Japan: Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe afariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi

Umeniacha waziri mkuu wangu bado siamini jaman " Yasuraka ni nemura"
 
J. Kennedy alipigwa sembuse hyu mstaafu?

Kulindwa hufunikwi kama koti bado utadunguliwa tu.
Kenedy haikuwa Raisi kama unavyo Dhani... watu walikaa darasani, wakachora Ramani na eneo na muda na umbali.. wakamuandalia na safari.. wakamjegeja
 
Dah Shinzo yamemkuta, mpigaji ni sniper, amepiga kwenye moyo kabisa.

Wenzetu hasa nchi kama Japan, ukishastaafu unakuwa mtu wa kawaida tu.

Ukiwa PM unakuwa mtumishi tu, na ukistaafu unakuwa EX-mstaafu.

Aisee, jamaa mtaalam sana na alidhamiria kabisa kapiga triangle.
 
Wanasemaga binadamu anasahau haraka hasa hasa kuhusiana na mambo ya kisiasa na kiutawala kumbe hapana,watu wanadili mpaka na wastaafu
 
Hawa sio Yakuza hawa kweli , huyu atakuwa aliwazingua wamiliki wa nchi (Yakuza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…