Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Brazaj hauko Marekani ,Sweden wala Norway.....

Uko Afrika.....

Waafrika tuna demokrasia yetu.....

Unamaana huyu uhalali wake ni kupitia ghiliba, wizi na udhwalimu?

Mnajiridhisha kuwa kuna asiyependa haki, usawa wala uhuru.

Huoni kuwa kuna mambo hayako sawa vichwani aidha kwangu au kwako?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
H

Huo uhusiano umekusaidiaje sasa na wakati haupo ulikosa nini? Vichwa vingine vinapenda kuongea Maneno ya kuokotaokota tu
Kichwa hakiongei mkuu 🤣

Bila ya kukurudisha huo uhusiano uliolegalega zile Trilioni 1.3 tungezisikia kwenye bomba.....

Dunia ina korona kwenda kulia sisi tulikuwa tunaelekea KUSHOTO....
 
Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.

Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.

Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!

View attachment 1979938
😍
 
On this subject, I reserve my comments. My be Missile of the Nation, The Undertaker, The Boss, Ahmed Rajab, Mohammed Said to mention a few can comment.
 
Wizi kamuibia nani ?!!

Dhulma kamdhulumu nani ?!!

Wizi na dhuluma - hataki tume huru wala katiba mpya kabla ya 2025.

Dhuluma - hataki vyama vingine kufanya siasa zao kutafuta wanachama na hata kujiimarisha.

Wizi - anajua na alikuwa sehemu ya ghiliba za awamu ya tano.

SABAYA kathibitisha lukuki ya wizi anaofungamana nao achilia wa kwenye kura na kununua watu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
D

Tafuta Msamiati mwingine kuelezea hizo Siasa zenu za Africa. Shehe hawezi kujiita Padri wakati hatendi majukumu ya Upadri.
Kabla ya kuzishangaa siasa zetu hizo....mbona huushangai UJAMAA WETU WA KIAFRIKA aliouasisi hayati mwalimu JKN?!!

Mbona huushangai muungano wetu wa kipekee usiokuwa katika mitaala ya miungano ya kilimwengu?!!!
 
Kichwa hakiongei mkuu 🤣

Bila ya kukurudisha huo uhusiano uliolegalega zile Trilioni 1.3 tungezisikia kwenye bomba.....

Dunia ina korona kwenda kulia sisi tulikuwa tunaelekea KUSHOTO....
Kumbe unalilia 1.3T? Akili za Kisultani kabisa za kusaidiwasaidiwa. Hizo mumepewa na Mungu na kama sio waliowapa wao wamepewa na Mungu ili wawagawie? Mawazo ya kijinga kabisa. Hakuna pesa ya bure hapa Duniani. Hizo pesa mtazirudisha kupitia Tundu lolote mwilini.
 
Wizi na dhuluma - hataki tume huru wala katiba mpya kabla ya 2025.

Dhuluma - hataki vyama vingine kufanya siasa zao kutafuta wanachama na hata kujiimarisha.

Wizi - anajua na alikuwa sehemu ya ghiliba za awamu ya tano.

SABAYA kathibitisha lukuki ya wizi anaofungamana nao achilia wa kwenye kura na kununua watu.
Suala la Katiba mpya si la wizi Wala la dhulma....

Katiba mpya haiwezi kupatikana kwa shinikizo la kundi moja tu...tena chama kimoja tu....

Huna ushahidi wa wizi wa kura zaidi ya kuwachafua wengine kwa ile "FILAMU" iliyosukwa vyema na wapinzani.....
 
Kumbe unalilia 1.3T? Akili za Kisultani kabisa za kusaidiwasaidiwa. Hizo mumepewa na Mungu na kama sio waliowapa wao wamepewa na Mungu ili wawagawie? Mawazo ya kijinga kabisa. Hakuna pesa ya bure hapa Duniani. Hizo pesa mtazirudisha kupitia Tundu lolote mwilini.
Tunasaidiwa kila uchao....afya ,elimu.....

Kwa hiyo tunapopewa ARV dhidi ya Ukimwi na nduguzo na ndugu zangu wakizitumia huwa TUNAURUDISHA MSAADA HUO KUPITIA MATUNDU YA MIILI YA NDUGUZO NA NDUGU ZANGU?!!!
 
Back
Top Bottom