Jaribu kupata mtoto

Jaribu kupata mtoto

Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...

Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......

Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...

Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Ebu njoo unizalie mie mzabzab hapa niache jina maana nina miaka miwili tuu ya kuishi
 
Back
Top Bottom