Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Biblia nimeisoma nakuisoma kuliko kitabu chochote.
Nimeirudia zaidi ya mara tatu. Ndio kitabu pekee ambacho ninaufahamu nacho kuliko kitabu kingine.

Nikupe nukuu inayoelezea hicho kisa.

Nimekuambia umri wa Ibrahim na Isaka wakati wanaenda mlima Moriah haujatajwa

Sawa naomba upitie hizi screenshots hapa chini,... Credit kwa DR Mambo alielezea hii ishu ya umri kwa undani sana........ Nadhani licha ya kwamba unasema Biblia unaifahamu vizuri ila inapaswa pia ufahamu kwamba kuna watu wana kipaji cha kuichambua au tusema wameenda extra miles zaidi yako kwenye kuielewa.... Hopefully tupo pamoja 🤝🏼

kwa mtiririko mzuri wa screenshots hizi pitia post #194 kwenye uzi huu.

Screenshot_20240620-235725.png
Screenshot_20240620-235708.png

Screenshot_20240620-235708.png
 
Unasema Hakuwa mke ila biblia Inasema alikuwa Mke sasa Tumuamni nani weeewe Au biblia unayoifuata au ulipotoa kisa...?

Bilha na zilpa wana status tofauti na Hajiri na ndo maana Umeona anadiskasiwa kwa mapana..

Nakurudisha tena kusoma Mwanzo 16:3 ambayo huchangii chochote kuihusu..

Mwanzo 16:3

"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe."

And Sarai Abram's wife took Hagar her maid the Egyptian, after Abram had dwelt ten years in the land of Canaan, and gave her to her husband Abram to be his wife.

Hakuna Kijakazi yoyote Aliwahi kupewa Hii status Kwenye Biblia kama ulimpata Nionyeshe Andiko nijifunze kitu kipya ambaye alikuwa kijakazi halafu akaitwa mke

Nimekujibu kwamba Sheria Za kiyahudi au sheria za kiebrania zimepitia Mapito mengi sana Na zimekuwa zikibadilisha na kutiliwa mkazo...

Sheria za Musa na torah na Sheria za Halakha (Sheria za sasa za kiyahudi) ni tofauti na sheria kipindi cha Ibrahimu na kina Yakobo..

Ni sawa ufananishe Sheria ya Kipindi cha Kinjikitile ngwale na kipindi hiki cha sasa Eti kwa sbabu tu zote ni Tanganyika ....Hapana..
Kwa maneno yako haya Ni Wazi Ismael alizaaliwa Kaanani ambayo ni Israel ya Leo.

Baada ya Isaka kuzaliwa, Ismael na Hajiri walifukuzwa na Ibrahim na kuelekea Maeneo ya Negev na Edom au Jordan ya Leo.

Ni Wazi pasi na Shaka Ibrahim na familia yake hawakuwahi kuishi Mecca katika utoto wa Ismael.

Hili ni proof kuwa Quran ilisema uongo au ilitunga hadithi ambayo ni very contradictory
 
Wakati agizo la mtoto kutolewa sadaka linatoka kwa Mungu kuja kwa Ibrahimu, Ishmaili alikuwa hayupo tena nyumbani kwa Ibrahimu, alikuwa ameshafukuzwa na kupotelea mbali huko majangwani. Sasa Ishmaili angetolewa vipi sadaka?
 
Wewe ni muislamu hivyo stori hii katika Biblia huijui vizuri
Mi mkristo ila nasoma Quran na Biblia

Leta fungu la Biblia likitaja umri huo unaosema wakati amri ya kuchinja mtoto inatoka
Pitia post #194 kwenye uzi huu huu....utaona ishu ya umri imewekwa sawa kabisa..
 
Sawa naomba upitie hizi screenshots hapa chini,... Credit kwa DR Mambo alielezea hii ishu ya umri kwa undani sana........ Nadhani licha ya kwamba unasema Biblia unaifahamu vizuri ila inapaswa pia ufahamu kwamba kuna watu wana kipaji cha kuichambua au tusema wameenda extra miles zaidi yako kwenye kuielewa.... Hopefully tupo pamoja 🤝🏼

kwa mtiririko mzuri wa screenshots hizi pitia post #194 kwenye uzi huu.

View attachment 3021825View attachment 3021826

View attachment 3021824
Tofautisha tohara na kuchinja mtoto
Mnasema Ismael kachinjwa kwani katajwa kwa jina hapo?
 
Attachments

  • IMG_7304.png
    IMG_7304.png
    2.2 MB · Views: 2
Sawa naomba upitie hizi screenshots hapa chini,... Credit kwa DR Mambo alielezea hii ishu ya umri kwa undani sana........ Nadhani licha ya kwamba unasema Biblia unaifahamu vizuri ila inapaswa pia ufahamu kwamba kuna watu wana kipaji cha kuichambua au tusema wameenda extra miles zaidi yako kwenye kuielewa.... Hopefully tupo pamoja 🤝🏼

View attachment 3021825View attachment 3021826

View attachment 3021824

Hiyo sura zote hazielezi kisa cha Ibrahim kutoa mwanaye kafara.
Hizo Aya zinaeleza stori nyingine ambayo ipo nyuma ha stori ya kafara

Embu nenda sura ya 21 na 22
Ndio utakuta kisa cha jaribio alilopewa Ibrahim la kumtoa mwana wa pekee
 
Quran bana nzuri story ya Yusuf ndo iko in detail
Hizi zingine mtihani
Wkt Biblia kama movie full details
 
Back
Top Bottom