antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Duh,Netanyahu amewapongeza Abiria na Wafanyakazi wengine wa ndege kwa kuingilia kati na kusaidia kuzuia tukio hilo
Wameepusha janga kubwa. Kuna watu hawaaminiki
Duh,Netanyahu amewapongeza Abiria na Wafanyakazi wengine wa ndege kwa kuingilia kati na kusaidia kuzuia tukio hilo
Dini ya AllahDuh,
Wameepusha janga kubwa. Kuna watu hawaaminiki
Video hii ina picha zinazoonesha majeraha yaliyotokana na ajali ambazo zinaweza kuwaogofya au kuwasumbua baadhi ya Watazamaji. Tafadhali tazama kwa tahadhari.
Ndege ya shirika la Flydubai iliyokuwa ikisafiri kutoka Dubai kuelekea Israel ililazimika kutua kwa dharura Nchini Saudi Arabia Jumatano, baada ya kutokea vurugu ndani ya chumba cha marubani, ambapo mmoja wa marubani alidaiwa kumshambulia kwa kisu rubani mwenzake na kujaribu kuichukua kwa nguvu udhibiti wa ndege hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali za Vyombo vya Habari, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema tukio hilo limetokea wakati ndege ikiwa inakaribia Israel, akidai kuwa mmoja wa marubani alimchoma mwenzake na kujaribu kuiangusha ndege ikiwa na Abiria.
Netanyahu amewapongeza Abiria na Wafanyakazi wengine wa ndege kwa kuingilia kati na kusaidia kuzuia tukio hilo ambapo Maafisa wa Israel wamesema uchunguzi unaendelea kubaini iwapo tukio hilo lilikuwa jaribio la shambulio la kigaidi lililolenga kuangusha ndege, pamoja na kubaini iwapo Mshambuliaji alitenda peke yake.
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, alilitaja tukio hilo kuwa jaribio la shambulio la kigaidi, akisema lilizuiwa kutokana na hatua za Abiria kadhaa wa Israel waliodhibiti Mshambuliaji na kusaidia kurejesha udhibiti wa ndege hiyo aina ya Boeing 737 MAX 8 ambayo ilielekezwa na kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Tabuk, Saudi Arabia.
Ila bado hawajaruhusiwa kama mlovyo ruhusiwa na kupewa Baraka zaote kule nyuuyokiKaribu Zanzibar uone mashoga. Nenda pale CCM maisara.