TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Umeona ehhIla kuna watu wanahatarisha sana maisha ya watu wakiambiwa wakatwe point wanaanza kulalamika
Unawezaje kuingia na kisu Airport 🛫 🛬?Ndege ya Flydubai FZ1073 iliyokuwa ikisafiri kutoka Dubai kwenda Tel Aviv imelazimika kubadili njia na kutua mjini Tabuk, Saudi Arabia, baada ya mapambano kuripotiwa kati ya marubani wawili ndani ya cockpit.
Kwa mujibu wa Flightradar24, ndege hiyo ilituma kwanza namba ya dharura 7700, kisha 7500 inayotumika kuashiria kuingiliwa kinyume cha sheria au uwezekano wa utekaji wa ndege, kabla ya kurejea tena 7700. Ndege hiyo pia ilifanya mteremko mkali wa maelfu ya futi ndani ya muda mfupi.
Maafisa wa Israel wamesema kulikuwa na ugomvi wa kimwili kati ya rubani mkuu na rubani msaidizi ndani ya cockpit. Tukio hilo lilisababisha tahadhari ya kiusalama nchini Israel, ikiwemo kurushwa kwa ndege za kivita na kufanyika kwa mashauriano ya viongozi wa usalama.
Baadhi ya vyombo vya habari vya Israel vimedai kuwa mapambano hayo yalikuwa makali kiasi cha mmoja wa marubani kujeruhiwa, huku kukiwa pia na madai ya kutumika kwa kisu. Madai mengine yanasema huenda mmoja wao alijaribu kuielekeza ndege chini kwa makusudi.
Hata hivyo, madai hayo bado hayajathibitishwa rasmi na Flydubai wala mamlaka za Saudi Arabia.
Ndege hiyo ilitua salama Tabuk, huku Flydubai ikisema abiria waliokuwa ndani wako salama. Uchunguzi kuhusu kilichotokea kati ya marubani hao unaendelea.
View attachment 3681236
Ilikuwa imebeba mayahudi toka Dubai kwenda Tel Aviv!Pole yao
Kiswahili fasaha ni ILIPOROMOKA.Ndege hiyo pia ilifanya mteremko mkali wa maelfu ya futi ndani ya muda mfupi.
... seems ilikuwa na wayahudi wengi! Maana destination ilikuwa Tel Aviv.Madai mengine yanasema huenda mmoja wao alijaribu kuielekeza ndege chini kwa makusudi.
Ndege nzima abiria wote ni waisraeli ukitoa wahudumu wa ndege... seems ilikuwa na wayahudi wengi! Maana destination ilikuwa Tel Aviv.
Ndege nzima abiria wote ni waisraeli ukitoa wahudumu wa ndege
Meal-service cutlery, Kama ndege ilikuwa na meal service, kisu cha chakula kinaweza kuwa ndani ya cabin. Kisu kama hicho kinaweza kuchukuliwa na mtu na kupelekwa kwenye cockpit, kulingana na taratibu za crew.Unawezaje kuingia na kisu Airport 🛫 🛬?
Man hii ingekuwa disaster moja mbaya sana. Na majamaa wangefanya party kwenye nchi zao zile dahIlikuwa anataka kuwachinja waisrael,Ben kathibitisha
View attachment 3681280
SawasawaMeal-service cutlery, Kama ndege ilikuwa na meal service, kisu cha chakula kinaweza kuwa ndani ya cabin. Kisu kama hicho kinaweza kuchukuliwa na mtu na kupelekwa kwenye cockpit, kulingana na taratibu za crew.
Galley/aircraft equipment, Ndege hubeba vifaa mbalimbali vya kazi ambavyo vinaweza kuwa na makali au muonekano wa visu. Hii ni tofauti na silaha rasmi ya kisu ambayo abiria angejaribu kuingiza kutoka nje.
Pilot/crew equipments zilizoidhinishwa
Baadhi ya operators wanaweza kuruhusu vifaa maalum vya utility/emergency kwa crew chini ya SOP zao. Hata hivyo, hii haimaanishi rubani anaruhusiwa kubeba kisu kama silaha binafsi.
Kitu kingine kilichokuwa kwenye ndege
Inawezekana pia kilikuwa kifaa ambacho hakikuwa kisu cha chakula kabisa, uenda ni kitu kingine chenye ncha kali. Hili ni muhimu kwa sababu taarifa za awali kuhusu tukio hilo bado hazijaweka wazi chanzo na aina ya kifaa kilichotumika.
Disaster iliyofanyika Palestina haujaiona?Asee ingekuwa moja kati ya disaster mbaya sana since September 11.. kosa la wayahudi haswa ni nini ? Mbona watu wana chuki nao kiasi hiki.
Yeah..hata kalamu tu zile marubani wanazotumia wakiwa ndani ya chumba chao inaweza kugeuka kuwa silahaMeal-service cutlery, Kama ndege ilikuwa na meal service, kisu cha chakula kinaweza kuwa ndani ya cabin. Kisu kama hicho kinaweza kuchukuliwa na mtu na kupelekwa kwenye cockpit, kulingana na taratibu za crew.
Galley/aircraft equipment, Ndege hubeba vifaa mbalimbali vya kazi ambavyo vinaweza kuwa na makali au muonekano wa visu. Hii ni tofauti na silaha rasmi ya kisu ambayo abiria angejaribu kuingiza kutoka nje.
Pilot/crew equipments zilizoidhinishwa
Baadhi ya operators wanaweza kuruhusu vifaa maalum vya utility/emergency kwa crew chini ya SOP zao. Hata hivyo, hii haimaanishi rubani anaruhusiwa kubeba kisu kama silaha binafsi.
Kitu kingine kilichokuwa kwenye ndege
Inawezekana pia kilikuwa kifaa ambacho hakikuwa kisu cha chakula kabisa, uenda ni kitu kingine chenye ncha kali. Hili ni muhimu kwa sababu taarifa za awali kuhusu tukio hilo bado hazijaweka wazi chanzo na aina ya kifaa kilichotumika.