Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Na mkeo tutaoa tuuu..
Hata kama akiolewa na mwingingne basi atakua mshangzi 😂😂😂😂😂
Hata kama akiolewa na mwingingne basi atakua mshangzi 😂😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna uongo mwingi.Kisa cha kwanza, hayo mashamba yalikuwa na jina la mke? Mbona anakopea na kuyauza kirahisi mno?
Hata hao Nina uhakika walikuwa hawajawahi kufikiria vile.Cjawahi kufikiria kujitoa uhai kisa mtu hapana kwa kweli.
Uko sawa. Usipojiua wewe atakuua yeye. Achana nao kabisa Hawa watuMwanaume kufa kisa mwanamke ni udhaifu narudia ni udhaifu
Mpaka mseme alaaaahHizi mada lengo lenu ni nini haswa? Wanawake wangapi wanakufa sababu ya hizo hizo ndoa, mbona hawapigi kelele!! Wanaume mna agenda gani haswa?
Kabisa hapa nimeleta visa ambavyo vimeniumiza sana.There is always 3 sides of the story. Wewe pambana na yako, hakikisha haukufi mapema. Life is short and sweet, linda moyo wako maana ndipo zitokapo chemchemi za uzima.
Tuseme nini sasa!! Kuweni wanaume, acheni kulia lia kama Mungu hakuwapa akili.Mpaka mseme alaaaah
Agenda mnatuua kabla ya muda wetu. Siyo kwamba kutuniga ama kutuwekea Sumu Bali Kwa Njia mbaya zaidi mnazotumia.Hizi mada lengo lenu ni nini haswa? Wanawake wangapi wanakufa sababu ya hizo hizo ndoa, mbona hawapigi kelele!! Wanaume mna agenda gani haswa?
Acheni kutuua aseeTuseme nini sasa!! Kuweni wanaume, acheni kulia lia kama Mungu hakuwapa akili.
Mbona kama mimi ndo nabeba lawama zote AtotoTuseme nini sasa!! Kuweni wanaume, acheni kulia lia kama Mungu hakuwapa akili.
Mwanaume mpumbavu hujisababishia kifo chake mwenyewe. Kulia lia hakutowasaidia.Agenda mnatuua kabla ya muda wetu. Siyo kwamba kutuniga ama kutuwekea Sumu Bali Kwa Njia mbaya zaidi mnazotumia.
Watu sijui mnashida Gani tu Hivi Hadi tuwe tunafanyaje ndo mnajua ni kweli? Au tufanye jamaa hajafa basiHapa kuna uongo mwingi.
Kama sio bikra usioeMabibi na mabwana Habari za uzima wenu!.
Wakuu sijaenda kanisani Leo mwaka wa6 sasa bila kukanyaga kanisani. (Haiwahusu)
Nina USHAHIDI na mifano mingini sana ya wanaume waliokufa na chanzo wakiwa wake zao!
Hapa nitajikita na mifano 2 ama mitatu kama nitaweza kuandika hapahapa maana sipendi kuandika inaendelea....
Mwezi ulio pita tulimzika jirani yangu baada ya kujinyonga sababu haikuwekwa wazi sana.
Mke alisema alikuwa na madeni mengi sana (jambo ambalo siyo kweli)
Baada ya mazishi na siku kupita ndo yakaibuka yakuibuka chanzo Hadi jamaa alifikia hatua hiyo ya kujimaliza.
Story ipo Hivi;-Jamaa alikuwa ana nunua mlima wenye mawe na kuanza shughuli za kulipua mawe na kuuza Kwa wenye gari (ujenzi na kokoto)
Hii ndo ilikuwa kazi yake kubwa sana. Na ndo ilikuwa inamlisha yeye na familia yake pamoja na kusomesha Watoto wake.
Mke wake alikuwa ni mama wa nyumbani tu. Ila nyuma yake alijiingiza kwenye mikopo hii ya kausha damu.
Kuna baadhi ya vitu vilienda kama bufa screen na masofa kufidia deni alikuwa anadaiwa.
Hii ni mwaka Jana. Mme wake akaenda kuvikomboa vitu vyake na vipigo akatembeza Kwa mke wake.
Siku zikaenda Mme wake akapata shida ya afya akaenda matibabu ya kienyeji kwao mwanamke akabaki na familia na kuendeleza mradi wa mawe.
Mwanamke akenda kukopa Hela wakisadiana na kaka yake. Kaka yake aka act kama Mme wa yule mama. Dhamana wakaweka shamba heka5 ambalo pia lilikuwa zuri Kwa uchimbaji wa mchanga na Mme wake alinunua Kwa malengo hayo Kuwa siku za usoni atapiga Hela za mchanga pale.
Hela ikakopwa na akashindwa kurejesha shamba likaenda.
Muda huo Mme wake ni mgonjwa yupo Kwa waganga wakienyeji akipiga simu kuomba Hela anatumiwa na kuambiwa kazi inaenda vzr tu kule kwenye mawe.
Baada ya Mme wake kurudi kuja kuona family yake huku Bado akiwa anaendelea na matibabu ndo akaambiwa na watu huko kwenye pombe.
Kwanini ameshindwa kulipa deni na shamba likaenda ?
Hapo Sasa ndo akapata taarifa kuwa kumbe Hela alizokuwa anatumiwa ni za shamba lake!
Akarudi Kwa mke wake na kumuuliza akasema ni kweli aliamua kuchukua Hela Ili zimsaidie kwenye matibabu.
Akauliza kwanini hakumshirikisha akasema hakuna haja ya kusumbua mgonjwa. Nakumbuka ilikuwa usiku wa 4 wife akaniambia mbona kama Kuna ugomvi Kwa mama X? Nikamjibu achana nao hayakuhusu.
Katika marubano hayo wife alikili kuwa kauza,shamba, na baadhi ya viwanja walivyokuwa wamenunua.
Alipoulizwa Hela ziko wapi Sasa? Hana majibu. Ugomvi ulikuwa mkubwa sana Hadi mwenyekiti wa mtaa akaitwa hiyo sasa7 usiku.
Ikabidi awaambie kesho asbh ndo atakaa nao vzr hivyo mwanamke akaenda kulala Kwa mwenyekiti wa mtaa.
Jamaa hakulala siku hiyo Kwa maelezo ya mtoto mkubwa wa drs la5 alikesha akiongea mwenyewe "Nina faida Gani Sasa,viwanja vyangu vyote vimenda Hela kapeleka wapi? Nina faida Gani Sasa hapa?Nimekuja kufanyaje hapa"
Asbh ya saa12 akawambia Watoto wake nendeni mkamwambie mama yenu hataniona Tena nendeni Sasahivi mkamwambie hivyo
Yule binti akatoka mbio huku wadogo zake wakimfuata huku wanalia. Akajaribu kujinyongea mle ndani akashindwa.
Akaenda karibu na ule mlima wa mawe kulikuwa na mwembe karibu akajinyonga Hadi kufa mle hakuacha wosia wowote ule.
MyTake licha ya haya machache tuliyoyasikia nahisi yapo mengi zaidi ya haya. Kama mwanamke yeye alisema alikuwa anadaiwa na watu wengi Ili Hali aliyejitokeza na kukubali anamdai ni mmoja tu Tena ni rafiki yake na jamaa.
Kiasi alichokuwa ana mdai ni laki2 tu. Na anasema deni Lina wiki tu alimtumia ya matibabu akiwa kule na hakuwahi kumdai alikuwa anasubiri apone kwanza maana wametoka mbali sana na jamaa.
Kisa Cha pili. Ni sehemu niliko zaliwa Mimi(kijijini)
Jamaa alikuwa mpambanaji sana na amesomesha Watoto wote na Bahati mbaya au nzuri alizaa Watoto wanaume wote tu na baadhi Yao nimesoma nao. Hii imetokea wiki iliyopita tu.
Pia nahofia hata humu Watoto wake wamo naweza funguka nikawakumbusha maumivu makubwana pengine wenyewe
Haya ninayo yaongea humu walikuwa hawajui.(Sina Nia mbaya lengo tujifunze tu)
Tangu tukiwa shule ya msingi jamaa huyu wa makamo ya miaka55+ alikuwa mpambanaji kweli. Walikuja kutengana na mke wake hapo ndo jamaa akawa na presha kubwa sana akawa anatembea na vidonge vya kushusha presha yake.
Huyu mwanamke alikuwa na kisirani sana baada ya kuachana na Mme wake hakukubali kwenda kwao Wala kugawana Mali akabaki palepale ijapokuwa hawalali pamoja na Mme wake. Walio bahatika kuzaa nae Watoto zaidi 8.
Jamaa aliamua kuanzisha mahusiano ya hapa na pale lkn mwanamke alimfanyia Fujo sana. Siyo yeye pekee hata wanawake alienda kuwafanyia visa kadhaa licha ya kuwa wameshaachana na Mme wake.
Baada ya jamaa kuona hapa hapamstahili alienda sehemu ya mbali akanunua shamba na kuanza kilimo kule ukumbuke jamaa uwezo anao sana tu akanunua vitendea kazi vya kisasa.
Kifo chake:-Baada ya kwenda kuanza makazi mapya alienda kama anaenda kambini tu siyo kifamilia. Hivyo alikuwa yeye na mtoto wake mmoja wa kiume.
Baada ya kukaa Kwa muda kadhaa alimwagiza mtoto wake huyo wa kiume arudi nyumbani huku kuangalia maendeleo ya kilimo walichoacha huku kule.
Haijulikani ilikuwaje lakini dogo aliondoka jtano, alhamis ikapita free bila kutoka mtu ndani ijumaa wakaja wa mama wa vibarua wakaita Hadi wakachoka ikawalazimu kuondoka huku wakijua kabisa kuwa mlango umefungiwa ndani hivyo Kuna mtu ndani.
Jmos asubuhi wanaume wengine wakaenda hapo Kwa ajiri ya kazi kama walivyokuwa wamekubaliana nae. Wakaita bila mafanikio kipindi wanaita wakasikia simu inaita mle ndani. Simu ikaita bila kupokelewa Hadi ikakata. Ikaita Tena wakiwapo palepale na mara hii ilipokata tu basi ikawaladhimu wazunguke nyuma dirishani Ili wachungulie kujua mbona haamki?
Kweli wakafika Ile kusukuma dirisha hawakuamini macho Yao.
Kwanza walikutana na harufu Kali na Nzi. Wakajua tiyari huyu mtu ni marehemu tiyari hawakuvunja hata mlango mja Kwa Moja wakampigia mwenyekiti wa kitongoji akaja na process za kutafutwa ndg zikaanza.
Hiki kisa sijafunguka sana ila nimejaribu kutoa taswila tu ya juu.
MyTake:- Kwa visa hizi chanzo kikubwa Cha wanaume wenzetu kufa kabla ya wakti ni wanawake wao(wake zao)
Mimi/wewe unaweza ona hakuna point ya kufikia Hadi kujiua unaweza ukawa sawa. Lakini yakikufika hakika utakuta zaidi ya Hawa au unaweza kuua.
Imagine mwanamke auze shamba lako temewa Hela haijulikani ilipo na muda huo Kuna mradi mkubwa tu umewamchia.bado haitoshi anauza na viwanja vingine huyo kama sio kumpiga na kumuumiza vibaya au hata kuua unadhani ni Nini?
Tuwe makini sana
Sawa.Watu sijui mnashida Gani tu Hivi Hadi tuwe tunafanyaje ndo mnajua ni kweli? Au tufanye jamaa hajafa basi
Uwezekano huo haupo na hautakuja kutokea mkuu. Tosheka na ulicho nacho.Na mkeo tutaoa tuuu..
Hata kama akiolewa na mwingingne basi atakua mshangzi 😂😂😂😂😂
Unautesa moyo wako kwa kuumiza na mambo ya watu. Ndio maana nakuambia una one side of the story. Usiumie na hizo, ukweli wanaujua wao. Ukiendelea kuumia na mambo ya watu ya kwako yakifika utakufa shaaaa!Kabisa hapa nimeleta visa ambavyo vimeniumiza sana.
Yupo visiwani huko Zanzibar....Hivi mama yako yuko wapi tufanye nae kikao? Kuna mahali alikukosea🤣
Sijawahi tosheka mkuuuUwezekano huo haupo na hautakuja kutokea mkuu. Tosheka na ulicho nacho.