Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

Ni mkataba,ushahidi huu hapa👇

Na nyie waandishi wa habari mmetumika kama toilet paper pia,namba za simu kwa ajili ya miamala zinahitajika👇
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" kuhusu jambo lolote lenye maslahi makubwa kwa taifa letu liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.

Mada ya leo ni kuhusu Bunge letu tukufu, limeridhia makubaliano ya IGA kati ya Serikali ya UAE na Tanzania, kampuni ya DP World ya Mwarabu wa Dubai, kutuendeshea Bandari zetu.

Kuna watu wana support hatua hiyo kwa hoja za msingi, kuwa DP World ni kampuni kubwa na ina uwezo mkubwa, inaendesha Bandari nyingi duniani, hivyo itatusaidia sana kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam. Na kuna wanaopinga wakiwaita DP World ni matapeli, kufuatia kesi na migogoro mingi mahali pengi ambapo DP World wana operates, hivyo kitendo cha Bunge letu kuridhia hiyo IGA ya DP World bila kuifanyia a due diligence report, kumewafanya wachoke na kudhani, it's over, it's the end of the road kwa suala hili,. naomba kuwapa faraja na kuwatia moyo kuwa it's not the end!, it's not over yet until it's over!.

Hiyo HGA ni makubaliano tuu na sio mkataba, yaani ni an agreement na sio contract. Kila mkataba ni agreement, lakini sio kila agreement ni mkataba, mfano mzuri ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania, ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkifika mahali mkashindwa kuelewana, mnagawana tuu fito, kila mtu anasepa kivyake Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!.

Hivyo kile Bunge letu lilichoridhia, ni agreement tuu, tukiithibitishia serikali yetu, hawa DP World, pamoja na uzuri wao wote, pamoja na uwezo wao mkubwa wa kuendesha Bandari kibao, lakini ni matapeli na wana matatizo lukuki, hivyo serikali yetu iwe makini sana kabla ya kusaini HGA, na utepeli wao, ukiwekwa wazi hadharani peupe, kila mwenye macho aone, tutaisaidia sana serikali yetu, tutamsaidia sana Rais wetu Samia na kulisaidia taifa letu Tanzania tusiingizwe tena mkenge na Mwarabu wa Dubai kama alivyofanywa Chief Mangungo, hivyo serikali yetu, viongozi wetu na Bunge letu kuridhia fasta fasta kwasababu tuu, Mwarabu wa Dubai ni mtu Rahim, mkarimu, amemkirimu Mama yetu kuipaisha bure Tanzania kwenye Expo Dubai, akawakirimu waserikali wetu, kwa trips za Dubai, akawakirimu waheshimiwa wabunge wetu kwa trips za Dubai, na kuwakirimu waandishi wetu wa habari na media zetu kwa trips za Dubai.

Japo Rais wetu, Mama Samia, ana nia njema ya kweli na ya dhati kulisaidia taifa letu, lakini anapokutana na matapeli wa kimataifa wakamuingiza mkenge, sisi watu wa Mhimili wa Nne, the media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu kwa kuonyesha utepeli huo uko wapi, kisha serikali yetu ikiamua kuendelea na HGA ya Mwarabu wa Dubai, sisi watu wa media, tutakuwa na a clear conscious kuwa angalau tumetimiza wajibu wetu, tumeieleza serikali yetu inavyotaka kuingizwa mkenge na kutapeliwa, hivyo vipengele vya mkataba wa HGA viboreshwe na kazi, iendelee!.

Kwa vile mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kwa kujitolea kutetea bure haki kwa wasio na uwezo, hivyo nitawaletea makubaliano hayo na kuwachambulia kuwaonyesha jinsi tunavyotaka kutapeliwa mchana kweupe.

  1. Utapeli wa kwanza mkubwa, ni hakuna mtu yoyote kati yetu aliyefanya a due diligence report ya DP World, tunaelezwa ni Governmental Organisation, wakati sii kweli, it's a private company!. Kabla ya kuingia mkataba wowote, lazima kwanza kufanyike kitu kinachoitwa a due diligence process na kutolewa a due diligence report. Hili halikufanyika hivyo serikali yetu kujikuta inaingia mkataba wa kimataifa na parties to contract which has no capacity to contract hivyo ku vitiate makubaliano kugeuka void hivyo makubaliano hayo yanakuwa null and void ab initio!.
  2. Mkataba wa IGA na HGA inaingiwa kati ya serikali na serikali, hivyo ukisoma documents za makubaliano utaona ni kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya UAE, lakini signatories kwa serikali ya Tanzania ni serikali kweli, lakini kwa serikali ya UAE, signatories ni Mwarabu wa Dubai wa DP World na sio serikali ya UAE, kwenye mkataba wameandika serikali ya Dubai, Dubai hivyo hapa tunatapeliwa!, serikali yetu inaingizwa mkenge kuingia mkataba na a private company disguised as a government of UAE kumbe ni kampuni binafsi!.View attachment 2653406
  3. Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana Dubai sio nchi, a sovereign state kama ilivyo Tanzania, Dubai hapa inajitambulisha kama a State Party, Dubai is not a state hivyo haiwezi kuwa a state party, it has no the capacity to transact as an international IGA, haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa na nchi, inaweza kuingia mkataba wa kimataifa na mamlaka ya Bandari, taasisi kwa taasisi, kama ilivyofanya hapa View attachment 2653409ambapo DP World iliingia mkataba na Mamlaka ya Bandari TPA, mkataba ambao Rais Samia aliushuhudia ukisainiwa kule Dubai during Expo Dubai.
  4. Sasa kampuni hii ya DP World iliyoingia mkataba na mamlaka ya Bandari, sasa inajigeuza nchi, sovereign state of Dubai, imeingia mkataba wa kimataifa na serikali yetu!, huku ni kututapeli!. Dubai is not a state, it's not a nation na nchi isiyo na sovereignty!. DP World is not a state, it's a private company, hapa imejigeuza ni nchi!. Huu ni utapeli!.
  5. Mikataba ya kimataifa inaingiwa kati ya nchi na nchi, na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE, hivyo hapa kuna utapeli!. Due diligence ingefanyika, hili lingeonekana.
  6. Status ya Dubai kwe UAE ni sawa na status ya Zanzibar ndani ya JMT, Zanzibar has no capacity to transact an international treaty kwasababu Zanzibar sio sovereign. Dubai pia sio sovereign, hivyo mikataba yote ya kimataifa ya Zanzibar, inaingiwa na JMT kwaniaba ya Zanzibar, IGA na HGA inapaswa kuingiwa kati ya Tanzania na UAE na sio Tanzania na Dubai!.
  7. Jambo jingine, kuna kipengele cha kuizuia nchi isiendeleze Bandari nyingine, hivyo kuiweka mashakani Bandari ya Bagamoyo, hili halikubaliki hata kidogo!.
Kwavile saa hizi ni usiku mkubwa, Joni Mtembezi ananisisitiza nitembee tembee nae hivyo nitamalizia kesho.

Paskali.
Asante mwanasheria . Hii point ya State sovereign umeielezea vizuri.
 
Leo, na kwa mara ya kwanda nimekusoma mwanzo mwisho.

Paskali wewe ni Gwiji tena mzalendo wa kweli. Sasa sijui ndo zile saa ambazo wakati mwingine zinasema sahihi.

Otherwise umeeleweka mno
 
Watu wamesoma kichwa Cha habari hawajasoma content wanaanza kushusha kejeli kwa Mleta mada.

Huu uvivu wa kusoma na ugumu wa kuelewa utatu cost siku zote!
Hahaa bora umeona hilo. Tatizo ni kwakuwa Paskali huwa anakuwa na mada nyingi za kujikomba, hivyo watu wakiangalia kichwa cha habari hawana muda tena wa kusoma yaliyo ndani. Ila kwenye uzi huu kaongea ya msingi tofauti na wanavyomponda.
 
Tanzania ina mikataba kibao na nchi kadhaa kwa mujibu wa website ya UNCTAD : Tanzania, United Republic of | International Investment Agreements Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub

Suala la msingi ni jinsi mikataba hiyo ilivyosukwa kwa umakini baina ya nchi mbili. Unaweza fanya sampling ktk jedwali la hapa chini na kulinganisha umahiri wa timu za wanasheria wetu wa kiTanzania kwa nyakati tofauti uwezo wao wa negotiation :

Tanzania, United Republic of

Tanzania, United Republic of​

NO.SHORT TITLESTATUSPARTIESDATE OF SIGNATUREDATE OF ENTRY INTO FORCETEXT
1Iran, Islamic Republic of - Tanzania, United Republic of BIT (2015)Signed (not in force)Iran, Islamic Republic of05/02/2015Full text: fa
2Kuwait - Tanzania, United Republic of BIT (2013)Signed (not in force)Kuwait17/11/2013
3Canada - United Republic of Tanzania BIT (2013)In forceCanada17/05/201309/12/2013Full text: en
4China - United Republic of Tanzania BIT (2013)In forceChina24/03/201317/04/2014Full text: en
5Oman - United Republic of Tanzania BIT (2012)Signed (not in force)Oman16/10/2012Full text: en
6United Republic of Tanzania - Turkey BIT (2011)In forceTürkiye11/03/201103/01/2017Full text: en
7Jordan - United Republic of Tanzania BIT (2009)Signed (not in force)Jordan08/10/2009Full text: ar
8Mauritius - United Republic of Tanzania BIT (2009)In forceMauritius04/05/200902/03/2013Full text: en
9South Africa - United Republic of Tanzania BIT (2005)Signed (not in force)South Africa22/09/2005Full text: en
10Switzerland - United Republic of Tanzania BIT (2004)In forceSwitzerland08/04/200406/04/2006Full text: en
11United Republic of Tanzania - Zimbabwe BIT (2003)Signed (not in force)Zimbabwe03/07/2003
12Italy - United Republic of Tanzania BIT (2001)In forceItaly21/08/200125/04/2003Full text: en
13Netherlands - United Republic of Tanzania BIT (2001)TerminatedNetherlands31/07/200101/04/2004Full text: en
14Finland - United Republic of Tanzania BIT (2001)In forceFinland19/06/200130/10/2002Full text: en
15Sweden - United Republic of Tanzania BIT (1999)In forceSweden01/09/199901/03/2002Full text: en | sv
16Denmark - United Republic of Tanzania BIT (1999)In forceDenmark22/04/199921/10/2005Full text: en
17Korea, Republic of - United Republic of Tanzania BIT (1998)Signed (not in force)Korea, Republic of18/12/1998Full text: en
18Egypt - United Republic of Tanzania BIT (1997)Signed (not in force)Egypt30/04/1997
19United Republic of Tanzania - United Kingdom BIT (1994)In forceUnited Kingdom07/01/199402/08/1996Full text: en
20Switzerland - United Republic of Tanzania BIT (1965)TerminatedSwitzerland03/05/196516/09/1965Full text: fr
21Germany - United Republic of Tanzania BIT (1965)In forceGermany30/01/196512/07/1968Full text: en | de

Related Products​

Dubai sio nchi, ndio point ya Mayalla. Hizo zingine Ni nchi.
 
Wewe kama umesoma sheria basi ulienda kusomea ujinga.

Jwanza Emirate of Dubai ni "state" iliyopo kwenye Muungano wa United Arab Emirates.

Dubai ina sovereign wealth fund ambayo haihusiani na UAE fund.

Kama hiyo haikutoshi, Ruler wa Dubai ana haki ya kum appoint yeyote asaini mkataba kwa ajili ya Dubai, hata wewe.

Dubai ni Monarchy siyo republic kama Tanzania.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Wewe ndio huelewi. Kasome ibara ya 2 ya Montevideo Convention inasemaje kuhusu Federation kwenye sheria za kimataifa, Nani anatambulika Kama legal person. Hayo mambo ya monaech ni internal sio external maana ile sio sovereign state, sovereignty ipo chini ya UAE.
 
Watanzania ni watu wa kulalamika mitandaoni Lakini hata siku moja hawawezi kuchukua hatua. Mtu aliyeguswa sana aende mahakamani akazuie mkataba usisainiwe. Nyingine zote kelele za mwenye nyumba tu ambazo hazimzuii mpangaji kulala usingizi.

Mkuu mkataba ulishasainiwa mwaka Jana Dodoma . So wamepeleka bungeni baada ya mkataba kusambaa mitandaoni hivyo wamepeleka kuzuia kelele za wananchi.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" kuhusu jambo lolote lenye maslahi makubwa kwa taifa letu liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.

Mada ya leo ni kuhusu Bunge letu tukufu, limeridhia makubaliano ya IGA kati ya Serikali ya UAE na Tanzania, kampuni ya DP World ya Mwarabu wa Dubai, kutuendeshea Bandari zetu.

Kuna watu wana support hatua hiyo kwa hoja za msingi, kuwa DP World ni kampuni kubwa na ina uwezo mkubwa, inaendesha Bandari nyingi duniani, hivyo itatusaidia sana kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam. Na kuna wanaopinga wakiwaita DP World ni matapeli, kufuatia kesi na migogoro mingi mahali pengi ambapo DP World wana operates, hivyo kitendo cha Bunge letu kuridhia hiyo IGA ya DP World bila kuifanyia a due diligence report, kumewafanya wachoke na kudhani, it's over, it's the end of the road kwa suala hili,. naomba kuwapa faraja na kuwatia moyo kuwa it's not the end!, it's not over yet until it's over!.

Hiyo HGA ni makubaliano tuu na sio mkataba, yaani ni an agreement na sio contract. Kila mkataba ni agreement, lakini sio kila agreement ni mkataba, mfano mzuri ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania, ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkifika mahali mkashindwa kuelewana, mnagawana tuu fito, kila mtu anasepa kivyake Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!.

Hivyo kile Bunge letu lilichoridhia, ni agreement tuu, tukiithibitishia serikali yetu, hawa DP World, pamoja na uzuri wao wote, pamoja na uwezo wao mkubwa wa kuendesha Bandari kibao, lakini ni matapeli na wana matatizo lukuki, hivyo serikali yetu iwe makini sana kabla ya kusaini HGA, na utepeli wao, ukiwekwa wazi hadharani peupe, kila mwenye macho aone, tutaisaidia sana serikali yetu, tutamsaidia sana Rais wetu Samia na kulisaidia taifa letu Tanzania tusiingizwe tena mkenge na Mwarabu wa Dubai kama alivyofanywa Chief Mangungo, hivyo serikali yetu, viongozi wetu na Bunge letu kuridhia fasta fasta kwasababu tuu, Mwarabu wa Dubai ni mtu Rahim, mkarimu, amemkirimu Mama yetu kuipaisha bure Tanzania kwenye Expo Dubai, akawakirimu waserikali wetu, kwa trips za Dubai, akawakirimu waheshimiwa wabunge wetu kwa trips za Dubai, na kuwakirimu waandishi wetu wa habari na media zetu kwa trips za Dubai.

Japo Rais wetu, Mama Samia, ana nia njema ya kweli na ya dhati kulisaidia taifa letu, lakini anapokutana na matapeli wa kimataifa wakamuingiza mkenge, sisi watu wa Mhimili wa Nne, the media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu kwa kuonyesha utepeli huo uko wapi, kisha serikali yetu ikiamua kuendelea na HGA ya Mwarabu wa Dubai, sisi watu wa media, tutakuwa na a clear conscious kuwa angalau tumetimiza wajibu wetu, tumeieleza serikali yetu inavyotaka kuingizwa mkenge na kutapeliwa, hivyo vipengele vya mkataba wa HGA viboreshwe na kazi, iendelee!.

Kwa vile mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kwa kujitolea kutetea bure haki kwa wasio na uwezo, hivyo nitawaletea makubaliano hayo na kuwachambulia kuwaonyesha jinsi tunavyotaka kutapeliwa mchana kweupe.

  1. Utapeli wa kwanza mkubwa, ni hakuna mtu yoyote kati yetu aliyefanya a due diligence report ya DP World, tunaelezwa ni Governmental Organisation, wakati sii kweli, it's a private company!. Kabla ya kuingia mkataba wowote, lazima kwanza kufanyike kitu kinachoitwa a due diligence process na kutolewa a due diligence report. Hili halikufanyika hivyo serikali yetu kujikuta inaingia mkataba wa kimataifa na parties to contract which has no capacity to contract hivyo ku vitiate makubaliano kugeuka void hivyo makubaliano hayo yanakuwa null and void ab initio!.
  2. Mkataba wa IGA na HGA inaingiwa kati ya serikali na serikali, hivyo ukisoma documents za makubaliano utaona ni kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya UAE, lakini signatories kwa serikali ya Tanzania ni serikali kweli, lakini kwa serikali ya UAE, signatories ni Mwarabu wa Dubai wa DP World na sio serikali ya UAE, kwenye mkataba wameandika serikali ya Dubai, Dubai hivyo hapa tunatapeliwa!, serikali yetu inaingizwa mkenge kuingia mkataba na a private company disguised as a government of UAE kumbe ni kampuni binafsi!.View attachment 2653406
  3. Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana Dubai sio nchi, a sovereign state kama ilivyo Tanzania, Dubai hapa inajitambulisha kama a State Party, Dubai is not a state hivyo haiwezi kuwa a state party, it has no the capacity to transact as an international IGA, haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa na nchi, inaweza kuingia mkataba wa kimataifa na mamlaka ya Bandari, taasisi kwa taasisi, kama ilivyofanya hapa View attachment 2653409ambapo DP World iliingia mkataba na Mamlaka ya Bandari TPA, mkataba ambao Rais Samia aliushuhudia ukisainiwa kule Dubai during Expo Dubai.
  4. Sasa kampuni hii ya DP World iliyoingia mkataba na mamlaka ya Bandari, sasa inajigeuza nchi, sovereign state of Dubai, imeingia mkataba wa kimataifa na serikali yetu!, huku ni kututapeli!. Dubai is not a state, it's not a nation na nchi isiyo na sovereignty!. DP World is not a state, it's a private company, hapa imejigeuza ni nchi!. Huu ni utapeli!.
  5. Mikataba ya kimataifa inaingiwa kati ya nchi na nchi, na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za kimataifa na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE, hivyo hapa kuna utapeli!. Due diligence ingefanyika, hili lingeonekana.
  6. Status ya Dubai kwe UAE ni sawa na status ya Zanzibar ndani ya JMT, Zanzibar has no capacity to transact an international treaty kwasababu Zanzibar sio sovereign. Dubai pia sio sovereign, hivyo mikataba yote ya kimataifa ya Zanzibar, inaingiwa na JMT kwaniaba ya Zanzibar, IGA na HGA inapaswa kuingiwa kati ya Tanzania na UAE na sio Tanzania na Dubai!.
  7. Jambo jingine, kuna kipengele cha kuizuia nchi isiendeleze Bandari nyingine, hivyo kuiweka mashakani Bandari ya Bagamoyo, hili halikubaliki hata kidogo!.
Kwavile saa hizi ni usiku mkubwa, Joni Mtembezi ananisisitiza nitembee tembee nae hivyo nitamalizia kesho.

Paskali.
Pale uwanja wa ndege kuna Swiss Port na kuna NAS hao wote wawili ni makampuni ya kigeni.

Nani ameshajiuliza iwapo wanatufanyia utapeli wowote?. Je uwanja wa ndege sio nyeti kwa Taifa letu?.

TICTS wamekaa pale miaka 22 bandarini, walishindwa vipi kutuhujumu?. Usalama wa Taifa upo makini sana katika haya masuala.

Hiyo kampuni ipo Uingereza Marekani na katika nchi nyingine 34 duniani, huko kote wameshindwa kuona uhalali wa sehemu ya UAE kufanya biashara na mataifa mengine?.
 
Dubai sio nchi, ndio point ya Mayalla. Hizo zingine Ni nchi.
He’s trying to say that it’s a Monarchy but has failed to explain how it being a monarchy could affect the execution of this particular contract. However if you understand BIT you will notice that this agreement protects Dubai more than Tanganyika because they will have private investors who will do the business for them and they will be protected by BIT ‘S of their respective countries.My take is this could be a good thing if Dubai decides to be merciful
 
Bunge letu huo utukufu limeupata lini ??!--- unaelewa maana ya utukufu??, Kitu chenye utukufu kinaweza kupitisha jambo haramu na Batili linaloweza kuumiza wananchi wake??, kitu chenye utukufu kinaweza kukumbatia watu ambao sio wabunge kisheria na kikawalipa mishahara kinyume na sheria??, huko sio kuvunja sheria za nchi na wizi wa mali za umma unaosimamiwa na hilo Bunge "tukufu" ??, kitu chenye utukufu kinaweza kuvunja sheria halali??. Kama utukufu ndio huo basi neno na dhana nzima ya utukufu haina maana.
Siasa zile zile za vijiweni. Ufanisi wa bandari ikiwa na uwekezaji wa DP World huwezi kuulinganisha na huu tuliouzoea miaka yote.

Digital Port huwezi kuilinganisha na Port ya kizamani.
 
Serekali imekurupuka lazima tukubali. Haraka haraka ya 10% percent. But kimsingi kama serekali ilikuwa na nia dhabit haikupaswa kukurupuka kwanza ingeunda jopo la wanasheria waende wakachunguze chanzo cha migogoro ya DP World kwenye hizo nchi nyingine. Tungepata hiyo report ndio tuje tujihami nazo kwenye makubalioano huku kwetu. We really don't think at all, and that is a big time stupiditly!
 
He’s trying to say that it’s a Monarchy but has failed to explain how it being a monarchy could affect the execution of this particular contract. However if you understand BIT you will notice that this agreement protects Dubai more than Tanganyika because they will have private investors who will do the business for them and they will be protected by BIT ‘S of their respective countries.My take is this could be a good thing if Dubai decides to be merciful
Very true mkuu.
 
Pale uwanja wa ndege kuna Swiss Port na kuna NAS hao wote wawili ni makampuni ya kigeni.

Nani ameshajiuliza iwapo wanatufanyia utapeli wowote?. Je uwanja wa ndege sio nyeti kwa Taifa letu?.

TICTS wamekaa pale miaka 22 bandarini, walishindwa vipi kutuhujumu?. Usalama wa Taifa upo makini sana katika haya masuala.

Hiyo kampuni ipo Uingereza Marekani na katika nchi nyingine 34 duniani, huko kote wameshindwa kuona uhalali wa sehemu ya UAE kufanya biashara na mataifa mengine?.
Acheni kutetea wizi. Kwanini DP World.
 
Back
Top Bottom