Jaribu kupata mtoto

Jaribu kupata mtoto

Mtoto akishazaliwa mnakula wote msoto. Akikua kidogo na kupata ufahamu anaanza kukulaani kwa kumleta katika hii dunia yenye tabu na mateso. Nawe pia unajisikia vibaya kuambiwa hivyo na mwanao, Unapata msongo wa mawazo unaopelekea kupata presha. Unapata kiharusi afu mwishowe unakufa.

Mwanao anae anaingia JF anakuta uzi kama huu. Anafata ushauri. Kinamramba. Mjukuu pia hivihivi.

Mwishowe Watanzania wote tunakufa kwa kuzaa bila kujipanga kisa mtu tumefata ushauri wa mleta uzi.😁😁
🤣🤣
 
Sema kuzaana ni kama upatu ,mtu anayeishi kwa tabu anazaa mwingine ili aje kuishi kwa tabu.

Mtoto akiwa mkubwa anaambiwa sasa unatakiwa kujitegemea ,hapa hana la kufanya kashaingia mkenge.
 
Fursa ni nyingi mno ntapata wapi butcher wakuu🤒
Screenshot_20250206-173445~2.jpg
 
Back
Top Bottom