Japhet Maganga wa CWT akamatwa kwa kufanya fujo

Ila jamaa ni CPA( T) sasa serikali ilipomtaka arudi shule ya msingi kufundisha walikuwa wanamaanisha nini?
 
Ila jamaa ni CPA( T) sasa serikali ilipomtaka arudi shule ya msingi kufundisha walikuwa wanamaanisha nini?
Alivyokataa uteuzi alimaanisha nini?

Serikali ilikuja na comeback ya kumrudisha kwenye kazi yake ya zamani baada ya kuonesha kiburi
 
Alivyokataa uteuzi alimaanisha nini?

Serikali ilikuja na comeback ya kumrudisha kwenye kazi yake ya zamani baada ya kuonesha kiburi
CPA holder shule ya msingi akafundishe nini.?
 
Martin Otieno si mkenya huyo? Au ndio wale waliosemwa kuwa na nafasi za juu na wafanya maamuzi Serikalini? 😳
Otieno/Atieno ipo Kenya, Tanzania, Uganda, Sudan na Nigeria
 
Wajaluo kwao ni Kenya,tena Kisumu...specifically, usilazimishe! Huyo jamaa yako Otieno ni mkenya... Arudi kwao tu, mbona Kenya kuna Polisi pia?
Msalaba wako unamiiba mkuu😜
 
Huyu akitupwa ndani hata sita sikitika, hata kama atakuwa ameonewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…