Hakuna lolote.Kwenye matukio kama hayo mtu wa kwanza kuhisiwa ni yule aliye madarakani.kumbuka huo ni mchezo wa siasa sio ujambazi.
mkulima akitaka kuuliwa basi mtu wa kwanza kumuhisi ni mfugaji
Hakuna lolote.
Kwanza Trump ni mnafiki sana inapokuja kwenye issue ya gun control.
Mass shootings za kutosha hao hawajali kwasababu wana ulinzi.
Lakini vifo ni vingi vinavyosababishwa na kutokuwepo kwa sheria za udhibiti wa umiliki holela wa silaha.
Wao wakisema silaha haziui watu bali watu ndo wanauwa watu.
Ashukuru ana ulinzi. Alitakiwa awe fundisho.
kwanini tusiongeze hisia kwamba wamemuua kujisafisha/kufuta ushahidi.Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Naamini walipuuza. One mistake one goalNnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Ulitaka wamfanyaje sasa wakati leo lilikuwa halijatimia? Lengo ilikuwa Trump auwaweShuhuda huyo alitoa taarifa kwa polisi na Secret Service kuhusu shooter aliyekuwa amejificha juu ya paa akiwa na silaha.View attachment 3041840
View attachment 3041839
Mahali ambapo shooter alikuwa juu ya paa na Trump alipokuwa akifanyia campaign mita 130 (google earth photo)
Secret Service Agents baada ya kufanikiwa kumuua shooter juu ya paa lilelile ambalo shuhuda alishatoa taarifa mapema kwamba alimuona mtu huyo lakini taarifa yake ikapuuzwa.View attachment 3041843
Wamarekani wanasema ni wakati wa mkuu wa Secret Service ajiudhuru.
Akiongea na BBC shahidi huyo aliweka wazi kuwa taarifa yake ilipuuzwa na vyombo vya usalama (Secret Service)
Umemaliza kila kitu, Uzi ufungwe .Naamini idara za usalama za Marekani nazo hazimtaki Trump ashinde urais.
Wakati ule Trump akiwa Rais wa Marekani sera zake zilionekana kumbeba Putin, mpaka wapo waliosema Putin kafanikiwa kuliwekea taifa la Marekani Rais. Hii ilikuwa kama kashfa kwa wamarekani.
Je, this time watakubali Trump ashinde Urais? kwasababu inavyoonekana, ushindi wa Trump ni sawa na ushindi kwa Putin, mbaya zaidi wakati huu kuna vita kati ya Russia vs Ukraine, huku USA kila siku akitoa misaada ya kijeshi kwa Ukraine.
Donald Trump, J.F Kennedy in the making.
Ila Mimi nawaza kama tukio staged Kwa baadhi wanavyodai na wengine kusema kutokuwepo Kwa secret service kwenye jengo alipokuwa shooter it was planned, ina maana shooter alijitolea uhai for sake of politics?Naona watu mshatengeneza conclusions zenu.
Yaani hili taifa watu huwa wanajiona wao ndio CIA, KGB, MOSSAD wao na bullshit kibao.
Politics ina mambo mengi sana na kila kitu kinawezekana.
Huenda ni kweli ilikuwa planned na existing gvt, huenda ni mtu tu binafsi alikuwa na sababu zake nje na hapo maana huyo ni business man, lakini pia huenda ni staged na yeye mwenyewe kuwin uchaguzi kirahisi.
Tusipende kuanza kutengeneza theory zetu na kutoa conclusion kama kawaida yetu.
Nawezasema alipokosa shabaha kwa Trump wakammaliza asitoe siri. Kulikuwa na shooter wawili.Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Hawa S.S unadhani kazi yao ni nini na kwanini walikuwepo eneo lile?Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Obama alipokuja,akipita morroco...nilikua Airtel Lile jengo,sikuona jengo likiangaliwaLabda waliambiwa wawe kwenye majengo mengine isipokuwa alilokuwa gunmanView attachment 3041849
Yeah hii ni protocal kwa Marekani
Hata Obama alipokuja hapa Tanzania ilikuwa hivyo pia tulijionea Secret Service Agents walivyotapakaa kwenye rooftops za majengo
Kuna jambo wanalijua SS, kwa nini wa wawahi kumuua badala ya kumuumiza ili awasaidiwe kwenye upelelezi? Hivi wako weak namna hii na technologies zao hizi?Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Kujitolea inawezekana kutokana na mazingira lakini binafsi swali langu la msingi ni hili.Ila Mimi nawaza kama tukio staged Kwa baadhi wanavyodai na wengine kusema kutokuwepo Kwa secret service kwenye jengo alipokuwa shooter it was planned, ina maana shooter alijitolea uhai for sake of politics?