Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?


Sawa naomba upitie hizi screenshots hapa chini,... Credit kwa DR Mambo alielezea hii ishu ya umri kwa undani sana........ Nadhani licha ya kwamba unasema Biblia unaifahamu vizuri ila inapaswa pia ufahamu kwamba kuna watu wana kipaji cha kuichambua au tusema wameenda extra miles zaidi yako kwenye kuielewa.... Hopefully tupo pamoja 🤝🏼

kwa mtiririko mzuri wa screenshots hizi pitia post #194 kwenye uzi huu.





 
Kwa maneno yako haya Ni Wazi Ismael alizaaliwa Kaanani ambayo ni Israel ya Leo.

Baada ya Isaka kuzaliwa, Ismael na Hajiri walifukuzwa na Ibrahim na kuelekea Maeneo ya Negev na Edom au Jordan ya Leo.

Ni Wazi pasi na Shaka Ibrahim na familia yake hawakuwahi kuishi Mecca katika utoto wa Ismael.

Hili ni proof kuwa Quran ilisema uongo au ilitunga hadithi ambayo ni very contradictory
 
Wakati agizo la mtoto kutolewa sadaka linatoka kwa Mungu kuja kwa Ibrahimu, Ishmaili alikuwa hayupo tena nyumbani kwa Ibrahimu, alikuwa ameshafukuzwa na kupotelea mbali huko majangwani. Sasa Ishmaili angetolewa vipi sadaka?
 
Wewe ni muislamu hivyo stori hii katika Biblia huijui vizuri
Mi mkristo ila nasoma Quran na Biblia

Leta fungu la Biblia likitaja umri huo unaosema wakati amri ya kuchinja mtoto inatoka
Pitia post #194 kwenye uzi huu huu....utaona ishu ya umri imewekwa sawa kabisa..
 
Tofautisha tohara na kuchinja mtoto
Mnasema Ismael kachinjwa kwani katajwa kwa jina hapo?
 

Attachments

  • IMG_7304.png
    2.2 MB · Views: 2

Hiyo sura zote hazielezi kisa cha Ibrahim kutoa mwanaye kafara.
Hizo Aya zinaeleza stori nyingine ambayo ipo nyuma ha stori ya kafara

Embu nenda sura ya 21 na 22
Ndio utakuta kisa cha jaribio alilopewa Ibrahim la kumtoa mwana wa pekee
 
Hiyo sura zote hazielezi kisa cha Ibrahim kutoa mwanaye kafara.
Hizo Aya zinaeleza stori nyingine ambayo ipo nyuma ha stori ya kafara

Embu nenda sura ya 21 na 22
Ndio utakuta kisa cha jaribio alilopewa Ibrahim la kumtoa mwana wa pekee
Quran bana nzuri story ya Yusuf ndo iko in detail
Hizi zingine mtihani
Wkt Biblia kama movie full details
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…