Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Kwa hiyo, kama hauamini hao si polisi wewe unaamini hao ni akina nani ?
Wewe na akili zako unajuaje huyu polisi na huyu sio. Tumia akili kidogo uliyozaliwa. Mimi nikija kwako kukwambia mimi polisi basi utakubali mimi polisi. ujingaaaaa
 
Hivi unajua serikali ni nini kwanza? Pia unaelewa nini ninapo sema serikali ipo mikononi mwa Raia feki.bado ujajua tu kuwa nguvu ya ROSTAM ni selikali kwa sasa....kajifunze kitu kinaitwa 👉STATE CAPTURE ndiyo uje nikuelimishe.
Jibu ni hilo ulilosema NGUVU YA ROSTM NI SERIKALI KWA SASA.
Kwa jibu lko hili SIONI KOSA LA ROSTM kwani yeye KAPEWA KANDARASI YA KUIENDESHA NA KUIRATIBU SERIKALI NA SERIKALI.
Hivyo SERIKALI ndiyo INA MAKOSA KWA KUMPA KANDARASI ROSTAM.
 
Mimi nawalaumu raia wote wapo kimya tunaishi kama wanyamapori kwanini hawakuchukua hatua hata ya kuhoji kuwa ni akina nani na vitambulisho vyao akuna mjumbe wala mwenyekiti.

HUYO DEO BONGE NI NANI KWANINI AKAMATWE NA NAMNA ILE NA KUSIWE NA MSAADA WOWOTE. ANAJISHUGHULISHA NA NINI??
Hapo wana caution kwamba wanaweza kusaidia wakafatwa wao kibembe
 
Huyu jamaa ana sura ya ujana kabisa we unasema Fike Wilson? Maana Fike alipokuwa anasumbua sinza sisi tulikuwa shule ya msingi leo mimi nina miaka 40 alaf Fike aonekane mdogo kuliko mimi??
Kwenye hizo picha hapo juu huwezi kuona vizuri ila kuna ingine ni yeye 100%
 
Jibu ni hilo ulilosema NGUVU YA ROSTM NI SERIKALI KWA SASA.
Kwa jibu lko hili SIONI KOSA LA ROSTM kwani yeye KAPEWA KANDARASI YA KUIENDESHA NA KUIRATIBU SERIKALI NA SERIKALI.
Hivyo SERIKALI ndiyo INA MAKOSA KWA KUMPA KANDARASI ROSTAM.
Ndiyo mmoja wapo ya mmiliki wa selikali ....serikali ni kama bunduki tu inaweza kumilikiwa na jambazi au raia mwema.
Ubaya au uzuri wa bunduki unategemea ipo mikononi mwa nani?
 
Huyu Logikos anasema tunapendana na tuna undugu sana!
Naam and I repeat Watanzania tuna Utaifa ambao sehemu nyingi hawana..., kinachoharibu and I repeat ni Viongozi, Walamba Asali, Wanasiasa ambao hawaeleweki wala hawajali lolote zaidi ya matumbo yao (on both sides)..., lakini the average joe's huko kitaa wana solidarity ambayo ilipatikana kwa shida sana tena sana ila the current crop wamekuwa wajirabu kuharibu....

(Taifa letu halina Dini (wachache wanajaribu kuuleta) Ukabila (wachache wanajaribu kuleta na kuona ufahari); majority hawana vyama bali wanajali maendeleo (wachache wanajaribu kutuaminisha kwamba mtu akishakuwa kule ni shetani na huku ni malaika)

By the way mwenye busara ni kuhakikisha na ku fight kuwa na Taasisi imara na rule of law na sio kwenda the anarchist way..... AND I was comparing USA (a country divided) na TANZANIA
 
Siwalaumu polisi nawalaumu hao kukumaji wanaume wa dar waliokuwa wanashangaa na kushindwa kumsaidia mwenzao,oumbavu kabisa
Tatizo siyo kumsaidia tu,ok naingilia ugomvi nazuia wasimkamate halafu mimi
Picha zinaonekana vzuri kabisa. Ingekuwa halali yao kutangulizwa akhera hata usiku haujaingia.
Kama ni Fike Wilisoni ni mtu wa mbeya nyumbani kwake kalibu na Sokomatola na Familia yake naijuia vizuri tu,ana kaka yake anaitwa Ngwisa kidogo miaka ya nyuma alikuwa kachanganyikiwa,naamini kwa haya majina ni mnyakyusa kazi kwenu polisi,kama hamkuwatuma tumeanza kuwapa mwanga
 
Mtoa msaada ndie anae umia..hofu ni jamaa wakiwa na 🔫 chukulia mfano tukio la mzee Ali kibao..yaan ungejiingiza TU KUSAIDIA ni kujitoa kafara.

NB.
Ni Bora ufe ukitetea haki kuliko kukaa kimya huku uovu ukitendeka.
Wale wa Ali Kibao walikuwa well trained,hawa ni wachovu tu mimi ningekuwepo ningenunua huo ugomvi
 
Tatizo siyo kumsaidia tu,ok naingilia ugomvi nazuia wasimkamate halafu mimi

Kama ni Fike Wilisoni ni mtu wa mbeya nyumbani kwake kalibu na Sokomatola na Familia yake naijuia vizuri tu,ana kaka yake anaitwa Ngwisa kidogo miaka ya nyuma alikuwa kachanganyikiwa,naamini kwa haya majina ni mnyakyusa kazi kwenu polisi,kama hamkuwatuma tumeanza kuwapa mwanga
Hakuna fike hapo fike sasa ni mtu mzima sana
 
Mkuu

Huyo Fike Wilson alishawahi kuwa bingwa wa Kickboxing Tanzania enzi hizo, baadaye akahamia kwenye masumbwi (boxing) kabla hajafungua gym pale Sinza na Kinondoni...ndio huyo hapo kwenye mlango wa gari.

Upelekezi unapaswa kuanzia kwake.
yupi aliyevaa kapelo au dogo white
 
Back
Top Bottom