Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Hawakuwa marafiki tumia akili tatizo walikuwa chama kimoja na huyo rostam azizi ni mkubwa sana kuliko unavyo mdhania anatumia pesa kusuka mifumo yake serikali....unakumbuka picha za silaha za moto alizo kamatwa nazo mdogo wake nyingi sana ila ni mbunge wa ccm na ajafanywa chochote ...je wewe ukikamata na hata na buti la jwtz tu nini kingekukuta au na ganda la risasi moja tu
 

Bro Nondo, unless tungejua profile ya Mtekwaji ingesaidia ku connect dots!
 
Ukiingia ukurasa huo utaona mtu mmoja bonge akilazimishwa kuingia kwenye Noah na watu watatu wasiojulikana huku akipiga kelele za kuomba msaada asaidiwe kwani walikuwa wakienda kumuua.
Tukio hilo inaonekana ni mchana kweupee!

Katika jambo lilioniogopesha ni kuona raia wakishuhudia tu tukio hilo bila kupiga kelele za kuitana ili kuzuia mtu huyo asitekwe.
Hii inaonesha kwa sasa watanzania tumebadilika sana na hatuna tena ule ujamaa kama tuliokuwa nao zamani.
Mtu anaweza kuumizwa mbele ya watu na watu wakabaki kuchukua video tu ili wawe wa kwanza kupost.
Tukio kama hili ni bahati mbaya limefanyika Dar.Laiti lingefanyika miji kama Mwanza,hao watu wenye Noah huenda wangegeuzwa mkaa kwa kuchomwa moto wao na gari yao.

Kwa kawaida kama ni askari walitakiwa kuanzia kwa kiongozi wa mtaa ama eneo husika ndipo waende kukamata raia.
Matukio kama haya yatalazimisha watu waanze kujitetea kwa njia yoyote na hapa naona kama ndio mwanzo wa machafuko.

Natumai polisi watalitolea maelezo ya kueleweka ili kuondoa hofu kwa raia.
 
Hawa watekaji wakamatwe, washtakiwe na wahukumiwe vikali kabisa ikibidi kifungo cha maisha jela, hii tabia ya utekaji inaota mizizi na Polisi wetu na Serikali ndio zinachafuka sana na wananchi wanakosa imani na serikali sbb ya watu wahuni wachache sana, Serikali isipuuzie kabisa hili tukio, iwakamate haraka sana, hao sio watekaji tu ni majambazi na wauaji tena wanatumia jina la Jeshi la Polisi vibaya sana
 
.... Na hakuna mtanzania anayeweza kupatikana na pingu kama si mtumishi wa vyombo vya usalam.
 
Hawa wasenge wanaochukua picha na kumuangalia tu mtu anachukuliwa kisenge kumamae zao , Watanzania ni mbwa
 
Kwanini waliwaacha hawa wasenge waondoke , mnashinda kuwachoma moto na gari lako hilo ?
 
Kweli huyu Mama uwezo wake ni mdogo sana.
hakuna ha mama wala baba, wenye uwezo mdogo ni nyinyui
NAKAZIA "yako maswali mengi polisi lazima wajibu maana sehemu ya kuanzia ipo na wafanye haraka sana"

Deo pia ana maswali mengi sana ya kujibu.

Biashara ipi ya kuifanyia bar?

Tena inaonesha alikuwa anajuwa kitachoendelea, akaweka na mpiga picha kbisa.

Kinachonishangaza mimi, ni huyo kijana mweupe, mmoja katika watekaji, na yeye FDeo wpote wamevaa bangili mkono wa kulia.

Isije kuwa mchezo wa mapenzi? Maana habari za kaskazini siku hizi si mchezo.
 
Ila Bonge kakaza sana ,hajakubali kudakwa kizembe ,nadhani na mwili umemsaidia ,angekuwa mtu wa mazoezi angewafumua vitasa vya kutosha hawa wapuuzi
 
Mmoja ya watu wanao piga simu moja tu kwa majaji ni huyo ROSTAM AZIZI...Swali sasa kama ni hivyo mbona anaonekana naye ana lalamika ? Tumieni akili simu moja ya ROSTAM AZIZI kwa majaji si kitu mbele ya simu moja ya Rais kwa majaji sasa kimbembe ni pale Rais anapokuwa siyo kibaraka wa kina ROSTAM AZIZI ndipo hapo simu ya ROSTAM inapigwa chini na ya Rais inapokelewa na maagizo yanafuatwa ....magufuli aliwai kusema wazi kuwa gesi yetu tumesha ibiwa sasa unajua ROSTAM AZIZI ni nani kwenye mambo ya gesi ? Kitu alicho kifanya jpm ili kuwa komesha wenye kumiliki gesi ni kujenga bwawa la umeme ili ashushe bei ya umeme kwa nusu hivyo mafisadi wa gesi wangelazimika kushusha sana bei ya gesi pia ....ndiyo maana serikali dhalimu ya samia inayo milikiwa na rais feki kina rostam azizi wamekataa kata kata kushusha bei ya umeme licha ya bwawa kukamilika.
 
Serikari inatuchezea akili hapo aisee,Kuna jambo wanataka kulipindisha.

Sasa hivi utasikia Maya mko na kuwa wanaoteka sio Polisi😂😂
 
Utanielewa tu.
Jibu maswali yangu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…