Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

Mbuzi kafia kwa muuza supu, Kunanini Tena........!
 
Mama kashasema wanaume wa nchii wote maboya msimtishe 2025 anagombea na hakuna wa kumzuia
 
Tunapata raisi mkulima, anaanda shamba, anapanda, mazao yanapoanza kuchepua, anaingia raisi mfugaji, anaingiza mifugo shambani, inakula mazao na kuharibu mazao, kisha tunapata raisi mkulima tena, then mfugaji, mkulima na circle kuendelea.
Well said, hili ndilo tatizo lililotukumba Tanzania strategic planning ya muda mrefu kila Rais anakuja na mipango yake.
Mwl. Nyerere alianzisha Viwanda alivyokuja Mwinyi akafungua milango ya kuingiza vitu kutoka nje na kusababisha kuua Viwanda.
Mkapa nae alivyo ona Viwanda vinasuasua akavibinafsisha kwa kuwapa wawekezaji wa kigeni ambao hawakua na uchungu navyo zaidi ya kuuza Mitambo na vipuri.
Alivyoingia JK aliikuta nchi na hali mbaya tatizo la ajira likawa kubwa alichofanya ni kutoa nafasi za ajira kwa wingi Serikalini na kuwashawishi wawekezaji kuja kuwekeza ili wananchi wake wapate ajira.
Alivyoingia bwana JPM yeye alichofanya ni kufuta kila kitu cha awamu ya Mwinyi, Mkapa na JK na kutaka kuanza alipotuacha Nyerere kwamba Watanzania tumiliki Viwanda wenyewe na miradi yote tuwe tunaendesha wenyewe kuanzia ujenzi wa Miundombinu na Majengo makubwa bahati mbaya akafariki na kushindwa kufikia lengo.

Kwahyo mpaka sasa hii nchi haijulikani inapoelekea.
 
sukuma gang inateseka sana ilishaaminishwa yenyewe ndio yenye nchi mungu anamipango bora kuliko sisi binadamu
 
Jk ndio rais kipenzi wa chadema kuliko marais wote hapa tz!

Bila shaka wanafurahi sana jinsi anavyotawala nyuma ya mgongo wa Samia
Mataga utataga
 
Kwani wewe huyapendi maisha bora kwa kila mtanzania?
Hakuna ubaya hapo
 
Huo ni ukweli tunaujua, Kikwete ndiye rais ssh ni mtumishi wake tu
 
Kuna kosa gani hapo mkwere kurudi kwa mlango wa nyuma mbona congo kabila katundika koti ofisini kwa tshekedi
 
Reactions: Qwy
Kama JPM alipuuza alipuuza kwa sababu za msingi au ni siasa tu , kama kuna sababu za msingi iliyomfanya aache kwanini sasa inarudiwa au hizo sababu zime expire
 
Kayafa ,Ben(wametuacha),mwinyi kachoka so president aliye katika hali nzuri ni huyu JMK Sasa mtu wa karibu mlitaka amuweke gwaji clan? . Experience ana gain Kwa msoga wala hilo halipingiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…