Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlioana ili kiwe nini...na ukiwa unaomba si ni kama unataka msaada. Sex haiombwi ndani ya ndoa.
Mpandishe cheo.....awe bi mkubwa aka mke mkubwaJapo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili
Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex
Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda kanichukulie kitu fulani ukirudi tutafanya mambo inakuwa mengi mpaka unachoka wewe mwenyewe nikikataa kweli sex sipati
Nimejaribu kusema kuhusu tabia hii lakini naona inaendelea
K ya mkeo uliikuta na km ngapi? Kuna mahala inasoma imetembea km ngapi?!Unaoa mwanamke aliyetembea na wanaume Zaid ya 20, ndio Mana ndoa nyingi zimekuwa changamoto,
Atakuwa anataka umpelekee kwa mpalange amemiss atokapo weka kidole akitulia ujue tayari!
Umeoa mkuu?Tabia yoyote ya mwanamke iwe mbaya ama nzuri inavumilika tu ispokuwa kugongwa nje.
Vipi za huko Quebec na Montreal.