Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

Watu wanadhani hizi ni story tu kwakweli yakikufika hutoboi kabisa.

Hiyo mzee kama hayakuwa na msingi wa mawazo basi tegemea magonjwa ya moyo,sukari Bp nk hawezi kwepa ukiangalia na umri wake. Ni hatari sana asee
 
Wanawake wana fitina kubwa chini ya jua dhidi ya mwanaume......tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu.....hapajatokeapo watu wafitini kama wanawake........

Maanguko mengi ya wanaume waliokuwa shupavu, mahiri na wenye misimamo yameletwa na wanawake.....rejea anguko la FARAO....anguko la Samson na wengine wengi......

Wapo wana ndugu waliogeuka kuwa maadui....wapo wana familia walioangamizana yote baada ya ujio wa wanawake......

Wanawake wamebeba Shari kubwa sana chini ya ulimwengu huu.....


Ndio maana kwenye uislamu unapokwenda kuoa unapomchukua mkeo unatakiwa useme dua hii( naandika kwa Kiswahili)
" Ee Mola wangu mlezi nijaalie neema na mema ya mwanamke huyu na uniepushe na shari zake"......

TUISHI NAO KWA AKILI.........
Moja ya alama ya kuishi na mwanamke kwa akili ni kujua wakati gani wa kuishi na wakati gani wa kumuacha aende.......
 
Mwanamke siyo ndugu Yako Wala hutakiwi kumshirikisha kwenye Kila jambo lako, mwanamke ni mzazi wa watoto wako tu ila siyo ndugu Yako,
Hivi visa kati ya visa vyote huwa vinaniuma sana(kile Cha pili sijafunguka tu ) maana najua wazi Watoto wamo humu kabisa wamesoma na wanakazi zao nzuri tu
 
Aiseee
 
Aiseee
 
Inaniuma sana hii kitu 😫😫😫
Watu wanadhani hizi ni story tu kwakweli yakikufika hutoboi kabisa.

Hiyo mzee kama hayakuwa na msingi wa mawazo basi tegemea magonjwa ya moyo,sukari Bp nk hawezi kwepa ukiangalia na umri wake. Ni hatari sana asee
 
Wanaume tumekuwa dhaifu na kulia lia sana. Yaani hilo tu likamfanya ajiue?
Huenda sisi tunaona ama kusikia tuliyosikia yeye ndo alikuwa na mzigo wa mengi kifuani mwake. Siwezi sema ni sababu kubwa ya kukufanya ujiue Kwa kifupi tu huenda mimi ndo ningeua nakujikuta npo jera maisha.

Tunatofautiana mkuu
 
Ila Wanawake aisee, kuna Mwamba alikutana na Mwanamke wakawa wanaishi kinyumba, jamaa akamtafutia kazi Mwanamke mpaka wakapata mtoto kumbe yule demu alikuwa anawasiliana kwa njia ya email na jamaa aliyesoma naye ughaibuni Chuo kikuu. Demu kwanini asitoroke na kwenda ughaibuni kumfuata jamaa yake. Pamoja na yule mtoto. Ile kuondoka jamaa akawa mtu wa 🍺 na akapata ajali na kazi akapoteza na ajali ilimuacha na ulemavu na simanzi nyingi sana.
 
Wewe ndo unawaza hivyo yeye muda huo hakuwaza na laiti angeshirikisha watu wasingemshauri au kumruhusu ajiue. Kimsingi hakuna sababu ya kukufanya ujiue haipo haipo haipo chini ya jua
Maana hata ukiua utafungwa jera maisha .
 
Umenene vyema sana mkuu. Huwa Nasema waone wamevaa nguo na sauti nyororo ukazan ni watu subiri yakufike
 
Wanaume msimame imara, hivi hivi mtakwisha.

Hawa wanawake wakishajua kuvua nguo na hata kuzaa, hawasikii na hawajali kitu.

Be strong my sons.
Kizazi chenu hakipo tena nadhani unaona vituko vya mabinti zenu wa kileo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…