Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ujumbe ni kwa wanawake au wanaume?Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...
Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......
Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...
Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Jichangnye!Kumbe ni rahisi hivyo aisee…
SawaAcheni upuuz watoto ni baraka kutoka kwa Mkuu Pekee
Ebu njoo unizalie mie mzabzab hapa niache jina maana nina miaka miwili tuu ya kuishiKama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...
Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......
Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...
Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Kuna tofauti ya mimba za mbweni na mbagalaUzazi ni gharama.. mimba zenyewe zinabagua vyakula, hazitaki wali dagaa 🤣
Hapo mtoto hajaja..
Tako na mtoto linahusianaje. Mtoto anatokea kwa mbususu. Sass labda utuambie huna mbususuSina tako
Sijawahi ona mwanamke hana hela amwendee mwanaume asiye na hela àmwambie anataka amwagiwe ndani azae.!Both
Sasa hela za nini tena wakàti huu uzi umesema wasio na hela wazae?Hela ipo?
Acha nije mzabzab wangu😍
Ngoja nije sasa 🤣🤣Mallerina Mwisho ni watoto wa ngapi?
Qashy Lilith mlete nitamleaa usitowe mimba yangu wee mungu akileta mtoto analeta na sahani yake...
Zipo milion 243 hapaHela ipo?
Acha nije mzabzab wangu😍
🤣🤣Za kwetu walivunja na kuzitupa wapi sijui..Sahani zetu zimevunjika? 😅