Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #61
Hatari mkuuAiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari mkuuAiseee
KabisaKizazi chenu hakipo tena nadhani unaona vituko vya mabinti zenu wa kileo
Wakukaya acha tu ni waigizaji waziri sana Hawa. Akichoka kuigiza ndo utamjua alivyo. Kwanza wao Kwa wao hawapendani kabisa hapo Sasa ndo utajua ni mashetani wenyewe ukiwakuta wanacheka utadhani malaika wamekutana kumbe unafiki tupu.Ila Wanawake aisee, kuna Mwamba alikutana na Mwanamke wakawa wanaishi kinyumba, jamaa akamtafutia kazi Mwanamke mpaka wakapata mtoto kumbe yule demu alikuwa anawasiliana kwa njia ya email na jamaa aliyesoma naye ughaibuni Chuo kikuu. Demu kwanini asitoroke na kwenda ughaibuni kumfuata jamaa yake. Pamoja na yule mtoto. Ile kuondoka jamaa akawa mtu wa 🍺 na akapata ajali na kazi akapoteza na ajali ilimuacha na ulemavu na simanzi nyingi sana.
Sana mkuu.Huwezi kujua kuwa dunia ina mambo mpaka likukute jambo.......
ya bahari is more better dear baba ili akili ichangamke uthink well how to live with her[emoji4]Kabisa Nina uchungu sana wanaume kufa kimzaha zaha Hivi. Maji ninywe kiasi Gani,Nikinywa maji ya Ziwa lote yatatosha au nije ninyw ya bahari ya Hindi?
UhakikaSawa ishi na mkeo kwa akili
Kwa hali ilivyo nakuwa sana mgumu kutoa ushauri wa masuala ya ndoa wala kumsukuma kijana kuoa....maana unaweza ukamuweka mtu sehemu inayomfanya akuchukie maisha yake yote......Umenene vyema sana mkuu. Huwa Nasema waone wamevaa nguo na sauti nyororo ukazan ni watu subiri yakufike
Ni shida sana Hawa viumbe. Kuna mtoto wa marehemu ni mjeshi(kisa Cha 2) alikuwa analia Kwa hasira na hisia Kali sana anasema mama wewe ndo umesababisha haya yote.Nakuongezea kisa, Morel mwana appolo alijinyonga mwaka juzi kisa na mkasa akiwa mererani anapambana anatuma pesa kwa mke wake , mke kosa pesa atunze ili baadae wapige hesabu yeye karuka hadi moshi kanunua eneo na kaanza kujenga hotel , jamaa ukumbuke akaunt anayoingiza pesa ya mke wake , ilipofika muda akauliza vipi huko tuna bei gani, mwanamke kwenda benki analeta slip yenye salio kama milioni tano, wakati jamaa hesabu za haraka alijua kama sio 200m basi itakosa kidogo, mwanamke hotel imeisha tena kwa jina lake na kwa siri, kuhoji zaidi anaambiwa Ile benki kuna chuma ulete, moreli alichanganyikiwa ikabidi ajinyonge, hivo ishini nao kwa akili ni watu waliojaa tamaa Sana kwa sasa
point to note : "wanawake hawapendi mwanaume dhaifu"It is fine is genetic weakness is the case.
Wanawake hawapendi kuishi na Mwanaume dhaifu.
They will always find a way to get rid of you even if you have wealth and richness
Kumkuta mwanaume ndo chanzo Cha uharibifu kwenye ndoa yake ni nadra sana Tena kwenye wanaume kumi unaweza usione kabisa. Hivyo mkuu usemavyo ni kweli kabisaa100%Kwa hali ilivyo nakuwa sana mgumu kutoa ushauri wa masuala ya ndoa wala kumsukuma kijana kuoa....maana unaweza ukamuweka mtu sehemu inayomfanya akuchukie maisha yake yote......
Kwa kifupi mambo ni magumu na yanazidi kuwa magumu.....
Hata ukitazama kwenye mabaya walevi wengi kupindukia ni wale waliooa......ndoa zimewasukuma watu kwenye matukio na matendo ya ajabu sana........
Wengine mpaka wamepata UKIMWI kwa kujaribu kutafuta faraja nje baada ya nyumbani kuwa jahanam......
point to note : "wanawake hawapendi mwanaume dhaifu"
note hii point mtoa mada Nikifa MkeWangu Asiolewe
There is always 3 sides of the story. Wewe pambana na yako, hakikisha haukufi mapema. Life is short and sweet, linda moyo wako maana ndipo zitokapo chemchemi za uzima.Kivipi mkuu? Hutaki tuseme yanayotokea kwenye jamii yetu?
Nakubaliana nawewe. Kuna jamaa yangu ni mtendaji Huwa anasema akiona mwanamke anakuja analia ofisi Huwa hamsikilizi kabisa kabisa hata kama anamfahamu.Hatari sana mwanamke sio mtu wa kuonewa huruma
Mwanamke ndio chanzo cha dhambi , mwanamke ndio chanzo cha vita, matatizo mengi husababisha wao na wanajua kuigiza vizuri Sana utakuja kuduwaa ukiujua ukweli na undani wakeKumkuta mwanaume ndo chanzo Cha uharibifu kwenye ndoa yake ni nadra sana Tena kwenye wanaume kumi unaweza usione kabisa. Hivyo mkuu usemavyo ni kweli kabisaa100%