Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

Hii cabinet reshuffle ya juzi hamjaona? zama zinarudi.......sijui hali itakuwaje, au tutalizwa tena kwenye viroba, hizi tozo hizi nina mashaka nazo........
 
Jk ndio rais kipenzi wa chadema kuliko marais wote hapa tz!

Bila shaka wanafurahi sana jinsi anavyotawala nyuma ya mgongo wa Samia
 
Hilo Gazeti linafanya biashara. Articles zake kuzisoma siyo bure na ndio maana zinatabuni vijitaarifa fulani fulani controversy ili wapige pesa za nyumbu.

Tena unaweza kukuta ni blog ya mswahili tu amejificha ndani anakula pesa za nyumbu.
 
Mzee wetu Jakaya Kikwete aachwe apumzike na hivi vijarida uchwara.
 
Huu utakuwa ni uongo na uzushi tuu na hawakuanza leo!.
P
 
Jk ndio rais kipenzi wa chadema kuliko marais wote hapa tz!

Bila shaka wanafurahi sana jinsi anavyotawala nyuma ya mgongo wa Samia
Kwa hiyo unakiri kuwa JK yupo nyuma ya SSH!!??
Mkiambiwa wanaCCM ni vilaza na misukule mtakataaa!!??
 
Kwani mbona lipo wazi kabisa hilo...

Style ya uongozi ya mama haina tofauti sana na ile ya JK, ina vinasaba vingi vinavyoshahabiana...
 
Jakaya Kikwete is back in business as Samia Suluhu Hassan's confidant."
Ndugu, hivi unaelewa maana halisi ya neno "confidant" au umekurupuka tu? Umesoma shule kweli wewe??

Nakushauri rudi shule kajifunze upya "Kiingereza", acha kudandia dandia lugha za watu.
 
Ndugu, hivi unaelewa maana halisi ya neno "confidant" au umekurupuka tu? Umesoma shule kweli wewe??

Nakushauri rudi shule kajifunze upya "Kiingereza", acha kudandia dandia lugha za watu.
Wewe ndo umekurupuka na elimu yako ya shule ya kata maana umetoa maoni bila kufahamu mada inahusu nini hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…