Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Kidogo kidogo anatambulika duniani.....

Ninamtabiria makubwa kuwa ndiye atakayekuwa RAIS bora kabisa mwanamke kuwahi kutokea duniani......

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin🙏
Kwa namna gani? fafanua.Habari imepotea njia huku.Ipelekeni kwejarida husika na kichwa cha habari pia kimepotea njia.Peleka kwenye njia yake,usitufanye woote mahahira kama wewe.
 
Hivi huwa mnatazama mambo kiakinifu au Ni kuropoka tu tukishashiba. Mama ndo afanane na Mandela kweli? Kwa hiyo, huyu mama anawazidi Mkapa, Nyerere na hata Kikwete?
Kwa kweli akiachana kuwaminya wapinzani ana nafasi kubwa sana ya kuwa juu.

Ukiacha kuminya wapinzani maana yake umeamua kuwa msikivu.Na ukiwa msikivu lazima ung'ae
 
K
Kichwa hakiongei mkuu 🤣

Bila ya kukurudisha huo uhusiano uliolegalega zile Trilioni 1.3 tungezisikia kwenye bomba.....

Dunia ina korona kwenda kulia sisi tulikuwa tunaelekea KUSHOTO....
Wa hiyo sasa wewe unaenda kulia?
 
Suala la Katiba mpya si la wizi Wala la dhulma....

Katiba mpya haiwezi kupatikana kwa shinikizo la kundi moja tu...tena chama kimoja tu....

Huna ushahidi wa wizi wa kura zaidi ya kuwachafua wengine kwa ile "FILAMU" iliyosukwa vyema na wapinzani.....
Unajua unachokisema au umepokea maelekezo,
 
Demokrasia ni moja na misingi yake inafanana duniani kote. Hiyo demokrasia ya kwenu Africa labda mliitoa kuzimu.
Brazaj hauko Marekani ,Sweden wala Norway.....

Uko Afrika.....

Waafrika tuna demokrasia yetu.....
 
Kidogo kidogo anatambulika duniani.....

Ninamtabiria makubwa kuwa ndiye atakayekuwa RAIS bora kabisa mwanamke kuwahi kutokea duniani......

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin🙏

Atamzidi hata yule wa Brazil na Angela Marcel!!?
Kama ni hivyo itapendeza sana.
 
Demokrasia ni moja na misingi yake inafanana duniani kote. Hiyo demokrasia ya kwenu Africa labda mliitoa kuzimu.

Nani kakudanganya kwamba demokrasia inafanana dunia nzima.
Demokrasia ni utamaduni, kila mtu ana wa kwake. Kama unabisha, nenda ulaya halafu sema mini nataka ndoa ya wake wengi, halafu wasikilizie.
 
Haya mambo ambayo yana uelekeo wa dini hatustahili kuyashadadia.

Sijawahi kusikia the most influential christians.
 
Kwa kweli akiachana kuwaminya wapinzani ana nafasi kubwa sana ya kuwa juu.

Ukiacha kuminya wapinzani maana yake umeamua kuwa msikivu.Na ukiwa msikivu lazima ung'ae
Waeshazoea kuwa hawa ni watoto wangu lazima wale na kuvaa na kusoma vizuri. Hawa wengine hawa naishi nao tu vyovyote itakavyokuwa,bora liende.wale wasile shauri yao, wavae wasivae watajijua wenyewe,wasome wasisome shauri yao hawana haki yoyote na wakidai haki yao watapigwa,watavunjwa miguu pasipo huruma.Wawe wanawake wawe wanaume.Hapo ndipo tulipofika.
 
Tunasaidiwa kila uchao....afya ,elimu.....

Kwa hiyo tunapopewa ARV dhidi ya Ukimwi na nduguzo na ndugu zangu wakizitumia huwa TUNAURUDISHA MSAADA HUO KUPITIA MATUNDU YA MIILI YA NDUGUZO NA NDUGU ZANGU?!!!
Tunapewa na mliowaita makaburu sio.Leo hii kaburu kageuzwa ghafla,kawa bindamu wa heshima.Ama kweli duniani kuna mambo.
 
Haya mambo ambayo yana uelekeo wa dini hatustahili kuyashadadia.

Sijawahi kusikia the most influential christians.

Binafsi sishadadii mambo ya UDINI....na hilo gazeti sidhani kama limeongelea udini....wao wamefanya tafiti kwa mtazamo wao....je sisi ni nani wa kuwapangia mitazamo yao?!!!

Unajitia hofu ya bure tu ....

Hilo gazeti lipo siku nyingi....

Kutokusikia wewe kwako "the most influential Christians " kunazuia nini hao wengine wasiwe na "the most influential Muslims"?!!

Mbona kuna mpaka "influential atheists" hujasikia?!!!
 
Tunapewa na mliowaita makaburu sio.Leo hii kaburu kageuzwa ghafla,kawa bindamu wa heshima.Ama kweli duniani kuna mambo.
Hao walipoitwa makaburu uliniona nami nikiwaita hivyo?!!!

Hao ni marafiki zetu.....wadau wetu wa maendeleo toka tunaupata UHURU.....
 
Back
Top Bottom