jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Hakuna lolote.Kwenye matukio kama hayo mtu wa kwanza kuhisiwa ni yule aliye madarakani.kumbuka huo ni mchezo wa siasa sio ujambazi.
mkulima akitaka kuuliwa basi mtu wa kwanza kumuhisi ni mfugaji
Kwanza Trump ni mnafiki sana inapokuja kwenye issue ya gun control.
Mass shootings za kutosha hao hawajali kwasababu wana ulinzi.
Lakini vifo ni vingi vinavyosababishwa na kutokuwepo kwa sheria za udhibiti wa umiliki holela wa silaha.
Wao wakisema silaha haziui watu bali watu ndo wanauwa watu.
Ashukuru ana ulinzi. Alitakiwa awe fundisho.