Sawa vizuri ,..kwa kuwa umesema Biblia haijapepesa macho kwenye suala hilo....Biblia inamtaja mwana wa pekee kuwa ni Isaka bila kupepesa macho
Kwa kuwa muda huo Ismail alikuwa kashaondoka na mama yake muda mrefuu kwenda jangwani wakapewa zamzam water hii mnayoikuta mkienda Hijja
HaijatajwaSawa.. naomba niulize swali.....Wakati amri ya mtoto kuchinjwa inatoka, Isihaka alikua na umri wa miaka mingapi,, kwa mujibu wa Biblia?
Nimeeleza hapo chiniSawa vizuri ,..kwa kuwa umesema Biblia haijapepesa macho kwenye suala hilo....
Naomba unisaidie hili swali....Wakati amri ya mtoto kuchinjwa inatoka, Isihaka alikua na umri wa miaka mingapi,, kwa mujibu wa Biblia?
Sawa vizuri,... utanisaidia maswali machache tu....
Ismael alivumbua vipi chemchem ya Zamzam kama waliishi vizuri na Baba yake Ibrahim?kiasi cha kumtoa sadaka?Sawa vizuri ,..kwa kuwa umesema Biblia haijapepesa macho kwenye suala hilo....
Naomba unisaidie hili swali....Wakati amri ya mtoto kuchinjwa inatoka, Isihaka alikua na umri wa miaka mingapi,, kwa mujibu wa Biblia?
Hapana imeeleza umri wa wote watatu Ibrahim, Ismail & Isihaka.. unless hii mada uwe umeikutia katikati...Haijaeleza umri wa Isaka wala umri wa Ibrahim.
Ila siku nyingi zilipita ambazo Isaka alikua kwa kiasi cha kuweza kubeba kuni.
Muda huo Ishmael nduguye alikuwa amefukuzwa miaka mingi
Hapa sina hakika.Yaani Wakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmoja, Nabii Ibrahim hivyo Mungu wa Wakristo na Waislamu ni Mungu mmoja.
P
Mi najuaSasa mbona unasema walitengana?
Ibrahim hakuwahi kuwa pamoja na Hajiri
bado hujajibu swali la msingi Madam_Ismael alivumbua vipi chemchem ya Zamzam kama waliishi vizuri na Baba yake Ibrahim?kiasi cha kumtoa sadaka?
Nimekuwekea makala ya waebrania iliyoandikwa na waebrania,sidhani Kama umeisomaKwa uelewa wako Ibrahim pekeake alikuwa Muebrania?
Kwa hiyo wewe ukihamahama unakuwa Muebrania?
Lugha ya kiebrania unaijua?
Unajua Baba wa waebrani?
Wewe ni muislamu hivyo stori hii katika Biblia huijui vizuriHapana imeeleza umri wa wote watatu Ibrahim, Ismail & Isihaka.. unless hii mada uwe umeikutia katikati...
Binafsi nimeona wadau wameweka facts zilizoshiba humu... ukipata nafasi jitahidi upitie utaelewa easy kabisa.
Kwa misingi ipi arabuni ni saudia pekee!?..saudia ya mwaka/mipaka gani?Japo arabunj ilikuwepo ila Arabuni ya sasa sio arabuni ya Zaman..
Na arabuni ni saudia peke yake
imetajwa nakuweka muda si mrefu hapa...Haijatajwa
Wakati amri inatoka Ismael Hakuwepo muda huo alishaondoka na mama yake kwenda Jangwani mudaaa
Ismael Akiwa na miaka 14 anaondoshwa na mama yake kwenda Jangwani..Isaka hapo mdogo miaka 3
Amri hiyo ilikuja badae Ibrahim akiwa na Sara na mtoto wao pekee Isaka
Hapana imeeleza umri wa wote watatu Ibrahim, Ismail & Isihaka.. unless hii mada uwe umeikutia katikati...
Binafsi nimeona wadau wameweka facts zilizoshiba humu... ukipata nafasi jitahidi upitie utaelewa easy kabisa.
Nakuwekea usijali ondoa shaka,... Details ziliwekwa za kutosha humu itakua uzi umeukutia katikati.Wewe ni muislamu hivyo stori hii katika Biblia huijui vizuri
Mi mkristo ila nasoma Quran na Biblia
Leta fungu la Biblia likitaja umri huo unaosema wakati amri ya kuchinja mtoto inatoka
Nimekujibubado hujajibu swali la msingi Madam_
Mi nishakuwekea usiwazeNakuwekea usijali ondoa shaka,... Details ziliwekwa za kutosha humu itakua uzi umeukutia katikati.
Aya gani?Tena kwenye Quran waebrania waliotajwa ni ,
Tera(Azar) babaye Ibrahim , Sarah, Isaka, Ishmael, Yakub
Nimekuwekea makala ya waebrania iliyoandikwa na waebrania,sidhani Kama umeisoma
Aya gani?