BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Umeshanichanganya mkuuNaam kama ninyi na Mtume wenu Nabii ISA aliyezaliwa chini ya mtende 19surat Maryam 22-29
Huyu nabii ISA ndo Mungu kwenu au sijakuelewa?
Umeshanichanganya mkuuNaam kama ninyi na Mtume wenu Nabii ISA aliyezaliwa chini ya mtende 19surat Maryam 22-29
Nabii ISA ni mtume wenu sijui ni MUNGU wenu soma surat Maryam 19:22-26 Quran MUNGU WANGU YESU NI YESU alizaliwa anapatikana katika LukaUmeshanichanganya mkuu
Huyu nabii ISA ndo Mungu kwenu au sijakuelewa?
Kwamba Mungu wako alizaliwa?Nabii ISA ni mtume wenu sijui ni MUNGU wenu soma surat Maryam 19:22-26 Quran MUNGU WANGU YESU NI YESU alizaliwa anapatikana katika Luka
Lakini,inaonesha haikuwa na mayahaudi pekee.Madubai na abiria kadhaa raia wa mataifa mengine walikuwemo.Ilikuwa imebeba mayahudi toka Dubai kwenda Tel Aviv!
Hawa wapuuzi wafutike kwenye Uso wa dunia...Asee ingekuwa moja kati ya disaster mbaya sana since September 11.. kosa la wayahudi haswa ni nini ? Mbona watu wana chuki nao kiasi hiki.
Inasemekana mayahudi walikuwa wengi. Destination yake (Tel Aviv) nayo imehamasisha kilichofanyika.Lakini,inaonesha haikuwa na mayahaudi pekee.Madubai na abiria kadhaa raia wa mataifa mengine walikuwemo.
Ndege yaangu ya Tel Aviv Ben Gurion airportVideo hii ina picha zinazoonesha majeraha yaliyotokana na ajali ambazo zinaweza kuwaogofya au kuwasumbua baadhi ya Watazamaji. Tafadhali tazama kwa tahadhari.
Ndege ya shirika la Flydubai iliyokuwa ikisafiri kutoka Dubai kuelekea Israel ililazimika kutua kwa dharura Nchini Saudi Arabia Jumatano, baada ya kutokea vurugu ndani ya chumba cha marubani, ambapo mmoja wa marubani alidaiwa kumshambulia kwa kisu rubani mwenzake na kujaribu kuichukua kwa nguvu udhibiti wa ndege hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali za Vyombo vya Habari, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema tukio hilo limetokea wakati ndege ikiwa inakaribia Israel, akidai kuwa mmoja wa marubani alimchoma mwenzake na kujaribu kuiangusha ndege ikiwa na Abiria.
Netanyahu amewapongeza Abiria na Wafanyakazi wengine wa ndege kwa kuingilia kati na kusaidia kuzuia tukio hilo ambapo Maafisa wa Israel wamesema uchunguzi unaendelea kubaini iwapo tukio hilo lilikuwa jaribio la shambulio la kigaidi lililolenga kuangusha ndege, pamoja na kubaini iwapo Mshambuliaji alitenda peke yake.
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, alilitaja tukio hilo kuwa jaribio la shambulio la kigaidi, akisema lilizuiwa kutokana na hatua za Abiria kadhaa wa Israel waliodhibiti Mshambuliaji na kusaidia kurejesha udhibiti wa ndege hiyo aina ya Boeing 737 MAX 8 ambayo ilielekezwa na kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Tabuk, Saudi Arabia.
Ili wabaki kina nani?Hawa wapuuzi wafutike kwenye Uso wa dunia...
Watu tofauti na wao...Ili wabaki kina nani?
Aisee! Kumbe ndivyo ilivyokuwa kuwa?Basi,kati ya hao madubai wawili/co pilots,mmojawao hakuwa na nia ovu ya ugaidi/hana DNA ya kigaidi.Inasemekana mayahudi walikuwa wengi. Destination yake (Tel Aviv) nayo imehamasisha kilichofanyika.
Rubani kama huyu,unachukuwa vyeti vyake vyote unachoma moto ,Unaenda KWENYE mifumo kuanzia primary unafuta Kila kitu anabaki na kitambulisho Cha taifa lake,alafu aende kijijini akalimeIla kuna watu wanahatarisha sana maisha ya watu wakiambiwa wakatwe point wanaanza kulalamika
Rubani mkuu aliyeshambuliwa na mwenzake ni raia wa India na hata Narendra Modi PM wa India ametoa neno kumpongea kwa ujasiri na kuokoa maisha.Aisee! Kumbe ndivyo ilivyokuwa kuwa?Basi,kati ya hao madubai wawili/co pilots,mmojawao hakuwa na nia ovu ya ugaidi/hana DNA ya kigaidi.
Alitaka kufa shahidi/martyr wa taifa lake.Huyo ni radical (kwa "kiswahili" cha kale tungemuita fundamentalist).Yupo tayari kufanya lolote kumtetea Allah.Rubani kama huyu,unachukuwa vyeti vyake vyote unachoma moto ,Unaenda KWENYE mifumo kuanzia primary unafuta Kila kitu anabaki na kitambulisho Cha taifa lake,alafu aende kijijini akalime
Kwa hiyo, ilikuwa ni radical Oman/musulimina versus Indian/Buddhist?Naanza kupata fotografia.Rubani mkuu aliyeshambuliwa na mwenzake ni raia wa India na hata Narendra Modi PM wa India ametoa neno kumpongea kwa ujasiri na kuokoa maisha.
Rubani msaidizi (aliyeshamshambulia mwenzake) ana asili ya Oman.
Bila shaka ni Islamic,ingawa sijapata majina ya hao marubaniAlitaka kufa shahidi/martyr wa taifa lake.Huyo ni radical (kwa "kiswahili" cha kale tungemuita fundamentalist).Yupo tayari kufanya lolote kumtetea Allah.
Uliwahi kusikia sehemu yoyote wafuasi wa Krishna/Buddha au Tao wanakuwa na akili za kigaidi kirahisirahisi?Bila shaka ni Islamic,ingawa sijapata majina ya hao marubani
Sina hakika ila binadamu mwenye ujasiri wa kuiporomosha ndege maelfu ya futi ikiwa na mamia ya abiria you can guess ni mtu wa aina gani. Lazima atakuwa amevurugwa na kuvurugika hasa!Kwa hiyo, ilikuwa ni radical Oman/musulimina versus Indian/Buddhist?Naanza kupata fotografia.
Hapana,,inategemea (hapo kuna mambo mengi sana)Uliwahi kusikia sehemu yoyote wafuasi wa Krishna/Buddha au Tao wanakuwa na akili za kigaidi kirahisirahisi?