Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe mwanaharakati asiwe mwanaharakati, hilo jambo la kumkamata mtu kwa style hio kinyume na sheria still ni kosa.Kwani huyo bonge ni mwanaharakati? bila kuingiza siasa kwanza tujiulize Bonge ni nani anafanya nini? ili tuunganishe dots.....
rostam huyu ambae ni King Maker?Mmoja ya watu wanao piga simu moja tu kwa majaji ni huyo ROSTAM AZIZI...Swali sasa kama ni hivyo mbona anaonekana naye ana lalamika ? Tumieni akili simu moja ya ROSTAM AZIZI kwa majaji si kitu mbele ya simu moja ya Rais kwa majaji sasa kimbembe ni pale Rais anapokuwa siyo kibaraka wa kina ROSTAM AZIZI ndipo hapo simu ya ROSTAM inapigwa chini na ya Rais inapokelewa na maagizo yanafuatwa ....magufuli aliwai kusema wazi kuwa gesi yetu tumesha ibiwa sasa unajua ROSTAM AZIZI ni nani kwenye mambo ya gesi ? Kitu alicho kifanya jpm ili kuwa komesha wenye kumiliki gesi ni kujenga bwawa la umeme ili ashushe bei ya umeme kwa nusu hivyo mafisadi wa gesi wangelazimika kushusha sana bei ya gesi pia ....ndiyo maana serikali dhalimu ya samia inayo milikiwa na rais feki kina rostam azizi wamekataa kata kata kushusha bei ya umeme licha ya bwawa kukamilika.
Bora huyo aliyeweza kuchuku picha anaufahamu kuhusu watu wasiojulikana alihakikisha wanajukikana, kumbuka walikuwa na pinguHawa wasenge wanaochukua picha na kumuangalia tu mtu anachukuliwa kisenge kumamae zao , Watanzania ni mbwa
Narudia maswali yangu.Mmoja ya watu wanao piga simu moja tu kwa majaji ni huyo ROSTAM AZIZI...Swali sasa kama ni hivyo mbona anaonekana naye ana lalamika ? Tumieni akili simu moja ya ROSTAM AZIZI kwa majaji si kitu mbele ya simu moja ya Rais kwa majaji sasa kimbembe ni pale Rais anapokuwa siyo kibaraka wa kina ROSTAM AZIZI ndipo hapo simu ya ROSTAM inapigwa chini na ya Rais inapokelewa na maagizo yanafuatwa ....magufuli aliwai kusema wazi kuwa gesi yetu tumesha ibiwa sasa unajua ROSTAM AZIZI ni nani kwenye mambo ya gesi ? Kitu alicho kifanya jpm ili kuwa komesha wenye kumiliki gesi ni kujenga bwawa la umeme ili ashushe bei ya umeme kwa nusu hivyo mafisadi wa gesi wangelazimika kushusha sana bei ya gesi pia ....ndiyo maana serikali dhalimu ya samia inayo milikiwa na rais feki kina rostam azizi wamekataa kata kata kushusha bei ya umeme licha ya bwawa kukamilika.
Mbwa tena mafiiii kabisa.Hawa wasenge wanaochukua picha na kumuangalia tu mtu anachukuliwa kisenge kumamae zao , Watanzania ni mbwa
Kama ni kwenye hotel, (then that is poor management), labda hata hizo picha zinatokana CCTVAwe mwanaharakati asiwe mwanaharakati, hilo jambo la kumkamata mtu kwa style hio kinyume na sheria still ni kosa.
Bad enough watz aiseee waoga sana na hawajui sheria. Yani mtu anasema tu ye ni askari, hana ID hata kithibitisho chochote kile, then walinzi wa hotel na management ya hotel wanamuacha tu bila kumsaidia mteja wao? aiseee[emoji20] nimesikitika sana.
kuna haja watu wajue sheria asee, iwe ni somo tangu primary hadi form 4
Mkuu
Huyo Fike Wilson alishawahi kuwa bingwa wa Kickboxing Tanzania enzi hizo, baadaye akahamia kwenye masumbwi (boxing) kabla hajafungua gym pale Sinza na Kinondoni...ndio huyo hapo kwenye mlango wa gari.
Upelekezi unapaswa kuanzia kwake.
Hivi unajua serikali ni nini kwanza? Pia unaelewa nini ninapo sema serikali ipo mikononi mwa Raia feki.bado ujajua tu kuwa nguvu ya ROSTAM ni selikali kwa sasa....kajifunze kitu kinaitwa 👉STATE CAPTURE ndiyo uje nikuelimishe.Narudia maswali yangu.
1. ROSTAM ana nguvu kuliko serikali?
2. Je,serikali ina mpa NGUVU ROSTAM?
Hili genge la Mafwele linaichafua sana nchi kwa matendo yao ya kigaidi ili kuinusuru CCM.Picha zinaonekana vzuri kabisa. Ingekuwa halali yao kutangulizwa akhera hata usiku haujaingia.
Kwa hiyo, kama hauamini hao si polisi wewe unaamini hao ni akina nani ?Nadhani tuna sehemu nzuri ya kuanzia hili lazima lifike mwisho, kwanza siamini kama hawa ni polisi maana kama ni kweli polisi na wako kisheria wasingemuacha najuwa kuna watu wanasema walikuwa wanasema sisi polisi hiyo yoyote anaweza kusema pili toka lini polisi wakatumia gari kama ile lakini yote ni lazima polisi wawakamate hawa jamaa wawe polisi au sio polisi. Bonge yupo ahojiwe hili tukio na kwanini yeye? nini nyuma yake aligombana na mtu au anashuku nini kosa. yako maswali mengi polisi lazima wajibu maana sehemu ya kuanzia ipo na wafanye haraka sana. Kuna haja ya sheria kubadilshwa haraka sana kuwe na taratibu za arrest mtu ziko serikali za mitaa wako wajumbe lazima wahusishwe katika utambulisho.
Upo sahihi kabisa hata kifo cha ben saa8 mbowe na rostam ndiyo wanausika na huo mchezo ...kipindi nchi ipo mikononi mwa JPM genge lote la Raia feki likiongozwa na jasusi wa Israeli bwana ROSTAM AZIZI lilikuwa upande wa chadema ili kuwatumia kumkwamisha na kumchafua JPM na ilo kosa ndiyo sababu ya chadema kufa kifo cha kibudu mioyoni mwa watanzania ...chadema walikubali kutumiwa na maadui wa JPM kina Nape wakidanyanywa kuwa ni marafiki wapenda democracy...vipi baada ya kifo cha jpm ..Nape ameweka uhuru kwenye vyombo vya habari kama chadema na ccm walio mpinga jpm walivyo jinasibu.rostam huyu ambae ni King Maker?
Nakushauri muulize Mbowe kuhusu Rostam, wanafahamiana vizuri sana, kupita maelezo.
Hata kwa Zakaria walienda hivyohivyo baada ya kuraa moto wa kikuryaaaa yarivyomaoga yakatajana eti ni usaramaaaa wa taifa.Nadhani tuna sehemu nzuri ya kuanzia hili lazima lifike mwisho, kwanza siamini kama hawa ni polisi maana kama ni kweli polisi na wako kisheria wasingemuacha najuwa kuna watu wanasema walikuwa wanasema sisi polisi hiyo yoyote anaweza kusema pili toka lini polisi wakatumia gari kama ile lakini yote ni lazima polisi wawakamate hawa jamaa wawe polisi au sio polisi. Bonge yupo ahojiwe hili tukio na kwanini yeye? nini nyuma yake aligombana na mtu au anashuku nini kosa. yako maswali mengi polisi lazima wajibu maana sehemu ya kuanzia ipo na wafanye haraka sana. Kuna haja ya sheria kubadilshwa haraka sana kuwe na taratibu za arrest mtu ziko serikali za mitaa wako wajumbe lazima wahusishwe katika utambulisho.
Zakaria my blood Boss yule ni mwamba kwelikweli TATANi kiwafanya kama tajiri Zakaria tu pyupyu wanajulikana tu ni kina nani... Walivyomkamata akamshoot tu mmoja wao pyupyuu...mara oooh Zakaria ampiga risasi Afisa usalama Mkoa wa Mara. .amelazwa hospital ya Musoma hapo ndio tulipojua kabisa watekaji ni kina Nani..hata polisi waje na maelezo gani..hawawezi kufuta hiyo kitu