hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Sawa vizuri ,..kwa kuwa umesema Biblia haijapepesa macho kwenye suala hilo....Biblia inamtaja mwana wa pekee kuwa ni Isaka bila kupepesa macho
Kwa kuwa muda huo Ismail alikuwa kashaondoka na mama yake muda mrefuu kwenda jangwani wakapewa zamzam water hii mnayoikuta mkienda Hijja
Naomba unisaidie hili swali....Wakati amri ya mtoto kuchinjwa inatoka, Isihaka alikua na umri wa miaka mingapi,, kwa mujibu wa Biblia?