Japo Urusi ni hatari akisaidiwa na Korea Kaskazini, China na Iran, ila kwa Kikosi cha Marekani kilichotua mpakani bado Marekani ni Mbabe wa dunia

Japo Urusi ni hatari akisaidiwa na Korea Kaskazini, China na Iran, ila kwa Kikosi cha Marekani kilichotua mpakani bado Marekani ni Mbabe wa dunia

Russia ndo kawapa teknolojia nyingi za silaha hao watu kuliko nchi yoyote.
Hao bado wanamtegemea Russia kwenye teknolojia ya silaha.
Back to Israel.. Ukraine, Poland na Urusi zina Jews weng mno. Na kiasi kikubwa dvt ya silaha za Russia pia hawa jamaaa wako nyuma yao.
Hushangai kwann USA na RUSSIA hawana kauli mbele ya Israel ?
Hushangai hawa jamaa wako tayari kupigana na yyte kisa Israel ?
Hujiuliz kwanini Israel bado anafanya mashambulizi Syria na Russia hafanyi chochote.
Incase ya vita kati ya RUSSIA NA USA jua ndo mwisho wa dunia
Wewe jamaa mtu wa fix sana 😄 Yaani unachofanya ni kuchanganya ukweli na uongo tu, basi umemaliza
 
duh ushawai ona waisrael wanawashambulia wapalestina bila wap kushambuliwa kwanza ? mara zote wapalestina huanza kushambulia so waisrael hujibu tu mapigo wala hawana ajenda ya kuwasambaratisha
Kaiangalie mipaka ya ISRAEL ya mwaka 1945 wakati walipotoka kuchinjwa kinafiq kule GERMAN nasasa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Mrusi akisaidiwa na korea iran na china?..
Lini wamewahi msaidia mrusi?una akili kweli wewe?
 
Unaongelea ule msafara wa kilometa 60?Warusi watalaani sana siku zote mtu aliyetengeneza Javelins . Javelins zimewavua nguo Warusi Hadi boxer ,Na kutuchama hawataki🤔
Hivi mbona tujavelin Ni tudude tudogo mno twa kupakata began?
Inakuwaje tunasambaratisha kifaru cha Tsh. Billion 9? Bei ya royo tuwa kabisa
 
Walisema kwa maneno lakini vitendo vyao viko dhahiri.
Unavyozungumza ni kama Russia anampiga Mmarekani na NATO kwa wakati mmoja, kumbe ni vita ambavyo NATO na US walisema tokea awali kuwa hawatashiriki uwanja wa vita.
 
Vita siyo kama sinema za Rambo, wamarekani hawana history ya kushinda vita yoyote. Ndiyo maana wanapigana kiuchumi kwanza, strategically kumzoofisha Russia then waangalie option ya military intervention
Uko sawa kabisa,
Ila nikuambie kitu,
Bora Urusi yenye uchumi imara inaweza hata kukaa mezani na kumaliza vita.

Ila Urusi iliyodhoofika kiuchumi ni hatari zaidi kijeshi.

Kwanza itapigana kwa nguvu zote kwa sababu itakua Haina Cha kupoteza.

Pili itapigana kwa nguvu na ghadhbu na kukomoa ili nayo iwashushe na wao kiuchumi ili wakose wote.
 
Back
Top Bottom