Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Kwenye matukio kama hayo mtu wa kwanza kuhisiwa ni yule aliye madarakani.kumbuka huo ni mchezo wa siasa sio ujambazi.
mkulima akitaka kuuliwa basi mtu wa kwanza kumuhisi ni mfugaji
Hakuna lolote.

Kwanza Trump ni mnafiki sana inapokuja kwenye issue ya gun control.

Mass shootings za kutosha hao hawajali kwasababu wana ulinzi.

Lakini vifo ni vingi vinavyosababishwa na kutokuwepo kwa sheria za udhibiti wa umiliki holela wa silaha.

Wao wakisema silaha haziui watu bali watu ndo wanauwa watu.

Ashukuru ana ulinzi. Alitakiwa awe fundisho.
 
Ni kweli gun control ni changamoto kubwa sana Marekani

Lakini wewe kwa mtazamo wako unaonaje hili jaribio lilipangwa au ni raia tu wa kawaida mwenye chuki na Trump alijaribu kumuua?
 
Secret Service Sniper aliyemuua aliyempiga risasi Trump
20240714_060215.jpg
 
Naamini idara za usalama za Marekani nazo hazimtaki Trump ashinde urais.

Wakati ule Trump akiwa Rais wa Marekani sera zake zilionekana kumbeba Putin, mpaka wapo waliosema Putin kafanikiwa kuliwekea taifa la Marekani Rais. Hii ilikuwa kama kashfa kwa wamarekani.

Je, this time watakubali Trump ashinde Urais? kwasababu inavyoonekana, ushindi wa Trump ni sawa na ushindi kwa Putin, mbaya zaidi wakati huu kuna vita kati ya Russia vs Ukraine, huku USA kila siku akitoa misaada ya kijeshi kwa Ukraine.

Donald Trump, J.F Kennedy in the making.
 
Naona watu mshatengeneza conclusions zenu.

Yaani hili taifa watu huwa wanajiona wao ndio CIA, KGB, MOSSAD wao na bullshit kibao.

Politics ina mambo mengi sana na kila kitu kinawezekana.

Huenda ni kweli ilikuwa planned na existing gvt, huenda ni mtu tu binafsi alikuwa na sababu zake nje na hapo maana huyo ni business man, lakini pia huenda ni staged na yeye mwenyewe kuwin uchaguzi kirahisi.

Tusipende kuanza kutengeneza theory zetu na kutoa conclusion kama kawaida yetu.
 
Shuhuda huyo alitoa taarifa kwa polisi na Secret Service kuhusu shooter aliyekuwa amejificha juu ya paa akiwa na silaha.

View attachment 3041839

Mahali ambapo shooter alikuwa juu ya paa na Trump alipokuwa akifanyia campaign mita 130 (google earth photo)

View attachment 3041840
Secret Service Agents baada ya kufanikiwa kumuua shooter juu ya paa lilelile ambalo shuhuda alishatoa taarifa mapema kwamba alimuona mtu huyo lakini taarifa yake ikapuuzwa.

Wamarekani wanasema ni wakati wa mkuu wa Secret Service ajiudhuru.

Akiongea na BBC shahidi huyo aliweka wazi kuwa taarifa yake ilipuuzwa na vyombo vya usalama (Secret Service)
View attachment 3041843
Ulitaka wamfanyaje sasa wakati leo lilikuwa halijatimia? Lengo ilikuwa Trump auwawe
 
Naamini idara za usalama za Marekani nazo hazimtaki Trump ashinde urais.

Wakati ule Trump akiwa Rais wa Marekani sera zake zilionekana kumbeba Putin, mpaka wapo waliosema Putin kafanikiwa kuliwekea taifa la Marekani Rais. Hii ilikuwa kama kashfa kwa wamarekani.

Je, this time watakubali Trump ashinde Urais? kwasababu inavyoonekana, ushindi wa Trump ni sawa na ushindi kwa Putin, mbaya zaidi wakati huu kuna vita kati ya Russia vs Ukraine, huku USA kila siku akitoa misaada ya kijeshi kwa Ukraine.

Donald Trump, J.F Kennedy in the making.
Umemaliza kila kitu, Uzi ufungwe .
 
Naona watu mshatengeneza conclusions zenu.

Yaani hili taifa watu huwa wanajiona wao ndio CIA, KGB, MOSSAD wao na bullshit kibao.

Politics ina mambo mengi sana na kila kitu kinawezekana.

Huenda ni kweli ilikuwa planned na existing gvt, huenda ni mtu tu binafsi alikuwa na sababu zake nje na hapo maana huyo ni business man, lakini pia huenda ni staged na yeye mwenyewe kuwin uchaguzi kirahisi.

Tusipende kuanza kutengeneza theory zetu na kutoa conclusion kama kawaida yetu.
Ila Mimi nawaza kama tukio staged Kwa baadhi wanavyodai na wengine kusema kutokuwepo Kwa secret service kwenye jengo alipokuwa shooter it was planned, ina maana shooter alijitolea uhai for sake of politics?
 
Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Hawa S.S unadhani kazi yao ni nini na kwanini walikuwepo eneo lile?
Hapo matokeo ya shooting husika sio mabaya sana,vipi kama ingempasua kichwa kama late Hon John.F Kennedy?
Tutajua mengi sana,tukae mkao..
CIVIL WAR
 
Ob
Labda waliambiwa wawe kwenye majengo mengine isipokuwa alilokuwa gunman

Yeah hii ni protocal kwa Marekani
View attachment 3041849

Hata Obama alipokuja hapa Tanzania ilikuwa hivyo pia tulijionea Secret Service Agents walivyotapakaa kwenye rooftops za majengo
Obama alipokuja,akipita morroco...nilikua Airtel Lile jengo,sikuona jengo likiangaliwa
 
Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Kuna jambo wanalijua SS, kwa nini wa wawahi kumuua badala ya kumuumiza ili awasaidiwe kwenye upelelezi? Hivi wako weak namna hii na technologies zao hizi?
 
Ila Mimi nawaza kama tukio staged Kwa baadhi wanavyodai na wengine kusema kutokuwepo Kwa secret service kwenye jengo alipokuwa shooter it was planned, ina maana shooter alijitolea uhai for sake of politics?
Kujitolea inawezekana kutokana na mazingira lakini binafsi swali langu la msingi ni hili.

Trump kwa position ambayo alikuwepo ilikuwa open, hivi kama ni sniper aliyepewa kazi ya kumuua alilenga kufanya hivyo kwa ile position Trump angepona?

Binafsi naweza kutengeneza theories tatu kutokana na lile tukio.

1. Kweli ni assassination attempt kwa ajili ya kupita naye huenda kwa sababu ya ushindani wa Kisasa.
2. Business issues yeye na watu wake huko, watu wanaweza kutumia nafasi hiyo ili kujiweka nje ya msala maana hata hao business men wana watu wao kibao hata kwenye secret service, FBI, CIA, NSA na mashirika yao mengine ya usalama.
3. Ipo staged kwa ajili ya political gain.

Binafsi naona yote yanawezekana ila kwa bahati mbaya sana hatutakuja kuujua ukweli juu ya hilo hivyo kuna hatihati kila mtu atabaki na nadharia yake na majibu yake ya kujitengenezea au kwa kuamini kwa sababu mtu Fulani kasema na unaweza usiwe ukweli.

FBI lazima majibu watayapata lakini kama sio necessary sisi kujua basi tutapewa Yale ambayo wao wanataka sisi tujue.

Binafsi hakuna kitu naweza kuconclude juu ya hilo tukio ukizingatia siasa ina michezo ya kipuuzi sana ndani yake.
 
Back
Top Bottom