Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Biblia inamtaja mwana wa pekee kuwa ni Isaka bila kupepesa macho

Kwa kuwa muda huo Ismail alikuwa kashaondoka na mama yake muda mrefuu kwenda jangwani wakapewa zamzam water hii mnayoikuta mkienda Hijja
Sawa vizuri ,..kwa kuwa umesema Biblia haijapepesa macho kwenye suala hilo....

Naomba unisaidie hili swali....Wakati amri ya mtoto kuchinjwa inatoka, Isihaka alikua na umri wa miaka mingapi,, kwa mujibu wa Biblia?
 
Sawa.. naomba niulize swali.....Wakati amri ya mtoto kuchinjwa inatoka, Isihaka alikua na umri wa miaka mingapi,, kwa mujibu wa Biblia?
Haijatajwa

Wakati amri inatoka Ismael Hakuwepo muda huo alishaondoka na mama yake kwenda Jangwani mudaaa

Ismael Akiwa na miaka 14 anaondoshwa na mama yake kwenda Jangwani..Isaka hapo mdogo miaka 3
Amri hiyo ilikuja badae Ibrahim akiwa na Sara na mtoto wao pekee Isaka
 
Sawa vizuri ,..kwa kuwa umesema Biblia haijapepesa macho kwenye suala hilo....

Naomba unisaidie hili swali....Wakati amri ya mtoto kuchinjwa inatoka, Isihaka alikua na umri wa miaka mingapi,, kwa mujibu wa Biblia?
Ismael alivumbua vipi chemchem ya Zamzam kama waliishi vizuri na Baba yake Ibrahim?kiasi cha kumtoa sadaka?
 
Haijaeleza umri wa Isaka wala umri wa Ibrahim.
Ila siku nyingi zilipita ambazo Isaka alikua kwa kiasi cha kuweza kubeba kuni.
Muda huo Ishmael nduguye alikuwa amefukuzwa miaka mingi
Hapana imeeleza umri wa wote watatu Ibrahim, Ismail & Isihaka.. unless hii mada uwe umeikutia katikati...

Binafsi nimeona wadau wameweka facts zilizoshiba humu... ukipata nafasi jitahidi upitie utaelewa easy kabisa.
 
Wewe ni muislamu hivyo stori hii katika Biblia huijui vizuri
Mi mkristo ila nasoma Quran na Biblia

Leta fungu la Biblia likitaja umri huo unaosema wakati amri ya kuchinja mtoto inatoka
 
Haijatajwa

Wakati amri inatoka Ismael Hakuwepo muda huo alishaondoka na mama yake kwenda Jangwani mudaaa

Ismael Akiwa na miaka 14 anaondoshwa na mama yake kwenda Jangwani..Isaka hapo mdogo miaka 3
Amri hiyo ilikuja badae Ibrahim akiwa na Sara na mtoto wao pekee Isaka
imetajwa nakuweka muda si mrefu hapa...
 
Hapana imeeleza umri wa wote watatu Ibrahim, Ismail & Isihaka.. unless hii mada uwe umeikutia katikati...

Binafsi nimeona wadau wameweka facts zilizoshiba humu... ukipata nafasi jitahidi upitie utaelewa easy kabisa.

Biblia nimeisoma nakuisoma kuliko kitabu chochote.
Nimeirudia zaidi ya mara tatu. Ndio kitabu pekee ambacho ninaufahamu nacho kuliko kitabu kingine.

Nikupe nukuu inayoelezea hicho kisa.

Nimekuambia umri wa Ibrahim na Isaka wakati wanaenda mlima Moriah haujatajwa
 
Wewe ni muislamu hivyo stori hii katika Biblia huijui vizuri
Mi mkristo ila nasoma Quran na Biblia

Leta fungu la Biblia likitaja umri huo unaosema wakati amri ya kuchinja mtoto inatoka
Nakuwekea usijali ondoa shaka,... Details ziliwekwa za kutosha humu itakua uzi umeukutia katikati.
 
Attachments

  • IMG_7303.png
    IMG_7303.png
    710.5 KB · Views: 4
Nimekuwekea makala ya waebrania iliyoandikwa na waebrania,sidhani Kama umeisoma

Nisome kitu ninachokijua?
Au unadhani stori hii naijadili na wewe kisha naenda ku-google kama wewe.

Ibrahim ni muebrania kwa taifa.
baba wa waebrania ni Eber mjukuu wa Nuhu(Nuhu ni Assyrian)
Dini yake ni Myahudi
Mungu wake ni Yehova.
Huyo ndiye Ibrahim
 
Back
Top Bottom