Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Yapo kwenye Qurani ya Mayunga na ya Shehe Farsy na ya Makardiani.
Maelezo hayo yamo kwenye biblia yenu ya Queen James Version?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapo kwenye Qurani ya Mayunga na ya Shehe Farsy na ya Makardiani.
Hapana, Qur'an inamtambuwa Is'hak tu.Kabla hatujafika kwa Mama yake........umekubali kama Qur'an inawatambua Ismail pamoja na Isihaka kama watoto wa Ibrahim aliowapata uzeeni?
Natumaini umeielewa.Maelezo hayo yamo kwenye biblia yenu ya Queen James Version?
Unatakiwa kwanza ujuwe watafsiri wa Qur'an wametokea wapi na nini historia ya tafsiri.Point yangu iko Juu ya Tafsiri.
Mimi nimebahitka kusoma Elimu ya Bibilia na Historia yake pamoja na Athari ya Tafsiri katika Muktadha.
Watafsiri wa Maandiko katika miaka 3000-2000 iliyopita kwa kiwango kikubwa wamebadili Literal meaning ya vitu vingi sana.
Moja ya Muathirika Mkubwa ni Quran na Mafundisho ya Uwepo wa Moto (Kwa Ukristo).
Quran kwa Kiwango kikubwa imekusanywa kutoka Hadithi au memorization ya waarabu ambao wengi walikuwa Wapiganaji na walifia vitani na watu wachache ndio walikuwa wameishika.
Mfano wa huu mjadala wa Kisa cha Ibrahim.
Traditionally Wayahudi, Waarabu na Watu wengi Middle East they consider Ibrahim as their patriach kwa hiyo ni rahisi Watafsiri kubadili maandiko according to their narrative
Sasa hili inabidi uwe unawasisitiza Vijana ambao wanapenda kutafsiri mafundisho ya dini "Literally"Unatakiwa kwanza ujuwe watafsiri wa Qur'an wametokea wapi na nini historia ya tafsiri.
Kumbuka kuwa tafsiri kamili ya Qur'an imeanza miaka 200 au zaidi ya kifo cha Mtume Muhammad. Porojo na "fantasy" za wa tafasiri ni nyingi. Ndiyo maana tunasisitiza isome Qur'an kama Qur'an inajfasil yenyewe.
Thibitisha hili toka kwenye Qur'an....Hapana, Qur'an inamtambuwa Is'hak tu.
Natumaini umeielewa.
Yeremia 8:8.
Mambo ya kuchinja mtoto asiye na jina kwenye ndoto ndio anayoyakataa Yeremia.
Mtu mweusi hapa utampenda ,yaani he think anàijua dini na maandiko kushinda mtu yoyote kwenye hii duniaKama vile ulikuwepo kama Mzee wa baraza wakati wanagawanya urithi! Kuwa Mswahili ( Mwafrika) Raha sana.
Unataka nithibitishe nini?Thibitisha hili toka kwenye Qur'an....
Kwa kutumia Qur'an,. uthibitishe hii kauli uliyosema 👇🏼Unataka nithibitishe nini?
Kuwa Qur'an inatambuwa Ishak ni mtoto wa Ibrahim, au vipi?Kwa kutumia Qur'an,. uthibitishe hii kauli uliyosema 👇🏼
Hapana, Qur'an inamtambuwa
Is'hak tu.
Hapana,..nataka uthibitisho kwamba Qur'an haimtambui Ismail kama mtoto wa Ibrahim,...bali inamtambua Isihaka peke yake.Kuwa Qur'an inatambuwa Ishak ni mtoto wa Ibrahim, au vipi?
Ngoja nikupe darsa la kina. Kwanza unafahamu maana ya jina Is'hak?
Nithibitishe kitu ambacho hakipo? Ndiyo maana nikakwambia inabidi upate darsa la kutosha, ili umtambuwe Ismail ni nani, halafu wewe mwenyewe utafdikia tamagti kuwa kweli huyu si mtoto wa Ibrahim bali ni kizazi cha Ibrahim.Hapana,..nataka uthibitisho kwamba Qur'an haimtambui Ismail kama mtoto wa Ibrahim,...bali inamtambua Isihaka peke yake.
Naomba reference ya uthibitisho wako iwe Qur'an Tu,..
Yes,.nipo tayari kujifunza toka kwako.
Ahsante.
Sawa...Ili nikurahisishie kazi thibitisha kwa njia yoyote ambayo unaona inafaa....Nithibitishe kitu ambacho hakipo? Ndiyo maana nikakwambia inabidi upate darsa la kutosha, ili umtambuwe Ismail ni nani, halafu wewe mwenyewe utafdikia tamagti kuwa kweli huyu si mtoto wa Ibrahim bali ni kizazi cha Ibrahim.
Qur'an haitwakiwi uifanyie haraka kijana, inataka uielewe kama ilivyo siyo kwa kupitia watafsiri. Ukipata bahati ya kuweza kufanyiwa "tafsil" inabidi upige goti usubiri darsa.
Naam, "tafsil", siyo tafseer".
Natumai u Muislam na unaelewa kuisoma Qur'an japo kwa kiwango cha kuisoma tu bila kuelewa maana yake, ndivyo?
Uliandika
Biblia kuwa na versions nyingi, haina shida, as long as ujumbe uliokusudiwa umekuwa preserved mimi sioni shida yoyote.
Majibu
Wewe unaweza kuona hamna shida huo ni uamuzi wako lakini shida ipo
Shirika la U.S News & World Report, linanukuu kuwa, kikundi cha wasomi wa kikristo kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa. Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu…") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani. Ripoti ya Julai mosi, 1991, p. 57.
Dr. J.K. Elliott, wa kitengo cha Thiolojia na Tafiti za Kidini wa Chuo Kikuu cha Leeds, ameandika makala iliyochapishwa katika jarida la The Times, London (10 Septemba, 1987) yenye kichwa "Kutazama mizizi ya Biblia". Ndani ya makala yake, ameeleza kuwa: "Zaidi ya miswada 5,000 inayojumuisha Agano Jipya lote au sehemu yake iliyo katika lugha ya asili. Miswada hii imepangika katika madaraja ya kuanzia karne ya pili hadi kuvumbuliwa kwa uchapaji. Imekisiwa kuwa hakuna hata watu wawili wanaoafikiana kwa kila kitu.
Mwandishi aliendelea kufafanua kuwa "hakuna hata mswada mmoja wenye matini isiyobadilishwa kutoka katika uasilia wa ukamilifu wake, na kwa hiyo, "hakuna awezae kuchagua mswada wowote miongoni mwa miswada hiyo na kuuamini kwa imani ya pekee eti mswada huo ndio wenye ukiritimba wa kuwa ndio maneno asilia ya watunzi."
Aliendelea kusema zaidi: "Kama mtu ataendelea kupinga na kudai kuwa maandiko asilia yamenusurika pahala fulani kwenye maelfu ya miswada iliyopo, basi mtu huyo atalazimika asome miswada yote hiyo, hatua kwa hatua, ili kukusanya tofauti miongoni mwa miswada hiyo, kisha atathimini, lahaja kwa lahaja, ili ajue ni mswada upi wenye [matini] asilia na upi ndio wa matini ya nafasi ya pili.
Matarajio kama hayo yaliwakatisha tamaa wasomi wengi wa Biblia walioaminia yaliyomo katika matini zilizochapwa za zama za mwanzo, wasomi hao walichukua ushahidi wa miswada waliyoiona kuwa ni bora.
Hata matoleo ya Agano Jipya kwa Kigiriki yaliyochapwa kisasa, vilevile mafafanuzi ya kisasa yametegemea chapa hizo za zama za mwanzo; kwa kawaida hufuata utaratibu huu wa kujenga matini zao kwa kutumia msingi finyu ambao hauonekani kuwa ni wa asili kikamilifu."
Kwa kukuongezea jaribu kuangalia hii documentary kutoka BBC
View: https://youtu.be/DjW-df7qJaM
Safi sana, tuanzie hapa, umeelewa nini hapo, Qur'an 57:26:Sawa...Ili nikurahisishie kazi thibitisha kwa njia yoyote ambayo unaona inafaa....
Pia sijasema utumie watafsiri...wewe ukitaka tumia Qur'an kwenye original text yake utaeleweka vizuri tu,...ondoa shaka kabisa.
Yap,Mimi ni Muislam naweza kuisoma Qur'an na naelewa maana ya kile ninachokisoma.
Broo 😅 😅 😅Majibu,
Kwanza hapo unachanganya , aya uliyoleta wewe inahusu mauwaji , niliyoleta mimi inahusu mwanaharamu kutoingia ufalme wa Mungu.
sasa kama wewe unaona Mungu hakufanya haki kwani malaya anaweza kutubu , hayo ni wewe na huyo aliyetoa hiyo amri pengine wewe unajiona unajuwa zaidi kuliko huyo aliyetoa hiyo amri ya kutokuingia kwenye ufalme wake
Hapo Allah anataja kwamba aliwatuma Nuhu na Ibrahim kisha akajaalia unabii na kitabu kwenye kizazi cha Mitume hao,..kisha akamalizia kwamba wachache katika vizazi vya manabii hao walikua waongofu na wengi wao walikua waovu.Safi sana, tuanzie hapa, umeelewa nini hapo, Qur'an 57:26:
وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا نُوحًۭا وَإِبْرَٰهِيمَ وَجَعَلْنَا فِى ذُرِّيَّتِهِمَا ٱلنُّبُوَّةَ وَٱلْكِتَـٰبَ ۖ فَمِنْهُم مُّهْتَدٍۢ ۖ وَكَثِيرٌۭ مِّنْهُمْ فَـٰسِقُونَ ٢٦
My point is, hao mitume wakubwa ambao wapo pia kweny quran mmewatoa kweny Dini ya wayahudi, mbona unakuwa mgumu sana kuelewa, hao ni figures waliokuwepo tuu kweny dini ya kiyahudi, kabla ya uislamu huwez kukuta Zoroastrians(Dini ya Iranians before islamic revolution) wanamzungumzia Mussa au Ibrahim or huwez kuta Hindus wanamzungumzia Yesu au nuhu.Miongoni mwao, watano ni Mitume wakubwa ambao walipewa mitihani mingi wakawa na subira kustahimili matatizo ya umma zao. Hawa ni Nuhu, Ibrahimu, Musa, Isa na Muhammad.
Naam, ndivyo nilivyoelewa mimi, kwa kuongezea nilichoelewa, kuwa mitume yote inatokana na vizazi vya hao.Hapo Allah anataja kwamba aliwatuma Nuhu na Ibrahim kisha akajaalia unabii na kitabu kwenye kizazi cha Mitume hao,..kisha akamalizia kwamba wachache katika vizazi vya manabii hao walikua waongofu na wengi wao walikua waovu.
Hivyo ndiyo nilivyoelewa.