Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
🤣🤣🤣Acha masihara basi 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Acha masihara basi 😂
Uzazi ni gharama.. mimba zenyewe zinabagua vyakula, hazitaki wali dagaa
🤣🤣Mtoto akishazaliwa mnakula wote msoto. Akikua kidogo na kupata ufahamu anaanza kukulaani kwa kumleta katika hii dunia yenye tabu na mateso. Nawe pia unajisikia vibaya kuambiwa hivyo na mwanao, Unapata msongo wa mawazo unaopelekea kupata presha. Unapata kiharusi afu mwishowe unakufa.
Mwanao anae anaingia JF anakuta uzi kama huu. Anafata ushauri. Kinamramba. Mjukuu pia hivihivi.
Mwishowe Watanzania wote tunakufa kwa kuzaa bila kujipanga kisa mtu tumefata ushauri wa mleta uzi.😁😁
Sema kuzaana ni kama upatu ,mtu anayeishi kwa tabu anazaa mwingine ili aje kuishi kwa tabu.Mtoto akishazaliwa mnakula wote msoto. Akikua kidogo na kupata ufahamu anaanza kukulaani kwa kumleta katika hii dunia yenye tabu na mateso. Nawe pia unajisikia vibaya kuambiwa hivyo na mwanao, Unapata msongo wa mawazo unaopelekea kupata presha. Unapata kiharusi afu mwishowe unakufa.
Mwanao anae anaingia JF anakuta uzi kama huu. Anafata ushauri. Kinamramba. Mjukuu pia hivihivi.
Mwishowe Watanzania wote tunakufa kwa kuzaa bila kujipanga kisa mtu tumefata ushauri wa mleta uzi.😁😁
Hayo maneno yamewacost wengi.Atakuja na sahani yake
Sahani zetu zimevunjika? 😅Mitaani pangekuwa hakuna watu wanaoishi chini ya dola 1..
Adi ambapo milango itafunguka ndo mwishoMallerina Mwisho ni watoto wa ngapi?
Qashy Lilith mlete nitamleaa usitowe mimba yangu wee mungu akileta mtoto analeta na sahani yake...
Wakifika hadi wanane na milango haijafunguka tu watalala wapi?Adi ambapo milango itafunguka ndo mwisho
Endelea na ujasiri wako, sisi tuache na nyetoUoga wa maisha
Acheni upuuz watoto ni baraka kutoka kwa Mkuu PekeeNi rahisi sana, jichanganye ulie kuliko huyo mtoto 😁
Mallerina nizalie katoto japo hela sina.Baadhi