Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia

Umeshanichanganya mkuu
Huyu nabii ISA ndo Mungu kwenu au sijakuelewa?
Nabii ISA ni mtume wenu sijui ni MUNGU wenu soma surat Maryam 19:22-26 Quran MUNGU WANGU YESU NI YESU alizaliwa anapatikana katika Luka
 
Asee ingekuwa moja kati ya disaster mbaya sana since September 11.. kosa la wayahudi haswa ni nini ? Mbona watu wana chuki nao kiasi hiki.
Hawa wapuuzi wafutike kwenye Uso wa dunia...
 
Ndege yaangu ya Tel Aviv Ben Gurion airport
 
Inasemekana mayahudi walikuwa wengi. Destination yake (Tel Aviv) nayo imehamasisha kilichofanyika.
Aisee! Kumbe ndivyo ilivyokuwa kuwa?Basi,kati ya hao madubai wawili/co pilots,mmojawao hakuwa na nia ovu ya ugaidi/hana DNA ya kigaidi.
 
Ila kuna watu wanahatarisha sana maisha ya watu wakiambiwa wakatwe point wanaanza kulalamika
Rubani kama huyu,unachukuwa vyeti vyake vyote unachoma moto ,Unaenda KWENYE mifumo kuanzia primary unafuta Kila kitu anabaki na kitambulisho Cha taifa lake,alafu aende kijijini akalime
 
Aisee! Kumbe ndivyo ilivyokuwa kuwa?Basi,kati ya hao madubai wawili/co pilots,mmojawao hakuwa na nia ovu ya ugaidi/hana DNA ya kigaidi.
Rubani mkuu aliyeshambuliwa na mwenzake ni raia wa India na hata Narendra Modi PM wa India ametoa neno kumpongea kwa ujasiri na kuokoa maisha.

Rubani msaidizi (aliyeshamshambulia mwenzake) ana asili ya Oman.
 
Rubani kama huyu,unachukuwa vyeti vyake vyote unachoma moto ,Unaenda KWENYE mifumo kuanzia primary unafuta Kila kitu anabaki na kitambulisho Cha taifa lake,alafu aende kijijini akalime
Alitaka kufa shahidi/martyr wa taifa lake.Huyo ni radical (kwa "kiswahili" cha kale tungemuita fundamentalist).Yupo tayari kufanya lolote kumtetea Allah.
 
Rubani mkuu aliyeshambuliwa na mwenzake ni raia wa India na hata Narendra Modi PM wa India ametoa neno kumpongea kwa ujasiri na kuokoa maisha.

Rubani msaidizi (aliyeshamshambulia mwenzake) ana asili ya Oman.
Kwa hiyo, ilikuwa ni radical Oman/musulimina versus Indian/Buddhist?Naanza kupata fotografia.
 
Kwa hiyo, ilikuwa ni radical Oman/musulimina versus Indian/Buddhist?Naanza kupata fotografia.
Sina hakika ila binadamu mwenye ujasiri wa kuiporomosha ndege maelfu ya futi ikiwa na mamia ya abiria you can guess ni mtu wa aina gani. Lazima atakuwa amevurugwa na kuvurugika hasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…