stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Nimetumia maneno ya screenshot za Quran na Waislam humu na nje ya Jamii forumsKama hauna uthibitisho wa Qur'an usitie maneno yako au maoni ya watu binafsi kusema ni ya Qur'an au ya Kiislam. Uwe muwazi.
Ndiyo.Quran unasoma Dada yanhu Faiza na biblia pia?
MKuu Nimewahi kuwa Myahudi na Nikasoma One Year Torati na Sheria na TANAKH kwa ujumla...Biblia inajikamilisha kuanzia agano la kale na jipya , ndo maana kitabu cha Isaya kimeongelea maisha ya Yesu Kristo before Yesu ajazaliwa kwa uweza wa Roho mtakatifu.
HUko nyuma nilikujibu swali lako kuhusu Ibrahimu na Ishmael uliliona??Ndiyo.
Nukuu hizo aya, Qur'an yote ina namba ya sura na aya. Ukikuta nukuu isiyo na namba uliza kabla hujaitumia, mengoine ni uzushi wa watu tu.Nimetumia maneno ya screenshot za Quran na Waislam humu na nje ya Jamii forums
Sijalliona, nifahamishe post namba ngapi.HUko nyuma nilikujibu swali lako kuhusu Ibrahimu na Ishmael uliliona??
Qur'an haijakopi kwa yeyote, kama una ushahidi wa kukopi uweke hapa, usijaze watu ujinga uliokujaa.Ujuwe tu kuwa Quran ina miaka 1400 wakati Bibilia ina miaka zaidi ya 2000. Hapo utagundua ni nani kakopi kwa nani?
Halafu kuna watu wanadanganywa eti Mtume wao aliteremshiwa kitabu. Uwongo mtupu
Kuna Post namba #310 na Post #347Sijalliona, nifahamishe post namba ngapi.
Hakuna mtoto wala mkubwa yeyote aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinjwa, hilo nadhani nimeshalijibu, kuwa ni porojo za watu lakini mimi sijawahi kuliona kwenye Qur'an. Na nimekuhakikishia juu huko, na mwenyewe utajionea na kusikia video clipo ya sheikh aliyeambiwa atafsiri akakwepa kwa kumnukuu mtafsiri mwengine wa zamani.Kitu muhimu ni tuutafute ukweli, Mungu hakuleta dini wale Yesu hakuleta dini!. Hoja hapa ni nani mkweli na nani muongo?. Mtoto aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinja ni nani?.
P
Soma post yangu Dada Faiza Namba 310..Hakuna mtoto wala mkubwa yeyote aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinjwa, hilo nadhani nimeshalijibu, kuwa ni porojo za watu lakini mimi sijawahi kuliona kwenye Qur'an. Na nimekuhakikishia juu huko, na mwenyewe utajionea na kusikia video clipo ya sheikh aliyeambiwa atafsiri akakwepa kwa kumnukuu mtafsiri mwengine wa zamani.
Huyo Mungu anayetaka kafara ya damu ya mtu atakuwa ni mchawi, hilo sikubaliani nalo kabisa na halipo kwenye Qur'an.
Sasa kama uislam ni wa mtoto wa kwanza wa ibrahimu basi uislam ndio dini ya kwanzaWakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmoja Ibrahim na Mungu wao ni mmoja, Waislamu ni watoto wa mtoto wa kwanza wa Ibrahim aitwae Ismail na Wakristo ni watoto wa mtoto wa pili Isaka, hata sheria ya Mungu ni sheria ya Musa.
P
Saudia ni zaidi ya Makkah na Madina, kiarabu burbur Cha kwenye QUR'AN kinazungumzwa zaidi Yemen,ambayo imepakana na saudia,na waarabu wanakwambia myemeni ndiye mwarabu haswaIraq ilikuwa Mesopatamia, Misri iliitwa misri hivyo hivyo wakati huo Irani imeanza kuwa Arabuni miaka ya karne ya 18..
Sasa sjui Kama unaijua Historia vzuri kuwa..
Wana historia wanaporefer Arabuni Humaanisha Macca na medina au Saudia peke yake
Unaifata tafsiri ya watu badala kuifata "tafsil" ya Qur'an, hilo neno siyo hapo tu limetumika katika Qur'an, limetumika na kwengine halimaanishi kumchinja mtu kwa kumkata shingo yake. Hiyo ni tafsida ambayo wengi imewapiga chenga.Kukatwa Jando sio Dhabih faiza!
Hapo nitawatetea Waislam unawaonea..
Neno "khitan" au huandikwa kiarabu "ختان" ndo humanisha Jando au Kutairiwa na mtu aliyetahiriwa Huitwa "Makhtun"
Na Faiza Huwa unasoma Quran yako??
Nifatilize..
Soma Surah As-Saffat aya ya 102
فَلَمَّا بَلَغَ مَعَهُ ٱلسَّعْىَ قَالَ يَٰبُنَىَّ إِنِّىٓ أَرَىٰ فِى ٱلْمَنَامِ أَنِّىٓ أَذْبَحُكَ فَٱنظُرْ مَاذَا تَرَىٰ ۚ قَالَ يَٰٓأَبَتِ ٱفْعَلْ مَا تُؤْمَرُ ۖ سَتَجِدُنِىٓ إِن شَآءَ ٱللَّهُ مِنَ ٱلصَّٰبِرِينَ
Inatamkwa hivi ..
"Falamma balagha maAAahu alssaAAya qala ya bunayya innii ara fii almanami annee athbahuka faunthur matha tara qala ya abati ifAAal ma tumaru satajidunii in shaa Allahu mina alssabiriina"
Ambayo maana yake ni hii..
Basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja. Basi angalia wewe, waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao subiri.
nimeshangaa Kuona Neno أَذْبَحُكَ inatamkwa adhbahuka..... Unasema Tafsiri yake ni Jando ulisoma Wapi Arabic Grammar walizokufundisha hivyo??? mpaka kesho Hilo neno Humaanisha Kuchinja Au kuua Wewe umepata wapi maana tofauti na hiyo..
Nipe Andiko akitajwa kuwa Mke wa Yakobo au Yakobo akimtaja kuwa Mke wake
Swali linakuja kwanini unaichukua Aya ya 3 mpaka uiruke na kwanini unabagua aya..
Unataka Niamini maneno ya Yesu alipowaambia Walimu na Mafarisayo..
Kuwa wanachuja Mbu na Kumeza Ngamia????
Yaani wanachukua baadhi ya Mafundisho na mengine kuyaacha (Yale yasiyoyapenda?)
Namimi Nakuuliza EWE Mtibeli KWANINI UNACHUJA MBU N KUMEZA NGAMIA???
Mathayo 23:23-25
Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnalipa zaka za mnanaa na bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu ya sheria, yaani, adili, na rehema, na imani; hayo imewapasa kuyafanya, wala yale mengine msiyaache.
Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia.
Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe na chano, na ndani yake vimejaa unyang’anyi na kutokuwa na kiasi.
Nipe Andiko akitajwa kuwa Mke wa Yakobo au Yakobo akimtaja kuwa Mke wake
Nimekuambia taratibu za Ndoa kwa mujibu wa Biblia ni zipi nakusikiliza Uniambia Ambazo Ibrahimu hakufata kwa Hajiri? 😅Hakuna aliyeruka Aya.
Ishu ni kuwa wewe unatumia aya moja kupinga aya mia moja.
Sheria za ndoa zipo wazi
Ndoa zinataratibu zake nawe unazijua.
Na talaka zinataratibu zake unazijua
Hajiri hajawahi kuwa mke wa ndoa wa Ibrahim.
Hiyo Aya úliyotoa kimantiki na kisheria haiwezi kumfanya Hdjiri kuwa Mke labda kwa mbali Concubine
Bi mkubwa wewe tetea hoja sio hizi porojo, weka haya hizo ili uleweke Kama jamaa alivyo kujibu.Unaifata tafsiri ya watu badala kuifata "tafsil" ya Qur'an, hilo neno siyo hapo tu limetumika katika Qur'an, limetumika na kwengine halimaanishi kumchinja mtu kwa kumkata shingo yake. Hiyo ni tafsida ambayo wengi imewapiga chenga.
Soma hapo hapo ulipo mbele yake kidogo aya ya 107 utalikuta hilo neno lina kisra na kutamkika "dhibh" siyo tena dhabah kama juu hapo ulipopanukuu wewe, unajuwa maana yake hiyo? Maana yake ni "incision" au mkato mdogo siyo kuchinja kama walivyopotosha watu.
Naona hapo umefata porojo za watu na hukuifata Qur'an, Qur'an inajieleza (self-explanatory) na kujibainisha (mubyin) yenyewe, haijawacha kitu kinaning'inia (hanging) ili kije kitiwe mikono ya watu. Hakuna neno la mtu linaloweza kuwa na ubora au uelewa zaidi ya Qur'an.
Ukisoma kuhusu "locution" au lexicon utanielewa nasema nini.
Hiyo uliyoitafsiri ni ndoto ambayo Ibrahim anamuekeza mwanae alichoota, ukitaka kuelewa ni mwanae yupi soma sura hiyohiyo aya ya 113.
Hapo umechanganya madawa, sijakuelewa hizo ayat zote umeziweka ili uthibitishe nini?Suratul Maryam aya 54
وَٱذْكُرْ فِى ٱلْكِتَٰبِ إِسْمَٰعِيلَ ۚ إِنَّهُۥ كَانَ صَادِقَ ٱلْوَعْدِ وَكَانَ رَسُولًۭا نَّبِيًّۭا
TAFSIRI:
Na mtaje katika Kitabu Ismail. Bila ya shaka yeye alikuwa ni mkweli wa ahadi, na alikuwa Mtume, Nabii.
Aya ya pili
surat Ibrahim Aya ya 39
ٱلْحَمْدُ لِلَّهِ ٱلَّذِى وَهَبَ لِى عَلَى ٱلْكِبَرِ إِسْمَٰعِيلَ وَإِسْحَٰقَ ۚ إِنَّ رَبِّى لَسَمِيعُ ٱلدُّعَآءِ
TAfsiri..
"Alhamdulillahi! Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu aliye nipa juu ya uzee wangu Ismail na Is-haq. Hakika Mola wangu Mlezi ni Mwenye kusikia maombi."
Aya ya Tatu
Suratul Baqarah aya ya 127
وَإِذْ يَرْفَعُ إِبْرَٰهِۦمُ ٱلْقَوَاعِدَ مِنَ ٱلْبَيْتِ وَإِسْمَٰعِيلُ رَبَّنَا تَقَبَّلْ مِنَّآ ۖ إِنَّكَ أَنتَ ٱلسَّمِيعُ ٱلْعَلِيمُ
Tafsiri:
"Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi."
Aya Ya nne:
Suratul Baqarah aya ya 136
قُولُوٓا۟ ءَامَنَّا بِٱللَّهِ وَمَآ أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَآ أُنزِلَ إِلَىٰٓ إِبْرَٰهِۦمَ وَإِسْمَٰعِيلَ وَإِسْحَٰقَ وَيَعْقُوبَ وَٱلْأَسْبَاطِ وَمَآ أُوتِىَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَآ أُوتِىَ ٱلنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍۢ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُۥ مُسْلِمُونَ
TAFSIRI:-
"Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake."
Ziko nyingi ila kwa leo Chukua Hizo.labda nyongeza ni 2:133
MKuu Nimewahi kuwa Myahudi na Nikasoma One Year Torati na Sheria na TANAKH kwa ujumla...
Na kwa bahati nzuri Kipindi nakuwa Myahudi..
Tayari nilikuwa nimesoma Theology..
Nikuhakikishie kuwa Agano la kale halina uhusiano na Agano jipya..
Na ndo maana ukisoma Churches History Ilichukua Muda mrefu sana Kuliweka Pamoja agano la kale na agano jipya Mpaka Mwaka karne ya 9 au 10 AD ndo liliwekwa Pamoja..
Makanisa ya awali kama Ebionite christians, Marcionite christian (Sasa hiii iliyokuwa miaka ya 100 mpaka 400) na mengine Walipinga Agano jipya Kuchanganywa na Agano la kale..
Mpaka karne ya 8 mpaka 10 ndo tulipopata bahati kuchanganya..
Na I can Tell you that Tukitumia Agano la Kale Yesu ana fail kuwa Mtarajiwa yaani kama tutatumia kipimo cha agano la kale na maisha ya yesu its really tusifike huko.. Cuz i've been There and i know it....
Isaya unayosema haihusiani na yesu hata kidogo
Aya kishaweka yeye, lakini kaishia juu, nimemweleza hivyo ili akasome muktadha, na wewe pia unaweza kufanya hivyo ili uupate muktadha. Yeye kaweka aya ya 103, nimemfahamishe aende hapo hapo mpaka aya ya 107 atayakuta yanajieleza vizuri:Bi mkubwa wewe tetea hoja sio hizi porojo, weka haya hizo ili uleweke Kama jamaa alivyo kujibu.