Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Ndiyo kina nani hao watakaobaki? Mbona unaogopa kuwataja?Watu tofauti na wao...
Ndiyo kina nani hao watakaobaki? Mbona unaogopa kuwataja?Watu tofauti na wao...
Shida hao wengine tu wasiokua na hatiaIlikuwa imebeba mayahudi toka Dubai kwenda Tel Aviv!
Wala hawachukiwi ingekua wamepewa stahiqi yaoAsee ingekuwa moja kati ya disaster mbaya sana since September 11.. kosa la wayahudi haswa ni nini ? Mbona watu wana chuki nao kiasi hiki.
Nabii isa siyo mungu kwetu. Bali Yesu kristo ndio Mungu wetu.Umeshanichanganya mkuu
Huyu nabii ISA ndo Mungu kwenu au sijakuelewa?
Bro hujasoma ama?Ndiyo kina nani hao watakaobaki? Mbona unaogopa kuwataja?
MayahudiNi lafudhi tu kaka. Inategemea unaongea kwa mtazamo upi.
Sasa kama wawakilishi wa Yesu hawatambui juu ya nyie weusi Yesu mwenyewe si ndo hawajui kabisa.Naam kama ninyi na Mtume wenu Nabii ISA aliyezaliwa chini ya mtende 19surat Maryam 22-29
Dunia ipige marufuku hawa magaidi kurusha ndege za mataifa mengine. Warushe ndege zao na wanazopanda Mujahedeen wenzaoUliwahi kusikia sehemu yoyote wafuasi wa Krishna/Buddha au Tao wanakuwa na akili za kigaidi kirahisirahisi?
Hii ni hatari sana. Huyo rubani alitaka kufanya yale mambo ya September 11 kule Marekani.Video hii ina picha zinazoonesha majeraha yaliyotokana na ajali ambazo zinaweza kuwaogofya au kuwasumbua baadhi ya Watazamaji. Tafadhali tazama kwa tahadhari.
Ndege ya shirika la Flydubai iliyokuwa ikisafiri kutoka Dubai kuelekea Israel ililazimika kutua kwa dharura Nchini Saudi Arabia Jumatano, baada ya kutokea vurugu ndani ya chumba cha marubani, ambapo mmoja wa marubani alidaiwa kumshambulia kwa kisu rubani mwenzake na kujaribu kuichukua kwa nguvu udhibiti wa ndege hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali za Vyombo vya Habari, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema tukio hilo limetokea wakati ndege ikiwa inakaribia Israel, akidai kuwa mmoja wa marubani alimchoma mwenzake na kujaribu kuiangusha ndege ikiwa na Abiria.
Netanyahu amewapongeza Abiria na Wafanyakazi wengine wa ndege kwa kuingilia kati na kusaidia kuzuia tukio hilo ambapo Maafisa wa Israel wamesema uchunguzi unaendelea kubaini iwapo tukio hilo lilikuwa jaribio la shambulio la kigaidi lililolenga kuangusha ndege, pamoja na kubaini iwapo Mshambuliaji alitenda peke yake.
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, alilitaja tukio hilo kuwa jaribio la shambulio la kigaidi, akisema lilizuiwa kutokana na hatua za Abiria kadhaa wa Israel waliodhibiti Mshambuliaji na kusaidia kurejesha udhibiti wa ndege hiyo aina ya Boeing 737 MAX 8 ambayo ilielekezwa na kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Tabuk, Saudi Arabia.
Muhimu wakati wa kukata tiketi full details za safari ziwe disclosed kwa abiria ikiwa ni pamoja na jina, gender, utaifa, dini, social traits za marubani watakaorusha ndege.Dunia ipige marufuku hawa magaidi kurusha ndege za mataifa mengine. Warushe ndege zao na wanazopanda Mujahedeen wenzao
Do bado wakristu wamelala usingizini na kama hawajaona vileSasa kama wawakilishi wa Yesu hawatambui juu ya nyie weusi Yesu mwenyewe si ndo hawajui kabisa.
Kwanza iwapigeni marufuku mnao firana na kusaganaDunia ipige marufuku hawa magaidi kurusha ndege za mataifa mengine. Warushe ndege zao na wanazopanda Mujahedeen wenzao
😁😁😁Muhimu wakati wa kukata tiketi full details za safari ziwe disclosed kwa abiria ikiwa ni pamoja na jina, gender, utaifa, dini, social traits za marubani watakaorusha ndege.
Hii inaweza kutoa picha ni aina gani ya mtu atakayebeba roho yako ili uweze kubadili flight to suit dhamiri yako inavyokutuma.
Frankly, binafsi ukinambia eti rubani hasalimiani kwa kupeana mkono na wanawake (like this one in question) hiyo ni alarm tayari.
Hii itasaidia kulazimisha mashirika ya ndege ku-vett vilivyo marubani wao kwa hofu ya kukosa wateja.
وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
"Na Mayahudi na Manaswara hawatokuridhia kabisa mpaka ufuate mila zao. Sema: Hakika Uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio Uwongofu wenyewe. Na ukifuata matamanio yao baada ya kukujia elimu uliyojaaliwa, hutokuwa na mlinzi wala wa kukunusuru mbele ya Mwenyezi Mungu."
Karibu Zanzibar uone mashoga. Nenda pale CCM maisara.Kwanza iwapigeni marufuku mnao firana na kusagana
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's latest visit to the United Arab Emirates took place on Sunday, September 27, 2026, though reports and official confirmations note he traveled to the UAE capital of Abu Dhabi rather than Dubai.Unawezaje kuingia na kisu Airport 🛫 🛬?