Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Kabla hatujafika kwa Mama yake........umekubali kama Qur'an inawatambua Ismail pamoja na Isihaka kama watoto wa Ibrahim aliowapata uzeeni?
Hapana, Qur'an inamtambuwa Is'hak tu.

Humjuwi Ismail wa kwenye Qur'an itabidi umjuwe. Siku ukimjuwa utakiri kuwa ni kizazi cha Ibrahim lakini si mtoto wa Ibrahim.
 
Unatakiwa kwanza ujuwe watafsiri wa Qur'an wametokea wapi na nini historia ya tafsiri.

Kumbuka kuwa tafsiri kamili ya Qur'an imeanza miaka 200 au zaidi ya kifo cha Mtume Muhammad. Porojo na "fantasy" za wa tafasiri ni nyingi. Ndiyo maana tunasisitiza isome Qur'an kama Qur'an inajfasil yenyewe.
 
Sasa hili inabidi uwe unawasisitiza Vijana ambao wanapenda kutafsiri mafundisho ya dini "Literally"
 
Kama vile ulikuwepo kama Mzee wa baraza wakati wanagawanya urithi! Kuwa Mswahili ( Mwafrika) Raha sana.
Mtu mweusi hapa utampenda ,yaani he think anàijua dini na maandiko kushinda mtu yoyote kwenye hii dunia
 
Kwa kutumia Qur'an,. uthibitishe hii kauli uliyosema 👇🏼

Hapana, Qur'an inamtambuwa
Is'hak tu.
Kuwa Qur'an inatambuwa Ishak ni mtoto wa Ibrahim, au vipi?

Ngoja nikupe darsa la kina. Kwanza unafahamu maana ya jina Is'hak?
 
Kuwa Qur'an inatambuwa Ishak ni mtoto wa Ibrahim, au vipi?

Ngoja nikupe darsa la kina. Kwanza unafahamu maana ya jina Is'hak?
Hapana,..nataka uthibitisho kwamba Qur'an haimtambui Ismail kama mtoto wa Ibrahim,...bali inamtambua Isihaka peke yake.

Naomba reference ya uthibitisho wako iwe Qur'an Tu,..

Yes,.nipo tayari kujifunza toka kwako.

Ahsante.
 
Hapana,..nataka uthibitisho kwamba Qur'an haimtambui Ismail kama mtoto wa Ibrahim,...bali inamtambua Isihaka peke yake.

Naomba reference ya uthibitisho wako iwe Qur'an Tu,..

Yes,.nipo tayari kujifunza toka kwako.

Ahsante.
Nithibitishe kitu ambacho hakipo? Ndiyo maana nikakwambia inabidi upate darsa la kutosha, ili umtambuwe Ismail ni nani, halafu wewe mwenyewe utafdikia tamagti kuwa kweli huyu si mtoto wa Ibrahim bali ni kizazi cha Ibrahim.

Qur'an haitwakiwi uifanyie haraka kijana, inataka uielewe kama ilivyo siyo kwa kupitia watafsiri. Ukipata bahati ya kuweza kufanyiwa "tafsil" inabidi upige goti usubiri darsa.

Naam, "tafsil", siyo tafseer".

Natumai u Muislam na unaelewa kuisoma Qur'an japo kwa kiwango cha kuisoma tu bila kuelewa maana yake, ndivyo?
 
Sawa...Ili nikurahisishie kazi thibitisha kwa njia yoyote ambayo unaona inafaa....

Pia sijasema utumie watafsiri...wewe ukitaka tumia Qur'an kwenye original text yake utaeleweka vizuri tu,...ondoa shaka kabisa.

Yap,Mimi ni Muislam naweza kuisoma Qur'an na naelewa maana ya kile ninachokisoma.
 
Utofauti wa mm na wewe, I actually know things instead of kuingia Google and kusearch vitu au kutafuta YouTube videos inaonekana hujui kitu 😅 😅 😅
Ndugu yangu, the bible has many version but it has never been changed, why??
Because we have "Dead sea Scrolls" ambazo zilipatikana 1940s which confirm the original manuscripts from over 2000 years ago, sasa unachojaribu kusema ni kwamba translation ni sawa na kubadilisha which is not, ndio kuna translation nyingi za biblia, mm binafsi natumia King James Version but mind you these other transactions don't remove the core principles, tasfiri haimaniishi ujumbe utabadilika, ndio kuna utofauti kidogo unaweza ukawepo lakini ujumbe mkuu ni uleule.

Also we have the 5700 Greek manuscripts dated from 2nd to the 10th A.D all agreeing to an infinitesimal degree, tuna evidence ya vitu vilivoandikwa humo, je kuna variance(tofauti)?? Ndio, je kuna tofauti ya maana au ya ujumbe?? Hapana, na ukisoma kwa makini utakuja kuona utafuti uliopo is absolutely negligible, mfano manuscript moja imeandika "Jesus was the son of marry" another manuscript ikaandika "Jesus was the son of marry" two times, je kuna tofauti?? Ndio, iko wapi?? Kuna manuscript moja imezidisha maneno na kusema mara mbili, je kuna madhara yoyote ya ujumbe?? No, hakuna it was just emphasised by an overly enthusiastic scribe who wanted to emphasize "Jesus was the Son of Marry" the point is haibadilishi the core meaning.

Sisi ni wakristo hatuna haja ya kudanganya wala kusema uongo kama nyie mnavojidanganya kwamba Quran ni perfect, hapana Quran yenyew imepitia mabadiliko mengi tuu na kuna baadhi ya Islamic scholars washajitokeza na kusema hichi kitu.

So broo we're in the boat, uzuri naijua biblia yangu vizur na ujumbe uliobeba, sio kama quran inayosema shetani anajificha kweny pua za watu asubuhi, mara shetani akisikia adhana ana jamba sijui anarchic ushuzi msikitini ili msi swali vizur, story za kipumbavu kabisa hizo 😅 😅 😅

Na najua kwann hii point ya biblia kuwa na translation nyingi waislamu mnaing'ang'ania sana, kwasababu bila hii point uislamu unakufa, uislamu umejekenga katika dhana kwamba biblia ni neno la mungu lililoshushwa lakini watu wakalibadilisha wakalichakachua likawa corrupted, kwaio dini yenu ime base kweny hio point kwamba biblia imekuwa corrupted so Quran ndo neno la mungu halisi lisilochachuliwa, bila kuipondea biblia kwamba ni corruption hamna point nyingine ya kuitetea quran yenu.

Na hio kitu inanichekeshaga sana, mnasema biblia sijui torati, zaburi na Injili zilishushwa na mungu maana yake ni neno la mungu yaan Allah(surah 3:3-4), si ndio?? Na Allah anasema kweny quran kwamba "Neno lake haliwez kuchakachuliwa"(His words can't be corrupted) surah 18:27
Sasa huoni kama Allah na Muhammad wanaji contradict, Anasema maneno yake hayawez kuchakachuliwa lakini maneno yake ya awali analaumu binadamu kwa kuyachakachua kwaio akaleta maneno mengine(quran)
😅 😅 😅
Don't you think that's confusing??

Unamjua Abdullah Ibn Saad Ibn Abi Sarh??

alikuwa mwandishi mkuu wa Mtume. Baada ya kuona linguistic errors katika revelations(mafunuo) ya Mtume na tabia ya muddy kufanya mabadiliko mara kwa mara kulingana na mapendekezo ya Ibn Abi Sarh, alitoroka kutoka Madina kwenda Месса. Alisema wazi kuwa qur'an ni uzushi na sio kitabu kutoka kwa Mungu yeyote. Kisha Muddy kama kawaida yake akaamuru kuuawa kwake kwa kulipiza kisasi. Ilikuwa ni mauaji ya kwanza ya murtadi katika Uislamu.
Ngoja nikupe scenario moja aliyotoa huyu jamaa;
"the Messenger of Allah invited him so that he could write him the revelation, so when the verse 23:12 ("And certainly did We create man from an extract of clay") was revealed, the Prophet called Ibn Abi al-Sarh, and dictated it to him and when the Prophet reached the end of 23:14 ("...Thus, We formed him into a new creation") Abdullâh said in amazement ("فتبارک اللّٰہ احسن الخالقین So blessed be Allah, the Best of creators!"). The Prophet said:" Write these words too (i.e., فتبارک اللّٰہ احسن الخالقین "So blessed be Allah, the Best of creators!"), as these words have also been revealed to me."
Abdullah Ibn Saad Ibn Abi Sarh - Wikipedia
 
Safi sana, tuanzie hapa, umeelewa nini hapo, Qur'an 57:26:

وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا نُوحًۭا وَإِبْرَٰهِيمَ وَجَعَلْنَا فِى ذُرِّيَّتِهِمَا ٱلنُّبُوَّةَ وَٱلْكِتَـٰبَ ۖ فَمِنْهُم مُّهْتَدٍۢ ۖ وَكَثِيرٌۭ مِّنْهُمْ فَـٰسِقُونَ ٢٦
 
Broo 😅 😅 😅
Mkutano wa Bwana sio kuingia katika ufalme wa mungu 😅
Ndo maana nakwambia hujui kitu.

Uliposema kwamba sijui wew emeleta mambo ya mwanaharamu na mm nimeleta mambo ya mauaji inazidi kuonesha jinsi gani ulivokuwa empty kichwani na kujaribu kukuelezea na kukutafunia vitu lakini bado huelewi, lakini nahic hutaki kuelewa kwasababu ukielewa utaanza kumpinga muddy so inabidi ukaze ili uendelee kumtumikia muddy.

The main concept ni dhambi na urithi wa dhambi, mungu anasema mwenyew dhambi asiingie kweny mkutano wake, mkutano wake ni mkusanyiko waliokuwa wakiufanya kweny hekalu la mungu ambapo hata kuhani aliyekuwa anahudumia akikosea kujitakasa tuu nayeye anakufa kwasababu kweny mkutano wa Bwana uwepo wa mungu unashuka so panakuwa patakatifu sana, so walikuwa wanapewa maelekezo ya kujitakasa sana na kutubu, lakini haimaanishi kwamba kahaba aliyekuwa mzinifu akaanza ukahaba wake anamua aungame dhambi zake na kutoa sadaka za kafara(mwanakondoo) kwamba hatasamehewa milele na hatoingia milele kweny hekalu la mungu, hapana that's a misconception ambayo wewe unajaribu kuifanya iwe reality lakini ni uongo mtupu mungu wetu hayupo ivo.

Na vilevile hata urithi wa dhambi, kizazi kikiamua kuachana na dhambi za babu/bibi zao na kuungama na kutoa sadaka, mungu mwenye rehema hawez kuwaacha eti kisa babu zao walimkosea, mungu hayupo hivo, hapo alikuwa anazungumzia vizazi vinavoendeleza tabia za babu/bibi zao, usijichanganye broo.
 
Hapo Allah anataja kwamba aliwatuma Nuhu na Ibrahim kisha akajaalia unabii na kitabu kwenye kizazi cha Mitume hao,..kisha akamalizia kwamba wachache katika vizazi vya manabii hao walikua waongofu na wengi wao walikua waovu.

Hivyo ndiyo nilivyoelewa.
 
Miongoni mwao, watano ni Mitume wakubwa ambao walipewa mitihani mingi wakawa na subira kustahimili matatizo ya umma zao. Hawa ni Nuhu, Ibrahimu, Musa, Isa na Muhammad.
My point is, hao mitume wakubwa ambao wapo pia kweny quran mmewatoa kweny Dini ya wayahudi, mbona unakuwa mgumu sana kuelewa, hao ni figures waliokuwepo tuu kweny dini ya kiyahudi, kabla ya uislamu huwez kukuta Zoroastrians(Dini ya Iranians before islamic revolution) wanamzungumzia Mussa au Ibrahim or huwez kuta Hindus wanamzungumzia Yesu au nuhu.
Ni characters mlio adapt from Judaism.
 
Naam, ndivyo nilivyoelewa mimi, kwa kuongezea nilichoelewa, kuwa mitume yote inatokana na vizazi vya hao.

Hapo tupo pamoja, tuendelee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…