Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.
Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.
Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!
View attachment 1979938
Brazaj hauko Marekani ,Sweden wala Norway.....Kama ndivyo anaogopa nini ushindani ulio huru, wa haki na wenye usawa?
Si kila usilolijua haliko.....Kiukweli hili jarida sikuwahi kulisikia kabla
Kuturudisha katika uhusiano MADHUBUTI na jumuiya ya kimataifa ......Kashawishi jambo gani ambalo bila yeye lilikuwa haliwezekani? Hebu tuache kuongea mambo yasiyokuwepo. Kama ana ushawishi kiasi hicho ameshindwa nini kukaa na washindani wake kisiasa ili wajadiliane Juu ya Siasa za kistaarabu na zenye kuchochea maendeleo?
Tafuta Msamiati mwingine kuelezea hizo Siasa zenu za Africa. Shehe hawezi kujiita Padri wakati hatendi majukumu ya Upadri.Brazaj hauko Marekani ,Sweden wala Norway.....
Uko Afrika.....
Waafrika tuna demokrasia yetu.....
Huo uhusiano umekusaidiaje sasa na wakati haupo ulikosa nini? Vichwa vingine vinapenda kuongea Maneno ya kuokotaokota tuKuturudisha katika uhusiano MADHUBUTI na jumuiya ya kimataifa ......
Sawa mjumbeSi kila usilolijua haliko.....