
The term is often used before a death is officially confirmed in Japan.
Mr Abe, who was Japan's longest-serving prime minister, stepped down in 2020 citing health reasons. He later revealed that he had suffered a relapse of ulcerative colitis, an intestinal disease.
========
Former Japanese leader Shinzo Abe, one of Japan's most influential politicians in modern times, has died after being shot at a campaign event, prompting shock and condemnation both in Japan and overseas.
A conservative nationalist by most descriptions, the 67-year-old remains the country's longest serving prime minister, having led the ruling Liberal Democratic Party to victory twice.
His first stint as PM was brief - for a little over a year starting in 2006 - and marred in scandal. But he made a political comeback in 2012, and stayed in power until 2020 when he resigned for health reasons.
Abe stepped down then after weeks of speculation, revealing that he had suffered a relapse of ulcerative colitis - the intestinal disease had led to his resignation in 2007.
But as the son of former foreign minister Shintaro Abe, and grandson of former Prime Minister Nobusuke Kishi, Abe belonged to political royalty and was still considered a powerful figure in Japanese politics.
He was known for his hawkish foreign policy and a signature economic strategy that popularly came to be known as "Abenomics".
Source: BBC
Kama chanzo kimeshagundulika ina maana na mshukiwa ameshajulikana huko kigomaDunia ina watu wa kila dizaini,vichaa na wastaarabu ambao ndio wengi..
Hujaona mtu huko Kigoma kaua watu 7 wa familia moja Kisa wivu wa mapenzi..
Ndo kama huyu aliyemuua former PM niliyemkubali Sana.