Jaribio la kunidhuru limeshindikana ashukuriwe Mungu

Huo mgahawa unamilikiwa na mwana Lumumba?
 
Nilikunywa juise ya Nana's kwenye kitoroli kariakoo tumbo lilianza kureact palepele kwa kupiga ngurumo kama za radi na ziliendelea kwa siku hiyo Hadi kesho yake, nahisi lilikuwa jaribio Kali sana la kuniondoa kabisa
Maji ya mtaro hayo kama sio mto msimbazi
 
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete

Mytake - mlionywa kwamba wakishawamaliza wapinzani mnaofuatia ni nyinyi dada zao
 
Hujaeleweka, alikuwekea nani sasa? Mhudumu au? Na je, ulishawahi kugombana naye kabla? Hebu weka wazi mbona unaficha ficha vitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Watakuwa wana CCM wenzio hao.

Ya Kolimba, Mwakyembe, jiwe, Mangula tulishayasikia. Membe naye akapotelea kwenye hotel isiyojulikana.

Kazi kweli kweli.
 
Watakuwa wana CCM wenzio hao.

Ya Kolimba, Mwakyembe, jiwe, Mangula tulishayasikia. Membe naye akapotelea kwenye hotel isiyojulikana.

Kazi kweli kweli.
Huyu kilichomponza ni kuongea ongea sana enzi za jiwe akidhani atalindwa milele
 
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete

Mytake - mlionywa kwamba wakishawamaliza wapinzani mnaofuatia ni nyinyi dada zao

Ndiyo maana wengi wao hata humu jamvini wameadimika.

Kama wapo basi wana viji ID mukide mukide vya post March 17.
 
Ndiyo maana wengi wao hata humu jamvini wameadimika.

Kama wapo basi wana viji ID mukide mukide vya post March 17.
Unapigania ccm miaka na miaka halafu U- DC anapewa Lijuakali na Niki wa pili , hata ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
 
Wacha uwongo wako kijana.....unasema wamekuwekea vipande vya chupa ili wakuue si ndiyo? Sasa ulishindwa nini kujulisha polisi na huyo aliyekuletea hivyo vitu?
 
Pole sana Mkuu nakutakia afya njema urudi tena jamvini kupeperusha bendera yako ya kusifia kila jambo...
 
Hii ni tofauti mkuu, vyupa vinatoka wapi kwenye supu, ingekuwa kinywaji hapo sawa useme labda chupa imevunjika bahati mbaya wakati wa kufungua, hiyo ilikusudiwa.

Ni kuongeza umakini. hali si hali binadamu hawaaminiki tena.
Bahati mbaya tuu Mkuu ondoa imani potofu wakudhuru ili iweje kwa kula supu tuu na maharage chapati...
 
Sasa hii mburukenge nani alitaka kuiua!! I Kuna watu wanajitafutia laana ya bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…