Jaribio la kunidhuru limeshindikana ashukuriwe Mungu

Huo mgahawa ni mali ya kada wa ccm
 
Duh, watu nao jamani! Sasa wanataka kuua hii kiumbe ya CCM ya kazi gani?
 
Hongera mkuu unameno ya kama ya fisi. Uliweza kutafuna na kuvunja vyupa. Daah!

Meno ya fisi hard bones (mifupa migumu) yote unayojua na hii ni kwa sababu wamejaaliwa kuna hard jaw kupita manyama wote unao wafahamu…
 
Ulitembea na mke wa mtu?
 
Sishangai Mtu mwovu kama wewe kutafuna chupa maana Mungu alitaka kukuonesha umuhimu wa uhai aliompa binafamu Γ mbao wewe unashabikia Kila siku uhai wa wenzio utolewe, ninachishangaa ni wewe kwenda Kanisani kudanganya Umma wewe ni mwema kumbe kiuhalisia ni Wakala wa Ibilisi. Na usipomrudia Mungu na kuendelea kuwa Wakala wa utoaji roho zisizo na hatia, hakika "ATAITAKA ROHO YAKO".
 
Ukiwa muovu hayo ni mambo ya kawaida kukupata
 
Watu wanachuki sana na mapolisi na mataga,najua we ni mataga,pole
 
 
Hiyo ni story yako, yeye kaeleza upande wake sababu yeye baba yake hakumfanyia ushirikina kwa mapenzi ya Mola wake amevuka jaribio.

Punguza wenge.
Hata mm nilimeeleza stori yangu nikiwa na maana ya kumkumbusha hapaswi kuishi kuzembe kwani watu wenye hila ni wengi hizo tahadhari ni muhimu sana ,lakn pia mbona umepanic isije kuwa wewe ndo mhudumu wa ule mgahawa kwahy unaona nakustulia windo lako ili ushidwe kumumaliza...
 
Laana ya kumsapoti dikteta hiyo inawatafuna,

Katubu haraka
 
Adui gani anakuwekea chupa kwenye chakula?Weye ni wa kunaswa makofi mengi au unatandikwa fimbo za shingo hadi uimbe haleluya!😝😝😝😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…