Japo Urusi ni hatari akisaidiwa na Korea Kaskazini, China na Iran, ila kwa Kikosi cha Marekani kilichotua mpakani bado Marekani ni Mbabe wa dunia

Everyone is afraid of giving us guarantees to join NATO, and the truth is, no one wants us in the alliance

Ukrainian President
 
Russia iliposema ianze kusikiilizwa sasa, na ana silaha inayotembea kwa kasi ya mwendo wa sauti mara ishirini (Machi20) na zina precious ya hali ya juu sana, walidhani anawatania!

Wasikilize sasa!
 
Russia ndo kawapa teknolojia nyingi za silaha hao watu kuliko nchi yoyote.
Hao bado wanamtegemea Russia kwenye teknolojia ya silaha.
Back to Israel.. Ukraine, Poland na Urusi zina Jews weng mno. Na kiasi kikubwa dvt ya silaha za Russia pia hawa jamaaa wako nyuma yao.
Hushangai kwann USA na RUSSIA hawana kauli mbele ya Israel ?
Hushangai hawa jamaa wako tayari kupigana na yyte kisa Israel ?
Hujiuliz kwanini Israel bado anafanya mashambulizi Syria na Russia hafanyi chochote.
Incase ya vita kati ya RUSSIA NA USA jua ndo mwisho wa dunia
Nikajua una uelewa kumbe ni debe tupu. Hapo mwishoni umeharisha kabisa.
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Kwanza swali je unamjua myahudi? Maana sijui hapo kwenye kabila la uyahudi na utaifa wa Israel unaingiaje au wayahudi wote ni waisrael na waisrael wote ni wayahudi¿??!
 
Ha ha ha ha [emoji1787][emoji1787]

Achana kabisa na warusi [emoji1787]

Nakukumbusha ndani ya Urusi Kuna kizazi kikubwa mno cha wayahudi na wameamua kuuchagua upande wa Putin..... mathalani akina tajiri Abramovich...

Mkuu Putin si mtu mjinga.....
Abramovich alishabadili uraia siku nyingi, kwa sasa ni raia wa Israel, inasemekana kuna sehemu walipishana na Putin.
 
Biden kashachomoa hataki vita tena kaingia mitini amajificha kwenye vikwazo sasa hivi vita kataki tena
Kabla ya vita kuanza, US na NATO waliweka wazi msimamo wao kuwa hawataingia uwanja wa vita ila watatoa support kwa Ukraine. Ni kipi walichofanya cha tofauti?
 
Wamarekani wa Tandale mpo very disappointed kuona USA amebaki kubweka tu kama mbwakoko. Mliaminishwa USA ndio mbabe pekee kwenye hii dunia. Mtapata taabu sana maana hakuna cha USA wala NATO watakaotia mguu kwenye huo musiki wa Russia
Unavyozungumza ni kama Russia anampiga Mmarekani na NATO kwa wakati mmoja, kumbe ni vita ambavyo NATO na US walisema tokea awali kuwa hawatashiriki uwanja wa vita.
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Weeh zuchu unachofikiria hakuna Russian-Jewish...unachojua wapo Usa-jewish tuu..basi wapo Russian-Jewish na hawaipendi USA..
 
Russia ndo kawapa teknolojia nyingi za silaha hao watu kuliko nchi yoyote.
Hao bado wanamtegemea Russia kwenye teknolojia ya silaha.
Back to Israel.. Ukraine, Poland na Urusi zina Jews weng mno. Na kiasi kikubwa dvt ya silaha za Russia pia hawa jamaaa wako nyuma yao.
Hushangai kwann USA na RUSSIA hawana kauli mbele ya Israel ?
Hushangai hawa jamaa wako tayari kupigana na yyte kisa Israel ?
Hujiuliz kwanini Israel bado anafanya mashambulizi Syria na Russia hafanyi chochote.
Incase ya vita kati ya RUSSIA NA USA jua ndo mwisho wa dunia
Hajui kitu huyu Zuchu tuu mie nakwambia...
 
Abramovich alishabadili uraia siku nyingi, kwa sasa ni raia wa Israel, inasemekana kuna sehemu walipishana na Putin.
Kuna Wayahudi Waashkenazi 160,000 nchini kote Urusi na walio "loyal" kwa Kremlin......miongoni mwao ni raia wazito kufikia kuwa OLIGARCHS.......
 
Leo viongozi wa umoja wa ulaya ni wa kukataa kupokea sim za rais wa Ukraine [emoji3][emoji3][emoji24]
 
Naheshimu michango ya kila mmoja
Ila kumbuka Rais wa Ukraine na makamu wake wote ni Wayahudi ila hawawezi kumsaidia kitu

Myahudi nae hawezi kupigana peke yake anamtegemea [emoji631] kwa mengi

Saddam alipotishia kuivamia Israel wa kwanza kuliona alikuwa ni [emoji631] ndio wakageuza vita ikawa ya Kuwait
 
Hiyo
IMG_20220225_134527.jpg
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Deutschland [Germany] na washirika wake ndio nchi pekee ziliyopigana na mrusi kipindi hicho.

Hebu Jaribu kuziangalia approach zao zimekaaje?
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Unafahamu ki asili Ukraine ina vibasaba vya Israel???
 
Back
Top Bottom