Sielewi viazi vinahusiana nini na ukweli kuwa wajaluo ardhi yao inayofahamika sana ni Count ya Kisumu jimbo la Nyanza nchini Kenya. Jadili hoja na unishawishi kwa hoja kama nakosea na uweke uthibitisho hapa.Wewe ni kiazi kweli kweli
Hatujamsahau alivokataa uteuzi
Sijui anataka kung'angania hadi liniAridhike na alizovuna
Mkuu unapaswa kunishawishi kwa hoja tena zenye uhibitisho ili nikubaliane na unachotaka kuniaminisha, Lakini naona umejikita kwenye matusi na kutweza, hutakiwi kushindwa mikoni chini hivyo, kama kweli una hoja imara.Wewe ni tahira baki na kamasi zako kichwani
...Ndio wewe ? Mbona kama Umepaniki, brother ??? [emoji848]Otieno ni jina la kijaluo
Wajaluo wapo kenya tu?
Ukikosa akili unakuwa mjinga
Wajaluo wapo hata Musoma pia makazi yao ni WILAYA LA SIRARI Mkoa wa MaraWajaluo kwao ni Kenya,tena Kisumu...specifically, usilazimishe! Huyo jamaa yako Otieno ni mkenya... Arudi kwao tu, mbona Kenya kuna Polisi pia?
Huu ni ujinga ambao kwa mtu asie na elimu kuropoka ni kawaida, ina maana hufahamu kuwa kuna baadhi ya makabila yako pande zote??Martin Otieno si mkenya huyo? Au ndio wale waliosemwa kuwa na nafasi za juu na wafanya maamuzi Serikalini? 😳
Mkuu sijui hata kama unajua maana ya verification, siwezi kurudishia majibu ya matusi kama wewe unavyofanya badala ya kujadili.Wewe ni mpumbavu na mjinga nashaanga hadi upo verified unaongea km mtu asiyekuwa na elimu
Wajaluo asili yao ni kenya na Tanzania hasa mkoa wa mara Tanzania na magharibi mwa kenya
Kunakuwa na back up ya watu wakubwa wanaonufaika na hela za walimu, siyo bure!Ila Jafe mbishi sana huyu jamaa!
Kuna muda bora ukae kimya kuficha ujinga ili ujiepushe na aibu ndogo ndogoWajaluo kwao ni Kenya,tena Kisumu...specifically, usilazimishe! Huyo jamaa yako Otieno ni mkenya... Arudi kwao tu, mbona Kenya kuna Polisi pia?
Bado hazijatoshaHuyu jamaa si ajiuzulu tu akafanye mambo mengine aisee si alishavuna hela za kutosha.
Uliambiwa wajaluo wako Kenya tu?Martin Otieno si mkenya huyo? Au ndio wale waliosemwa kuwa na nafasi za juu na wafanya maamuzi Serikalini? [emoji15]
Sasa kama yako pande zote kama unavyosema, kitu ambacho ni sahihi, ni kwa nini watu wa mikoa ya Kigoma wanashukiwa na kuambiwa sio watanzania?Huu ni ujinga ambao kwa mtu asie na elimu kuropoka ni kawaida, ina maana hufahamu kuwa kuna baadhi ya makabila yako pande zote??
Hii jamii forums Toka smartphone zimilikiwe na Kila mtu imeshapoteza mvuto huwezi jua nani GT or nani siyo GTWajaluo kwao ni Kenya,tena Kisumu...specifically, usilazimishe! Huyo jamaa yako Otieno ni mkenya... Arudi kwao tu, mbona Kenya kuna Polisi pia?
Kati ya makabila yaliyoitwa na Nyerere kushiriki kuunda Jamhuri ya Tanganyika... Wajaluo walikuwemo? waliwakilishwa na nani?Hii jamii forums Toka smartphone zimilikiwe na Kila mtu imeshapoteza mvuto huwezi jua nani GT or nani siyo GT
Wasukuma hawakuwemoKati ya makabila yaliyoitwa na Nyerere kushiriki kuunda Jamhuri ya Tanganyika... Wajaluo walikuwemo? waliwakilishwa na nani?