Jaribio la kunidhuru limeshindikana ashukuriwe Mungu

Kama una kakipato kako kwa nini kula mitaani? Kweli kabisa unashindwa kununua hata kale kagesi ka 30,000/=? Chai ni dk 2 tu! Wali dk30, nyama dk 30.
Tuachane na mambo ya kizamani!
 
Msipende kula sehemu moja Mara kwa Mara.....

Kula huko ni nyumbani tu....nyumbani kwako....
 
Na wale wanaopenda kuagiza kuletewa chakula maofisini wale....
 
Wanaccm wenzako wanakufanyia umafiaa...ila nakumbuka kule jukwaa la siasa ulishadadia sanaa Lisu kupigwa risasi....nafikir umepata funzo kwny maisha ya sasa
 
Wanaccm wenzako wanakufanyia umafiaa...ila nakumbuka kule jukwaa la siasa ulishadadia sanaa Lisu kupigwa risasi....nafikir umepata funzo kwny maisha ya sasa
Kwa nini iwe ni CCM na isiwe CHADEMA ama vyengine?!!!
 
Hicho kifungua kinywa chenye vipande vya chupa bado nimebaki mdomo wazi sijajua ni aina gani uliagiza au ni mtori,au ni bia (kama ni bia kumbuka ndio ulikuwa unaenda ibadani)hapa kuna kitu mungu alitaka kukuonyesha labda.
 
Walitaka nini kwako sasa, au waliishajaribu hata sumu wakashindwa ?

Mnaenda na hivyo viwaleti vyenu vimejaa wengine wana njaa.

Hiyo inaitwa tukose wote
 
Chuki bila sababu, pend kujumuik maeneo ya mbali nA unapoishi
 
Huenda chupa iliangukia kwenye sufuria la supu,akaona isiwe tabu atatoa supu ikikaribia kuisha!Baadaye akasahau na ukahudumiwa na kipande cha chupa kikaja kwenye chombo chako!
Hizi dharura zipo,usiwaze hujuma kwa sana maana sidhani kama kuna mtu anaweza kukudhuru kwa style hiyo!
Angetaka kukumaliza basi angesaga chupa ikawa kama unga kisha akakuwekea kwenye supu!Shughuli ungekuwa nayo!
 
Huyo alitaka kukuharibia Siku tu,,,chupa si kitu unaona kabisa?
 
Kikubwa ni kuepuka kwenda bar hiyo hiyo mara nyingi
 
Ni kweli, nishakutana na paper clip kwenye kitumbua na mara nyengine tena kwenye kitumbua nakutana na shanga daah!, mwenyeezi mungu ni mkubwa.
Huyo mpikaji ni mchawi anataka kukuroga.
 
Hao ni vijan/vibaka wa mtaani ambao wanaish kimazanio

Wanafanya attack bila kuw na uhalisia wa kujua fedha ipo
Mkuu mimi life style yangu ambayo ninayoishi mtaani wengi wanajua labda nina kipato kikubwa lkn siri naijua mwenyewe ila karibia wote nishawajua na hatua nyingine zitafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…