Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Good
 
Mama
 
Umeshaambiwa Jarida la Muslim? What did u expect? What the hell? I mean, who gives a f***?

Tunachohitaji ni nishati ya umeme na maji irudi kwenye hali yake haraka kama ilivyokuwa awamu ya 5 wakati wa JPM.

Sisi tuliokwishajiajiri tunataka biashara zetu zinazotumia umeme ziende vizuri tulipe kodi tupeleke watoto shule, hatutaki uswahili swahili hapa.
 
sasa hao watalii wataongezeka sababu ya hijab ?
 
Mapesa
 
Mama yuko vizuri sio siri,
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Mama chapa kazi
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Mapesa
 
Ndio
 
Ongezea Nyama ni Muslims 500 Kwahio watu kama Angela wa kule Deutschland hana kigezo kutokana na Imani yake na sio Ubora wake...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…