Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia

Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia


View: https://www.instagram.com/reel/Dd6ZXEuAsNg/?stkn=MTVhbGF0MW9kbGlrZw==

Screenshot_2026-09-30-21-20-32-480_com.android.chrome~2.jpg
Screenshot_2026-09-30-21-20-47-048_com.android.chrome~2.jpg
 
... hiyo inajibu lengo zima la tukio lenyewe!
Ma inawezekana mpaka wawe wengi hivyo kwenye ndege hiyo , walikuwa wametoka kula Bata Dubai. Najaribu kufikiria tu.
 
Israel na mossad inabidi wapate lesson kutokana na hili tukio
 
Ma inawezekana mpaka wawe wengi hivyo kwenye ndege hiyo , walikuwa wametoka kula Bata Dubai. Najaribu kufikiria tu.
Inawezekana wametoka kwenye missions tofauti tofauti. Ukizingatia UAE imesaini Abraham Accord hivi karibuni ku-normalize uhusiano na Israel haijawapendeza wengine like Iran. Lazima jitihada zote zifanyike kuvuruga!
 
Sasa sijui huyo mhindi aliyechomwa kisu Hali yake inaendeleaje
 
Huyo Mungu wenu mbona wa ajabu hivi!
Yaani kaumba mataifa yote halafu akachagua wayahudi taifa teule?
Kwahiyo mbele ya Mungu wayahudi ni bora kuliko nyie mataifa mengine?
Naam kama ninyi na Mtume wenu Nabii ISA aliyezaliwa chini ya mtende 19surat Maryam 22-29
 
Back
Top Bottom