Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Jinsi picha toka ndani ya bar, mpaka nje. Na zile kelele, na jina la aliyetaka kutekwa, naonakama mchezo wa kuigiza.

Watu wanajuwa kupika majungu.

Mradi tukio liko polisi, tusubiri uchunguzi wao.
 
Kwani huyo bonge ni mwanaharakati? bila kuingiza siasa kwanza tujiulize Bonge ni nani anafanya nini? ili tuunganishe dots.....
Awe mwanaharakati asiwe mwanaharakati, hilo jambo la kumkamata mtu kwa style hio kinyume na sheria still ni kosa.

Bad enough watz aiseee waoga sana na hawajui sheria. Yani mtu anasema tu ye ni askari, hana ID hata kithibitisho chochote kile, then walinzi wa hotel na management ya hotel wanamuacha tu bila kumsaidia mteja wao? aiseee[emoji20] nimesikitika sana.

kuna haja watu wajue sheria asee, iwe ni somo tangu primary hadi form 4
 
rostam huyu ambae ni King Maker?

Nakushauri muulize Mbowe kuhusu Rostam, wanafahamiana vizuri sana, kupita maelezo.
 
Hawa wasenge wanaochukua picha na kumuangalia tu mtu anachukuliwa kisenge kumamae zao , Watanzania ni mbwa
Bora huyo aliyeweza kuchuku picha anaufahamu kuhusu watu wasiojulikana alihakikisha wanajukikana, kumbuka walikuwa na pingu
 
Mwananchi wanaogopa masikin maana jana tu ndo kwanza wametoka kifungon
 
Narudia maswali yangu.
1. ROSTAM ana nguvu kuliko serikali?
2. Je,serikali ina mpa NGUVU ROSTAM?
 
Pumbafffff kabisa wakati wanatunga sheria ya kutekanatekana mlikuwa busy na simba na yanga.Mtatekwa mpanka siku mtakapojotambua pumbafffff.
 
Jamani fanyeni mazoezi jamaa mwili umemsaidia
 
Kama ni kwenye hotel, (then that is poor management), labda hata hizo picha zinatokana CCTV
 
Mkuu

Huyo Fike Wilson alishawahi kuwa bingwa wa Kickboxing Tanzania enzi hizo, baadaye akahamia kwenye masumbwi (boxing) kabla hajafungua gym pale Sinza na Kinondoni...ndio huyo hapo kwenye mlango wa gari.

Upelekezi unapaswa kuanzia kwake.
 

Attachments

  • 346B6008-23E9-457E-8AA0-A93C1BDD0971.png
    2.3 MB · Views: 3
Narudia maswali yangu.
1. ROSTAM ana nguvu kuliko serikali?
2. Je,serikali ina mpa NGUVU ROSTAM?
Hivi unajua serikali ni nini kwanza? Pia unaelewa nini ninapo sema serikali ipo mikononi mwa Raia feki.bado ujajua tu kuwa nguvu ya ROSTAM ni selikali kwa sasa....kajifunze kitu kinaitwa 👉STATE CAPTURE ndiyo uje nikuelimishe.
 
Kwa hiyo, kama hauamini hao si polisi wewe unaamini hao ni akina nani ?
 
rostam huyu ambae ni King Maker?

Nakushauri muulize Mbowe kuhusu Rostam, wanafahamiana vizuri sana, kupita maelezo.
Upo sahihi kabisa hata kifo cha ben saa8 mbowe na rostam ndiyo wanausika na huo mchezo ...kipindi nchi ipo mikononi mwa JPM genge lote la Raia feki likiongozwa na jasusi wa Israeli bwana ROSTAM AZIZI lilikuwa upande wa chadema ili kuwatumia kumkwamisha na kumchafua JPM na ilo kosa ndiyo sababu ya chadema kufa kifo cha kibudu mioyoni mwa watanzania ...chadema walikubali kutumiwa na maadui wa JPM kina Nape wakidanyanywa kuwa ni marafiki wapenda democracy...vipi baada ya kifo cha jpm ..Nape ameweka uhuru kwenye vyombo vya habari kama chadema na ccm walio mpinga jpm walivyo jinasibu.
 
Hata kwa Zakaria walienda hivyohivyo baada ya kuraa moto wa kikuryaaaa yarivyomaoga yakatajana eti ni usaramaaaa wa taifa.
 
Zakaria my blood Boss yule ni mwamba kwelikweli TATA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…