Japokuwa watu usema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na tabia hii kwa mkeo ?

kweli ume- kwisha .....hivi inakuwaje mwanaume unakuwa dhaifu mbele ya mkeo,...?... haiwezekani kabisa,...hai-make sense kabisa,... impossible....πŸ“ŒπŸ”¨
 
Kila ukitaka sex, wewe ondoka tu nyumbani nenda kusikojulikana kama masaa manne hivi, rudi oga lala.
Fanya hivyo week tu, halafu jaribu tena kugomba gemu, ukinyimwa endelea na dozi tena week nyingine ( ukiwa kwenye hiyo dozi usiulize chochote wewe ondoka tu).
 
Mpandishe cheo.....awe bi mkubwa aka mke mkubwa
 
Hilo ni tatizo mkuu, kikubwa ashakuona wewe ni mdhaifu wa ngono

Kikubwa anza kubadilika, kuwa strong

Ukimuomba sex akikaza na vituko vyake, wewe komaa usifanye halafu unalala zako kiroho safi

Au akikataa, toka zako angalau masaa mawili kisha rudi home kisha lala zako

Akishajua wewe sio mtumwa wa ngono au kuna mtu anamsaidia unapotoka atarudi nyuma mwenyewe.


NB
USIENDE KUZINI, TOKA HOME KUMUHARIBU KISAIKOLOJIA
 
Unaoa mwanamke aliyetembea na wanaume Zaid ya 20, ndio Mana ndoa nyingi zimekuwa changamoto,
Atakuwa anataka umpelekee kwa mpalange amemiss atokapo weka kidole akitulia ujue tayari!
K ya mkeo uliikuta na km ngapi? Kuna mahala inasoma imetembea km ngapi?!
 
Wanaume wanapungua kwa kasi ya kutisha. Itungwe sheria kudhibiti hii hali else miongo michache ijayo hii specie itatoweka. Sijawahi kuwaza kuna kiumbe kiitwacho mwanaume kinaweza kufanyiwa hivi kwenye mkataba uitwao ndoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…